halley from city
Member
- Jan 22, 2019
- 88
- 74
Hiv kwa nn wengne hawajaajiliwa??
Umechangia upuuzi kajambee ulale nyambafuuu!Naomba nichangie kama ifuatavyo......
1.Katika mfumo wa uombaji wa hizi ajira hakukuwa na uwezekano wa kufuta akaunti ya kuombea ajira mara baada ya kuifungua.
2.hakukuwa na uwezekano wa kudelete attachment kama vyeti vya sekondari au taaluma iwapo mtumaji anahisi ametuma kwa makosa.
3.mtandao ulikuwa unasumbua sana sana tena zaidi ya sana wakati wa kuomba isipokuwa siku chache kabla ya deadline kutimu.
Hivyo basi waombaji wengi walifungua akaunti zaidi ya moja huku wakiambatanisha document zilezile kwa sababu ya kuweka maombi yao kwa usawa zaidi,kumbuka kuwa hawakuwa na uwezo wa kufuta akaunt wala kufuta uploaded document.
Kubwa zaidi documents zilisumbua saaaaaana tena sana kuzi upload.watu wakatangaziana kufungua akaunt nyingine na zitakubali kisha zikakubali.
Wizara nao hawakuwa makini kwa upande wao wakati wa uchambuzi.
Hakuna suala la kufikiri hapa, huo ni 'upigaji' IMF inawaona iawaandika shauri yenu.Nafikiri ni makosa tu yakibinadamu katika uandishi
Nafikiri ni makosa tu yakibinadamu katika uandishi
Mnh&hhh&hh Wakuu kwelii!!??Mkuu ni masikitiko halafu kuna kitu kingine watu hawajakiona watu waliopata kazi asilimia kubwa ni watu wenye majina ya kanda ya ziwa niko na list kuna majina ya kisukuma zaid ya 500 yanayoonekana ....
Kwa sababu mm natoka uko na majina nayajua
Kama mtu anabisha atafute majina Yale yale 4500 waone maajabu mengine ya Serikali ya CCM na ukabila....
Serikali haiwezi kuajiri wote...kuna private sector ...kuna Taasisi na kuna mataifa ya nje yenye uhitaji
LuckNaomba vigezo. Mkuuu maana ndugu yangu katemwa wakat alifaulu vizurii tuu
Hivi jafo leo alikuwepo kule Sokoine?Halafu hii ofisi ya Tamisemi si ipo chini yake
Naomba nichangie kama ifuatavyo......
1.Katika mfumo wa uombaji wa hizi ajira hakukuwa na uwezekano wa kufuta akaunti ya kuombea ajira mara baada ya kuifungua.
2.hakukuwa na uwezekano wa kudelete attachment kama vyeti vya sekondari au taaluma iwapo mtumaji anahisi ametuma kwa makosa.
3.mtandao ulikuwa unasumbua sana sana tena zaidi ya sana wakati wa kuomba isipokuwa siku chache kabla ya deadline kutimu.
Hivyo basi waombaji wengi walifungua akaunti zaidi ya moja huku wakiambatanisha document zilezile kwa sababu ya kuweka maombi yao kwa usawa zaidi,kumbuka kuwa hawakuwa na uwezo wa kufuta akaunt wala kufuta uploaded document.
Kubwa zaidi documents zilisumbua saaaaaana tena sana kuzi upload.watu wakatangaziana kufungua akaunt nyingine na zitakubali kisha zikakubali.
Wizara nao hawakuwa makini kwa upande wao wakati wa uchambuzi.
Luck
NALO NENOUlitumia siku ngapi kufuatilia, wengine tulipoona majina hayapo yanayotuhusu tukaendelea na mishe nyingine
Ni kweli kabisa na ndio maana mka-duplicate majina kwny hio list.Serikali haiwezi kuajiri wote...kuna private sector ...kuna Taasisi na kuna mataifa ya nje yenye uhitaji