imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 46,677
- 71,034
Kwa sasa Raisi wa Maharamia Mohamed Farmajo katamgaza vita na KDF na KENYA imepata msaidizi ambae ni Local Millitia kutoka JuBa
Somaliland iko tayari muda wowote Kutoa Msaada wa Kijeahi ukizingatia ni Majeshi matiifu ya Somaliland ndio yalioyomfanya Dikteta Mohamed Siad Bare Kukinbia bila kuangalia nyuma.
Eatleigh kihisroria walipewa Askari kutoka British Somaliland kabla ya hawa wasomali wenye kubana pua na wenye kujiona Superior kuliko sisi Wabantu
Walikuja kuivamia Eatleigh na kuleta pesa zao haramu za Ransom
Juzi nilipokuwa Nairobi nilishuhudia Serikali ya Mtukufu Mwugai Kenyatta akiwapa Ardhi Hekta 6000 Elfu sita Wasomali wa Somaliland huko Rift valley kama zawadi ya Askari wa Mwingereza.