social_science
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,105
- 1,261
Hongera sana mkuu,tukipata watu kama wewe 10 ktk tasnia ya habari tutafika mbali.
Fuatilia vizuri mkuu,Hayo majina ni kweli yamejirudia. Nje ya Hao watu hewa pia kuna mtu kapangiwa kufundisha Mathematics na Book keeping, Mathematics na Account au Biology na Home economic. Hivyo vitu havipo kabisa. Kuna jamaa anasomo moja lakini kajaza mawili na kaenda. Ukifuatilia hizo ajira yamejaa madudu ya kutisha sana.Mkuu haya majina ni Ajira ya mwaka gani?
Mbona hao walio ajiriwa week iliyopita majina ya A yanaishia 296.
Mkuu mwenyewe niligundua ajira nyingi sana ni HEWA na kama zipo basi waliopewa sio waliostahili. Nina Uthibitisho wa vitu vingi sana kuhusu uozo wa hizi ajira.Huwa wanapika Data vibaya sana. Ndio maana wakatunga sheria ya takwimu ili zisitolewe Data za kweli bali za kwao za kupika tu.
Ametisha sana. Yapostiwe kule tweeterAisee unatakiwa kutunukiwa tuzo ya uchunguzi
Pole sana! Watanzania wengi ukiwemo wewe si wapenzi wasomaji bali ni wapenzi watazamaji.Mkuu haya majina ni Ajira ya mwaka gani?
Mbona hao walio ajiriwa week iliyopita majina ya A yanaishia 296.
Ulitumia siku ngapi kufuatilia, wengine tulipoona majina hayapo yanayotuhusu tukaendelea na mishe nyingine
Anastahili pongezi mtoa uziMtoa huu uzi nimetafakari sana lengo na nia ya ww kutumia hiyo Avatar !! Nimejifunza mambo mengi mojawapo ni kwamba jina huumba!! Hakika "Trust None" narudia tena " kweli kabisa Trust None" huyu ni mwanajf kwa jina lake ambalo hakika analiishi hana imani na mtu au taasisi yoyote ndio maana kafanya hiki alichokifanya !!! Hakika trust none!
Hii ndio Jf , am proud of it ! Hongera sana sana ,,,hii ndio maana tunasema humu jf ni kwa ma greatthinkers!!
Thanks !!
exactly, huwa najiskia fahar sna kuwa hpaJamii Forums home of the great thinkers!
Kuna watu wanalipwa kadri wanavyotumia internet na kumbukuka uchunguzi/ufukunyuzi ni kazi na inaingiza pesanacheka kama mazuri vile
kwanza nacheka huo hayo mambo niliyoyasoma kwa thread na kisha ninasikitika
pili nacheka jinsi watu walivyo na muda daaaaah![]()
Tazama kuanzia jina namba 3089Sin maana kwamba napinga mkuu punguza jazba mimi nimeuliza.
Sababu hiyo takwimu ya A nimeangalia hii ajira ya April. Huku kwengine ni sawa ila hiyo ya A sijayaona. Labda kama sio Ajira ya April.
Nikatika hali ya kutaka kujiridhisha tu.
😂😂😂😂Kuna wengi watakua ni hewa...... Naingia mzigoni nitachambua jina moja baada ya jingine...... Soon mrejesho utakua hapa
A zipo mara mbiliHoja ipo kwenye Herufi A mkuu ni ajira ya mwaka gani? Ungeondoa huo utata tu mkuu hayupo anae kubishia katika hili.