Serikali yaajiri walimu hewa(?) Ushahidi huu hapa...

Serikali yaajiri walimu hewa(?) Ushahidi huu hapa...

Leo ndo Nakubali jamii forum is the home of the great thinker dah
 
ILI SUALA LIMEFANYIKA KUSUDI KABISA, MODERATOR SHARE HUU UZI KWENYE MITANDAO YA KIJAMII, MPAKA HUMKUTE MKUU WA NCHI, WATU WATUMBULIWE. HUU UJANJA ITAKUWA HATA PSRS WANAUTUMI
 
Mkuu umetumia 'software' gani kubaini ulichobain..

Maana kwa akili ya kawaida, majina zaidi ya buku, AF ugundue ktu km hiki, sio kazi nyepesii..
 
Haya ndio matokeO ya Ajira za Sasa hivi kugawiwa kwenye ofisi za UVCCM. Karibu ujisajiri Kama umemaliza chuo na una kadi ya CCM na unahitaji ajira
 
Ndiyo kazi ya kina Waitara ambao kauli zao zimejikita kusifia juhudi. Msubirini Mbatia
 
Anadai.

We are fighting for a better tomorrow.
 
Katika ajira 4549 zilizotangazwa wiki iliyopita, baadhi ya majina yameajiriwa mara mbili katika vituo viwili tofauti. Ukifatilia katika matokeo yao ya NECTA kwa mwaka husika, unagundua kuwa namba hazikujirudia.

1.Hawa hapa walimaliza F4 mwaka 2010
View attachment 1085322
Matokeo ya NECTA ni namba moja tu
View attachment 1085323

2. Hawa walimaliza F4 2012
View attachment 1085324
Matokeo ya NECTA ni namba moja tu
View attachment 1085325

3. Hawa hapa mmoja alimaliza F4 2011 na mwingine 2015
View attachment 1085328
lakini jambo la kushangaza ni kwamba mwaka 2015 jumla ya idadi ya watahiniwa iliishia 0126 wakati huyu akionekana kuwa na namba 0131.
2011;View attachment 1085329

2015;View attachment 1085330

The Beautyful Ones Are Not Yet Born!
HAPPY MAY DAY!
drama za huyu mzee anayependa ututkufu huziwezi
 
Pia angalia jina namba 2771 na 2772 ni mtu mmoja na namba moja
"SITA MASANJA"
 
Mkuu unastahili tunu kwa hili! Nimefarijika sana baada ya yaliyojiri Mbeya.
 
Back
Top Bottom