Serikali yaajiri walimu hewa(?) Ushahidi huu hapa...

Serikali yaajiri walimu hewa(?) Ushahidi huu hapa...

Katika ajira 4549 zilizotangazwa wiki iliyopita, baadhi ya majina yameajiriwa mara mbili katika vituo viwili tofauti. Ukifatilia katika matokeo yao ya NECTA kwa mwaka husika, unagundua kuwa namba hazikujirudia.

1.Hawa hapa walimaliza F4 mwaka 2010
View attachment 1085322
Matokeo ya NECTA ni namba moja tu
View attachment 1085323

2. Hawa walimaliza F4 2012
View attachment 1085324
Matokeo ya NECTA ni namba moja tu
View attachment 1085325

3. Hawa hapa mmoja alimaliza F4 2011 na mwingine 2015
View attachment 1085328
lakini jambo la kushangaza ni kwamba mwaka 2015 jumla ya idadi ya watahiniwa iliishia 0126 wakati huyu akionekana kuwa na namba 0131.
2011;View attachment 1085329

2015;View attachment 1085330

The Beautyful Ones Are Not Yet Born!
HAPPY MAY DAY!
Mkuu Trust None unastahili kutunukiwa PhD. Hii ndio Jf tunayoijua na tunayoitaka.

Mambo ya hovyo Sana wanafanya serikali ya awamu ya 5.
 
Serikali inayoongozwa na malaika mkuu inafanya madudu ya ajabu namna hii ,wakati alisema amewamaliza wapiga dili .
 
Mtoa huu uzi nimetafakari sana lengo na nia ya ww kutumia hiyo Avatar !! Nimejifunza mambo mengi mojawapo ni kwamba jina huumba!! Hakika "Trust None" narudia tena " kweli kabisa Trust None" huyu ni mwanajf kwa jina lake ambalo hakika analiishi hana imani na mtu au taasisi yoyote ndio maana kafanya hiki alichokifanya !!! Hakika trust none!

Hii ndio Jf , am proud of it ! Hongera sana sana ,,,hii ndio maana tunasema humu jf ni kwa ma greatthinkers!!

Thanks !!
 
Yumkini wataenda kufundisha shule hewa! Hata Prof Mwandosya aliwahi kuwa waziri hewa na maisha yakaendelea!
 
Mtoa huu uzi nimetafakari sana lengo na nia ya ww kutumia hiyo Avatar !! Nimejifunza mambo mengi mojawapo ni kwamba jina huumba!! Hakika "Trust None" narudia tena " kweli kabisa Trust None" huyu ni mwanajf kwa jina lake ambalo hakika analiishi hana imani na mtu au taasisi yoyote ndio maana kafanya hiki alichokifanya !!! Hakika trust none!

Hii ndio Jf , am proud of it ! Hongera sana sana ,,,hii ndio maana tunasema humu jf ni kwa ma greatthinkers!!

Thanks !!
Jamaa nimemkubali sana.
 
Hata kipindi kile waliajiri walimu hewa

Huu nao ni ufisadi mwingine ndani ya serikali ya Jiwe maana wanaingia kwenye Mfumo wa mishahara wa watumishi wa umma wakati ni majina hewa"

Au ni kudanganya watu kwamba tumeajiri walimu elf4 kumbe ukute ni elf 1 .......

Hii serikali ya kupika data ni shida.

Huwa wanapika Data vibaya sana. Ndio maana wakatunga sheria ya takwimu ili zisitolewe Data za kweli bali za kwao za kupika tu.
 
Back
Top Bottom