Serikali ya Somalia yatangaza rasmi kwamba KDF ni adui wa Somalia

Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
5,760
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
5,760 2,000
Kiswahili already wanaongea. Sasa imebaki kuwabatiza ukristo. By the time we are done with them watakua wakichapa injili proper.
Sahau hilo.
Wale utawaambukiza vyote ila sio dini.
Na ukiwaingilia kwenye dini umejitaftia uadui nao mind you Benadir is not a kalenjin.
 
B

Bwana254

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Messages
810
Points
1,000
B

Bwana254

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2014
810 1,000
Hili sio jambo la kupuuza, uhusiano kati ya Serikali ya Somalia inayoungwa mkono na Jumuiya ya kimataifa, AU na Ethiopia imetangaza rasmi kupitia Waziri wake kwamba KDF ni adui wa Somalia.

Hii ni hatari sana kwa usalama wa Kenya ambao tayari ni mbaya sana, hasa hasa baada ya KDF kujipeleka Somalia kichwa kichwa kuisadia serikali hiyo hiyo ya Somalia ambayo Leo inawaona KDF kuwa ni adui yao.
Huyu jamaa Joto la Kike mimi huwa nasema ni sadist ,psychopath and sociopath .Nyuzi zake zote ni za kuitakia Kenya mabaya ,kuitakia giza na kifo. Only a psycopath can think and act like you.
 
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
11,000
Points
2,000
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
11,000 2,000
Huyu jamaa Joto la Kike mimi huwa nasema ni sadist ,psychopath and sociopath .Nyuzi zake zote ni za kuitakia Kenya mabaya ,kuitakia giza na kifo. Only a psycopath can think and act like you.
Lengo langu ni kujaribu kuwaonyesha maeneo ambayo mnahitaji kujirekebisha ili muweze kuishi maisha yenye uhalisia.

Kenya mpo na shida ya kuishi maisha ya nadharia zaidi, mnatengeneza picha kuonyesha kwamba kila kitu kwenu kipo vizuri, matokeo yake Kenya inazidi kupoteza "direction" katika kila eneo.
 
Chief Sam

Chief Sam

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2019
Messages
764
Points
1,000
Chief Sam

Chief Sam

JF-Expert Member
Joined Jan 21, 2019
764 1,000
Lengo langu ni kujaribu kuwaonyesha maeneo ambayo mnahitaji kujirekebisha ili muweze kuishi maisha yenye uhalisia.

Kenya mpo na shida ya kuishi maisha ya nadharia zaidi, mnatengeneza picha kuonyesha kwamba kila kitu kwenu kipo vizuri, matokeo yake Kenya inazidi kupoteza "direction" katika kila eneo.
Wanaishi maisha ya drama afu wabishi.sisi yetu macho ao kina Jenerose waanze kufanya mazoezi ya kutafuta pumzi.Alshabab hawajawahi niangusha
 
J

Janerose mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Messages
3,728
Points
2,000
J

Janerose mzalendo

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2018
3,728 2,000
Wanaishi maisha ya drama afu wabishi.sisi yetu macho ao kina Jenerose waanze kufanya mazoezi ya kutafuta pumzi.Alshabab hawajawahi niangusha
People who know little are usually great talkers, while men who know much say little.
 
J

Janerose mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Messages
3,728
Points
2,000
J

Janerose mzalendo

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2018
3,728 2,000
Huyu jamaa Joto la Kike mimi huwa nasema ni sadist ,psychopath and sociopath .Nyuzi zake zote ni za kuitakia Kenya mabaya ,kuitakia giza na kifo. Only a psycopath can think and act like you.
Mwambie akadhibiti mauaji ya albinos na watoto wadogo huko kwao. He should first remove the log from his own eye, and then he can see clearly to remove the speck of chaff that is in his brother's eye
 
Raphael Focus

Raphael Focus

Senior Member
Joined
Nov 4, 2018
Messages
184
Points
250
Raphael Focus

Raphael Focus

Senior Member
Joined Nov 4, 2018
184 250
Hamjawahi kupigana vita vya kigaidi, ile mmezoea ni wanamgambo wa kina M23 ambao ukiua walili hamsini wanakimbia..... Kule Somalia wanakuanzia na magari VBIED yanakuja yakiwa yamepakia mabumu yanalipuka hapo kwa mlango au fence, alafu first wave wanakuja kama mia tatu wamejipanga kwa laini za watu hamsini hamsini, gaidi wa mbele ndo ako na bunduki, ukimuua alie nyuma yake anaokota bunduki na kuendelea kusonga mbele, wanaendelea hivyo mpaka wafike karibu nawe alafu wanaanzza kujilipua kama wendawazimu!!! Baada ya kama dakika 15 mnakua mmepepeta maadui karibu wote lakini risasi zimeisha , ukifikiri vita vimeisha, kumbe kuna second wave nyengine magaidi kama 500 wanamiminika kutoka kila upande!
Alafu kwa kutega mabomu hata ndo usiulize, Bomu linapasua hadi vifaru na magari mengine ya kivita ambayo yanafaa kustahimili milipuka ya aina hio...

Ndo maana munashambuliwa na magaidi, wote nyie munatumia mbinu za kijinga sana kupigana vita.
 
BlietzKrieg

BlietzKrieg

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2017
Messages
1,688
Points
2,000
BlietzKrieg

BlietzKrieg

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2017
1,688 2,000
Sahau hilo.
Wale utawaambukiza vyote ila sio dini.
Na ukiwaingilia kwenye dini umejitaftia uadui nao mind you Benadir is not a kalenjin.
Unasifu hizi dini as if watu hawawezi badilika,
Iyo dini yao ndio chance cha kuharibika Kwa serikali yao 1991.
Fake religions
 
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
11,000
Points
2,000
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
11,000 2,000
Mwambie akadhibiti mauaji ya albinos na watoto wadogo huko kwao. He should first remove the log from his own eye, and then he can see clearly to remove the speck of chaff that is in his brother's eye
Nimekusikia, ila nafsi yangu inanisuta, ziwezi kukujibu. Hahahaha, hahahaha.
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
5,760
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
5,760 2,000
Unasifu hizi dini as if watu hawawezi badilika,
Iyo dini yao ndio chance cha kuharibika Kwa serikali yao 1991.
Fake religions
Mimi nazungumzia mindset za somalians buddah.
Sijatetea dini.
Nadhan utakua umenielewa.
Wasomali wale ni wafia dini huwez wabadilisha na ktk mindset zao yeyote atayewaingilia ktk uislam na wala sio muislam ni adui wao wa milele.
Hukukaa nao wale inaonekana wewe??!!!!!
Wale hata disco unaweza wapeleka ht kuwa sodomize ila gusia ktk masuala ya dini utakua umeharibu kila kitu.
Nadhan hapo umenielewa man.
Kama ww atheist ni ww waache wenzio waamin.
 
Arnold mrass cannambo

Arnold mrass cannambo

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2018
Messages
3,586
Points
2,000
Arnold mrass cannambo

Arnold mrass cannambo

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2018
3,586 2,000
Sahau hilo.
Wale utawaambukiza vyote ila sio dini.
Na ukiwaingilia kwenye dini umejitaftia uadui nao mind you Benadir is not a kalenjin.
Wako hapa Kenya tunawajua vizuri. Walikuja wakisema hawawezi oana na wakenya lakini sikuizi tunakanyaga Kama gunia and a number of them wameokokaThen and Now
amina-abdi-jpeg.1195382
ape2ozojmbgnylw5b54409b3899e-jpeg.1195383
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
5,760
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
5,760 2,000
E

Engineer levi Devin

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2016
Messages
1,639
Points
2,000
E

Engineer levi Devin

JF-Expert Member
Joined May 17, 2016
1,639 2,000
Kafrican

Kafrican

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2015
Messages
5,236
Points
2,000
Kafrican

Kafrican

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2015
5,236 2,000
Mmmh bro ht km hatujawahi pigana na magaidi ila vita ni vita.
Chukulia mfano wale wana mapinduzi wa Comoros walikua wanajeshi walotaka kumpindua kiongozi wao ila JWTZ ikawazima.
Eti vita ni vita!!!

USA ili invade Iraq na wiki mbili Serekali na Jeshi la sadaam lilikua limeanguka, Nato pia ilifanya hivyo hivyo kule Libya kupitia ndege za angani bila hata kutuma majeshi ya chini......

Kwa upande mwengine jeshi hilo hilo la marekani limekua likipigana vita vya kigaidi huko Iraq na Afganistan kwa miaka kumi na nane na kuweka rekodi kama the longest war in US history...
Yani jamaa walianza vita wakipigana na taliban, sahii wanajaribu kujadiliana na taliban ili vita viishe huku bado hao taliban wanaendelea kuua majeshi ya marekani


2 U.S. Soldiers Killed in Afghanistan as Talks With Taliban Resume

  • Aug. 21, 2019

KABUL, Afghanistan — Two United States soldiers were killed in Afghanistan on Wednesday as violence has intensified amid peace talks and American casualties have risen with it.
A statement by the United States military command announcing the deaths did not provide details, which the Pentagon does not disclose until families are notified. But Afghan and American officials said the soldiers were from an Army Special Forces unit carrying out an operation in restive Faryab Province in the north, and had most likely died during a firefight.
“Our commandos and the Americans had an operation last night and there was fighting until 1 a.m.,” said Abdul Manan Qateh, the district governor of Almar, where the battle was said to have taken place.
The deaths on Wednesday bring American military fatalities in the country this year to 14, up from 13 deaths in 2018 and 11 in 2017. The rising toll is a sign of how the American military is taking a more aggressive role in the conflict again after drawing down to about 14,000 troops and taking on a largely advisory role as Afghan forces fight the Taliban.

Those Afghan forces bear the brunt of the conflict, with roughly two dozen fatalities a day.
Both sides are intensifying attacks as American diplomats try to negotiate a deal with the Taliban to end the 18-year war. After eight rounds of talks in the Qatari capital, Doha, they seem close to a deal that will include a timeline for the withdrawal of American forces and an agreement by the Taliban to sit down with other Afghans to chart the country’s political future
---------------------------------------------
Vita vya kigaidi sio kama vita vya aina nyengine, hawa jamaa hata uue wangapi bado wanaendelea kupigana, ukiua gaidi mmoja, familia yake inashika bunduki na kujiunga kwa vita, ukiwauwa hao, jamii na majirani nao wanajiunga...yani kadri unavyo waua ndo wanazidi kuongezeka
 
Kafrican

Kafrican

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2015
Messages
5,236
Points
2,000
Kafrican

Kafrican

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2015
5,236 2,000
Kwanini Ethiopia au Uganda ambao walitangulia kwenda Somalia, kambi zao hazishambuliwi na kuuliwa hovyo kama KDF?, jibu lipo wazi kwamba KDF hawana uzoefu wowote wa vita, hii ndio Mara yao ya kwanza kupigana vita, wakati Uganda wamepigana vita ndani ya DRC na South Sudan, wakati Ethiopia wamepigana na Eretria.

Tanzania tumepigana huko Msumbiji, Zimbabwe, Namibia na South Africa, Uganda na DRC. Tunajua jinsi ya kujipanga, KDF wakikabiliana na Ethiopia army ndani ya ardhi ya Somalia, vita inaisha ndani ya wiki moja.
Hamna uzoefu wowote wa kupambana na magaidi, hapo hata usijaribu kujiweka kwa hesabu, nyinyimkiingia kule itakua ni vicheko kila siku..

Alafu hao wengine hua husikii lakini usidhani hua hawashambuliwi, kati ya majeshi yote Uganda ndo wamepoteza wengi kuliko nchi yoyote huko Somalia..


Lakini ukiangalia kwa takwimu, Licha ya KDF kuwa na wanajeshi wacchache huko Somalia ndo imeweza kuua alshabaab wengi zaidi na kujiweka kwa risk kubwa zaidi manake lile eneo tunaloshika doria ni kubwa licha ya kua na wanajeshi wachache, Hao Ethiopia wanatabia ya kuondoka eneo lao na kurudi hadi ndani ya Ethiopia ...
Unaiyona El-Adde hapo iko ndani ya Sector 3 ambayo inafaa kushikwa doria na Ethiopia, Hapo ndo kambi ya KDf ilishambuliwa na Alshabaab, hii ilikua ni baada ya Ethiopia kuwacha kushikilia doria hilo eneo kwa miezi kadhaa kusababisha KDF ambayo tayari ina majukumu yake kuweka kambi huko manake El-Adde ni karibu na Kenya na tukiacha wazi basi alshabaab watakua na uwezo wa kuja kwa ma mia wakiwa na magari hadi ndani ya Kenya bila kuzuliwa na yeyote.... Kwahivyokushambuliwa kwa KDF si eti KDF haijui kupigana, ni kwamba sisi ndo tunafanya kazi kubwa licha ya kuwa na wanajeshi wachache.......... Hebu ni kuulize, kwanini kati ya hizo nchi zote zilizo tuma majeshi kuko Somalia, mbona Alshabaab walikiri kwamba Kenya ndo nchi ambayo mujahedeen wote wanafaa kupigana nayo kwa holly-war , hawajawahi kufanya hivyo kwa hizo nchi nyengine.... Pia mbona alshabaab ina kikosi spesheli cha kushambulia Kenya wakati hakuna vikosi spesheli vya kushambulia wanajeshi wa hizo nchi nyengine?? Kla siku/mwezi utaskia habari kutoka somalia, KDF this, KDF that, ni nadra sana usikie habari za wanajeshi wa uganda au ethiopia au burundi na hao ndo wengi huko somalia...kwanini??
 

Forum statistics

Threads 1,336,634
Members 512,670
Posts 32,546,114
Top