joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
- Thread starter
- #21
Ninyi ndio mjiandae na matatizo, Somalia haina la kupoteza, nchi yao tayari ilishapiteza usalama, wako tayari kwa lolote, watoto wa Somalia wanezoea kusikia MILIPUKO ya Bomu zaidi kuliko hata KDF.Walifikiri wanaeza kujaribu kuchukia maritime zone yetu bila consiquenses , we also know how to play