chase amante
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 5,652
- 2,146
Wizi
Katika ajira 4549 zilizotangazwa wiki iliyopita, baadhi ya majina yameajiriwa mara mbili katika vituo viwili tofauti. Ukifatilia katika matokeo yao ya NECTA kwa mwaka husika, unagundua kuwa namba hazikujirudia.
1.Hawa hapa walimaliza F4 mwaka 2010
View attachment 1085322
Matokeo ya NECTA ni namba moja tu
View attachment 1085323
2. Hawa walimaliza F4 2012
View attachment 1085324
Matokeo ya NECTA ni namba moja tu
View attachment 1085325
3. Hawa hapa mmoja alimaliza F4 2011 na mwingine 2015
View attachment 1085328
lakini jambo la kushangaza ni kwamba mwaka 2015 jumla ya idadi ya watahiniwa iliishia 0126 wakati huyu akionekana kuwa na namba 0131.
2011;View attachment 1085329
2015;View attachment 1085330
4. Cheki hawa hapa, mmoja kaongezewa SURNAME halafu mwingine namba yake ya F4 imeandikwa kwa irabu 'O' ilihali matokeo yanaonesha aliyefanya mtihani ni mtu mmoja tu.
View attachment 1086167
View attachment 1086170
5. Hawa hapa hawakusoma AGRICULTURE F4. Huyo aliyemaliza F4 2016 alipata 'DIV ZERO'. Je, aliendaje advance? Hata kama angeenda, kuna F4 wa 2016 wa 'School candidate' aliyekwisha maliza SHAHADA?
View attachment 1086203
View attachment 1086214
View attachment 1086215
The Beautyful Ones Are Not Yet Born!
HAPPY MAY DAY!
Sio kwamba wako sawa no, yaani kwamba ni makosa ya kibinadamu yaliojitokeza. Na c kwamba wamefanya makusudi ili wafaidi.Mkuu kwa hyo unataka kwenye tufikirie kuwa wamefanya sawa tu, au positive way ipi unazungumzia.??
Watafidia vipi hela walizokwiba kama hawataajiri wafanya kazi feki? Hii ndiyo sababu CAG anapigwa vita. CCM ni ile ile, huwezi kupanda mchicha ukavuna nyanya! CCM kutoa kiongozi mwadilifu ni sawa na nguruwe kuzaa mbuzi au nyang'au kuzaa swala, wapi na wapi! Masikini Tanzania...Hii kali. Kumbe mtu ukichunguza sana utagundua madudu mengi hivi? Mkuu wa nchi anajua hili kweli au wamemficha?
Watafidia vipi hela walizokwiba kama hawataajiri wafanya kazi feki? Hii ndiyo sababu CAG anapigwa vita. CCM ni ile ile, huwezi kupanda mchicha ukavuna nyanya! CCM kutoa kiongozi mwadilifu ni sawa na nguruwe kuzaa mbuzi au nyang'au kuzaa swala, wapi na wapi! Masikini Tanzania...
Sio kwamba wako sawa no, yaani kwamba ni makosa ya kibinadamu yaliojitokeza. Na c kwamba wamefanya makusudi ili wafaidi.
KiziboIla m nahis wanaweza wakawa wawili majina yanafanana
Mkuu Mimi mwenyewe niligundua hili. Ukiwa mfuatiliaji au mhusika wa hivi vitu utajua tu.Mkuu umetumia 'software' gani kubaini ulichobain..
Maana kwa akili ya kawaida, majina zaidi ya buku, AF ugundue ktu km hiki, sio kazi nyepesii..