Serikali ya Somalia yatangaza rasmi kwamba KDF ni adui wa Somalia

Teargass

Teargass

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2018
Messages
6,478
Points
2,000
Teargass

Teargass

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2018
6,478 2,000
Hamna uzoefu wowote wa kupambana na magaidi, hapo hata usijaribu kujiweka kwa hesabu, nyinyimkiingia kule itakua ni vicheko kila siku..

Alafu hao wengine hua husikii lakini usidhani hua hawashambuliwi, kati ya majeshi yote Uganda ndo wamepoteza wengi kuliko nchi yoyote huko Somalia..

Lakini ukiangalia kwa takwimu, Licha ya KDF kuwa na wanajeshi wacchache huko Somalia ndo imeweza kuua alshabaab wengi zaidi na kujiweka kwa risk kubwa zaidi manake lile eneo tunaloshika doria ni kubwa licha ya kua na wanajeshi wachache, Hao Ethiopia wanatabia ya kuondoka eneo lao na kurudi hadi ndani ya Ethiopia ...
Unaiyona El-Adde hapo iko ndani ya Sector 3 ambayo inafaa kushikwa doria na Ethiopia, Hapo ndo kambi ya KDf ilishambuliwa na Alshabaab, hii ilikua ni baada ya Ethiopia kuwacha kushikilia doria hilo eneo kwa miezi kadhaa kusababisha KDF ambayo tayari ina majukumu yake kuweka kambi huko manake El-Adde ni karibu na Kenya na tukiacha wazi basi alshabaab watakua na uwezo wa kuja kwa ma mia wakiwa na magari hadi ndani ya Kenya bila kuzuliwa na yeyote.... Kwahivyokushambuliwa kwa KDF si eti KDF haijui kupigana, ni kwamba sisi ndo tunafanya kazi kubwa licha ya kuwa na wanajeshi wachache.......... Hebu ni kuulize, kwanini kati ya hizo nchi zote zilizo tuma majeshi kuko Somalia, mbona Alshabaab walikiri kwamba Kenya ndo nchi ambayo mujahedeen wote wanafaa kupigana nayo kwa holly-war , hawajawahi kufanya hivyo kwa hizo nchi nyengine.... Pia mbona alshabaab ina kikosi spesheli cha kushambulia Kenya wakati hakuna vikosi spesheli vya kushambulia wanajeshi wa hizo nchi nyengine?? Kla siku/mwezi utaskia habari kutoka somalia, KDF this, KDF that, ni nadra sana usikie habari za wanajeshi wa uganda au ethiopia au burundi na hao ndo wengi huko somalia...kwanini??
Waganda wengi wamekufa Somalia kuliko Kenyans. Today is another incident.
 
imhotep

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
18,945
Points
2,000
imhotep

imhotep

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
18,945 2,000
Jamhuri ya watu wa Somaliland imeweka majeshi yake kwenye High alert iwapo Somalia itaanzisha Vita ya kijinga na KDF Somaliland itafungua ne New Front from the North.

Ili wanaume wakutane Mogadishu kama ilivyokuwa wakati wa Second world war.
Trust me Hao wanajeshi wa Mogadisho wakisikia Northern warriors wanashuka Migadishu watakimbia mpaka wasahau Viatu.
 
Prem 96

Prem 96

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2019
Messages
222
Points
500
Prem 96

Prem 96

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2019
222 500

Acha UONGO wewe mzee Somaliland haina uwezo wa kupambana na Somalia pia hizo jubaland na Somaliland ni swala la muda tu zitarudi chini ya Somalia
 
Sherlock

Sherlock

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2018
Messages
514
Points
500
Sherlock

Sherlock

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2018
514 500
Acha UONGO wewe mzee Somaliland haina uwezo wa kupambana na Somalia pia hizo jubaland na Somaliland ni swala la muda tu zitarudi chini ya Somalia
Mogadishu wameshindwa kuwadhibiti alshabaab Hadi kwenye presidential palace watawezaje ku pigana na Somaliland
 
imhotep

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
18,945
Points
2,000
imhotep

imhotep

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
18,945 2,000
Acha UONGO wewe mzee Somaliland haina uwezo wa kupambana na Somalia pia hizo jubaland na Somaliland ni swala la muda tu zitarudi chini ya Somalia
Hivi unaunatumia mdomo kuongea au Lufindo.hebu nijibu fasta
 
Jana Raisi wa Mogadishu kalala kwenye banda la mbuzi Heavy Mortars zilikuwa zikishuka kama mvua
 
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
11,000
Points
2,000
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
11,000 2,000
Mogadishu wameshindwa kuwadhibiti alshabaab Hadi kwenye presidential palace watawezaje ku pigana na Somaliland
Kenya imeshindwa kuwadhibiti Alshabaab wanapiga eneo lolote wanalotaka ndani ya Kenya.
 
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
11,000
Points
2,000
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
11,000 2,000
Yani hata alshabaab Wana run parallel gvt na wana collect taxes
Mbele ya macho ya KDF waliosema wanaenda Somalia kusambaratisha Alshabaab, lakushangaza Alshabaab wana collect taxes toka kwa KDF wanaouza makaa.
 
imhotep

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
18,945
Points
2,000
imhotep

imhotep

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
18,945 2,000
Acha UONGO wewe mzee Somaliland haina uwezo wa kupambana na Somalia pia hizo jubaland na Somaliland ni swala la muda tu zitarudi chini ya Somalia
_42845079_launchers416-jpg.1205375

Jana hiyo Gavana wa Mogadisho mwizi wa Bahari Tukufu ya Kenya alilala kwenye Kibanda cha Mbuzi vitu vilikuwa vinamwagika kama mvua ya Masika cheza na KDF weye.
kenya-army-nep-somalia-border-jpg.1205382
_42845079_launchers416-jpg.1205375
 
Prem 96

Prem 96

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2019
Messages
222
Points
500
Prem 96

Prem 96

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2019
222 500
Mogadishu wameshindwa kuwadhibiti alshabaab Hadi kwenye presidential palace watawezaje ku pigana na Somaliland
Kama al shabab wanarun huko Mogadishu basi ni kwa sababu ya udhaifu wa KDF
 
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
11,000
Points
2,000
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
11,000 2,000
Alshabaab wako na Eneo lao wanashikilia kule South west, ndiko wanakopanga mashambulizi dhidi ya Kenya na kambi za KDF ndani ya Somalia, ile ndege vita ya Kenya ilipodunguliwa na Alshabaab iliangukia katika eneo hilo lililo chini ya Alshabaab lakini KDF waliogopa kwenda kumtafuta rubani wao hadi Leo wanaogopa kwenda kumtafuta.
Mogadishu iko under sector 1 ambayo Uganda ndo wako responsible.
 
Sherlock

Sherlock

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2018
Messages
514
Points
500
Sherlock

Sherlock

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2018
514 500
Mbele ya macho ya KDF waliosema wanaenda Somalia kusambaratisha Alshabaab, lakushangaza Alshabaab wana collect taxes toka kwa KDF wanaouza makaa.
Wewe endelea kuamini ripoti za NGOs .who are the number one funders of alshabaab.
 
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
11,000
Points
2,000
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
11,000 2,000
Wewe endelea kuamini ripoti za NGOs .who are the number one funders of alshabaab.
Hahahaha, lakini si mlienda kuwamaliza Alshabaab ili wasisumbue Kenya?, mbona wanashikilia eneo la nchi ya Somalia lakini hamuwezi kuwafuata ili muwamalize?
 
Sherlock

Sherlock

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2018
Messages
514
Points
500
Sherlock

Sherlock

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2018
514 500
Hahahaha, lakini si mlienda kuwamaliza Alshabaab ili wasisumbue Kenya?, mbona wanashikilia eneo la nchi ya Somalia lakini hamuwezi kuwafuata ili muwamalize?
Eneo unalo ongea kuhusu linaitwa jilib . alshabaab walikita mizizi huko baada ya kufurushwa Maeneo mengineyo . Wana support nyingi Sana ya locals ila eneo lenyewe si strategic Kama vile Kismayu
ama babera ambazo walikuwa wakizitumia kama financial na administrative capitals.
 
Forum statistics

Threads 1,336,650
Members 512,670
Posts 32,546,576
Top