Serikali ya Somalia yatangaza rasmi kwamba KDF ni adui wa Somalia

Walifikiri wanaeza kujaribu kuchukia maritime zone yetu bila consiquenses , we also know how to play
Ninyi ndio mjiandae na matatizo, Somalia haina la kupoteza, nchi yao tayari ilishapiteza usalama, wako tayari kwa lolote, watoto wa Somalia wanezoea kusikia MILIPUKO ya Bomu zaidi kuliko hata KDF.
 
Vita vya nchi kwa nchi si kama vile vya magaidi, Ukishinda kwa battle umeshinda vita, vile vya ugaidi hata uue mia na ubakishe wawili, hao wawili wataokota grenade na bado waendelee kupigana..

Anyway, Sahii wako kule japan

Namuna Rais wa Somali ako hajainua mkono! the guy must be really pissed
69525037_2905332922815546_8964559175908589568_o.jpg

Namuona Rais wa Somalia Farmajo hapo nyuma Amekunja sura! Uhuru anachekacheka anajifanya hamuoni ndo anazidi kumkasirisha !!!!

69598999_2905333219482183_5687074348205080576_n.jpg

69576651_2905332882815550_2648325088671170560_o.jpg

Anyways,
 
Vita ikianza ujue ni kati ya Kenya dhidi ya Ethiopia, wakati huo huo Alshabaab hawajamalizana na Kenya. Patamu sana huko mnakoelekea.
 
Shida iko Somalia, So Ethiopia hawawezi kuvamia Kenya kama vile Kenya Haiwezi kuvamia Ethiopia.... Uwanja wa huu mchezo uko Somalia! Infact, wacha niwe specific, Shida iko kati ya Jubaland state na Mogadishu based government kwahivyo vita vya aina yoyote itakua ni kupitia proxy, i.e Kenyaitumia majeshi ya jubalaand na Ethiopia itumia SNA

SO%20map%20federated%20states.png

Kwahivyo hata Somalia ikishinda ile Kesi ya bahari kule ICJ, Tunaeza tukaelewana na Jubaland watuachie bahari yetu alafu tutawaunga mkono milele!
 
Jubaland wala Serikali ya Mogadishu hawana uwezo wowote wa kupigana vita, hii maana yake ni kwamba, KDF na Ethiopia army watapigana ndani ya ardhi ya Somalia, lengo la Ethiopia ni kuirudisha Jubaland mikononi mwa Farmajo ili waweze kutumia bandari ya Kismayo kama alternative Port ya Djibouti, Ethiopia haiwezi kukubali Jubaland ijitawale. Kenya jiandaeni kupambana na jeshi lenye nguvu sana ukanda huu, The Ethiopian Army".
 
Jeshi la Ethiopia halikuweza kushinda Eritrea ilhali walikuwa wanapigana kwenye mpaka, wakijaribu kushindana na Kenya Kismayu itakuwa janga la taifa kwao..

The future of Ethiopia after starting a war with Kenya would not be guaranteed, they would collapse like a castle made of sand.
 
KDF vs Ethiopia army?, Hahahaha, Hahahaha.
 
Your semi-literacy is showing.Kizungu changu kimenipeleka mbali!!Hadi Uingereza kwenyewe. The benefits of having English as the medium of instruction is one of the things that ensures Kenya remains on top in the region as we can communicate with ease with over a billion people.
Upuuzi mtupu.
 
But can't help Kenya to creat employments, produce enough food for its people, reduce poverty, build houses for millions slum dwellers, solve the problem of tribalism, and reduce corruption, just to community with billion people is enough for you.
 
Your semi-literacy is showing.Kizungu changu kimenipeleka mbali!!Hadi Uingereza kwenyewe. The benefits of having English as the medium of instruction is one of the things that ensures Kenya remains on top in the region as we can communicate with ease with over a billion people.
 
Ethiopia Army cannot defeat KDF in Kismayu, Kismayu ni mbali sana kaka...
Ethiopian does not have enough resources to project power at such a distance against a rival of the size of Kenya..
Hahahaha, KDF vs Ethiopia Army?. Unachekesha sana
 
Back
Top Bottom