Fursa Pesa
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 4,633
- 3,534
"Typing error".......but number don't danganya
kiukweli sina maslahi na pesa ya mlipakodi wa tzNa wewe si upitie mkuu, kwani mpaka sisi tu.
Punguza ufukunyuku bana unaharibia watu kaziKatika ajira 4549 zilizotangazwa wiki iliyopita, baadhi ya majina yameajiriwa mara mbili katika vituo viwili tofauti. Ukifatilia katika matokeo yao ya NECTA kwa mwaka husika, unagundua kuwa namba hazikujirudia.
1.Hawa hapa walimaliza F4 mwaka 2010
View attachment 1085322
Matokeo ya NECTA ni namba moja tu
View attachment 1085323
2. Hawa walimaliza F4 2012
View attachment 1085324
Matokeo ya NECTA ni namba moja tu
View attachment 1085325
3. Hawa hapa mmoja alimaliza F4 2011 na mwingine 2015
View attachment 1085328
lakini jambo la kushangaza ni kwamba mwaka 2015 jumla ya idadi ya watahiniwa iliishia 0126 wakati huyu akionekana kuwa na namba 0131.
2011;View attachment 1085329
2015;View attachment 1085330
The Beautyful Ones Are Not Yet Born!
HAPPY MAY DAY!

kiukweli sina maslahi na pesa ya mlipakodi wa tz
Hakuna umakini kabisa period!! Unakuwa kama unatetea hapa!! Soma vizuri hii post ya huyu Great Thinker of the year, idadi ya walioajiriwa ni hewa!!!Naomba nichangie kama ifuatavyo......
1.Katika mfumo wa uombaji wa hizi ajira hakukuwa na uwezekano wa kufuta akaunti ya kuombea ajira mara baada ya kuifungua.
2.hakukuwa na uwezekano wa kudelete attachment kama vyeti vya sekondari au taaluma iwapo mtumaji anahisi ametuma kwa makosa.
3.mtandao ulikuwa unasumbua sana sana tena zaidi ya sana wakati wa kuomba isipokuwa siku chache kabla ya deadline kutimu.
Hivyo basi waombaji wengi walifungua akaunti zaidi ya moja huku wakiambatanisha document zilezile kwa sababu ya kuweka maombi yao kwa usawa zaidi,kumbuka kuwa hawakuwa na uwezo wa kufuta akaunt wala kufuta uploaded document.
Kubwa zaidi documents zilisumbua saaaaaana tena sana kuzi upload.watu wakatangaziana kufungua akaunt nyingine na zitakubali kisha zikakubali.
Wizara nao hawakuwa makini kwa upande wao wakati wa uchambuzi.
Vipi documents mtu kahitimu 1994, huku majina yanafanana number za mwisho zitofautiane, Ku create majina tifauti hakufanyi hyo issue itokeeNaomba nichangie kama ifuatavyo......
1.Katika mfumo wa uombaji wa hizi ajira hakukuwa na uwezekano wa kufuta akaunti ya kuombea ajira mara baada ya kuifungua.
2.hakukuwa na uwezekano wa kudelete attachment kama vyeti vya sekondari au taaluma iwapo mtumaji anahisi ametuma kwa makosa.
3.mtandao ulikuwa unasumbua sana sana tena zaidi ya sana wakati wa kuomba isipokuwa siku chache kabla ya deadline kutimu.
Hivyo basi waombaji wengi walifungua akaunti zaidi ya moja huku wakiambatanisha document zilezile kwa sababu ya kuweka maombi yao kwa usawa zaidi,kumbuka kuwa hawakuwa na uwezo wa kufuta akaunt wala kufuta uploaded document.
Kubwa zaidi documents zilisumbua saaaaaana tena sana kuzi upload.watu wakatangaziana kufungua akaunt nyingine na zitakubali kisha zikakubali.
Wizara nao hawakuwa makini kwa upande wao wakati wa uchambuzi.
Naomba nichangie kama ifuatavyo......

So uko upande upi?Naomba nichangie kama ifuatavyo......

Vya polisi!Wanaoajiriwa wanakwenda vituo gani.....?
Anafaa kuajiriwa katika ofisi ya CAGMkuu inabidi nikuite CAG.
Kwa hiyo unataka kushindana na chato? Kwani mbarali walipewa intaneshino eapoti? Benki ya gorofa? Taa za "njiani"? Utapata tabu sanaMimi haya ya majina nayaona karibia kila mwaka.
Kingine kilichonishangaza ni kitendo cha TAMISEMI Kuipatia wilaya ya Mbarali walimu wawili tu wa Sekondari tena wote shule moja ilihali kuna shule haina mwal wa Physics hata mmoja.
Wakati huo huo wilaya zingine kama Chato na Ruangwa zikipewa walimu wa sekondari zaidi ya 15 kila wilaya na ajabu zaidi kuna shule moja huko Chato imepewa walimu wa sekondary watano.