Serikali ya Rwanda imeapa kutowafukuza Watanzania!

Serikali ya Rwanda imeapa kutowafukuza Watanzania!

Kifarutz; Hapo sikuungi mkono Mkuu, unadai ungekuwa na mamlaka ungewafungia kwenye concentration camp/chamber na kuwachoma moto kisa wahamiaji haramu waliokimbia vita ambao Rais wao umetofautiana nae, vipi kuhusu nduguzo wanaokamatwa na mafurushi ya madawa ya kulevya karibia kila leo katika nchi mbalimbali?
 
Last edited by a moderator:
Heshima mbele wakuu,

Hivi tunaweza kujiuliza ni kwa nini kila siku mabasi ya abiria (yawe yanakwenda au yanatoka) maeneo ya Kigoma, Bukoba, Ngara, Biharamulo na Karagwe na yale yaendayo nchi za Burundi, Rwanda na DRC...huwa lazima yapewe eskoti ya askari 2 wenye silaha kwa kila basi!

Mabasi yatokayo Dar kwenda Kigoma/Bukoba na nchi jirani, huwa yakifika eneo la msalabani (jirani ya Runzewe) ni LAZIMA yapewe eskoti ya askari wenye silaha.

JK aliuliza katika ziara yake mkoani Kagera kuwa, iwaje raia wanasafiri ndani ya nchi yao, kwamba hawawezi kusafiri kwa uhuru pasipo vyombo vya usafiri kupewa eskoti ya askari. Kwamba, hakuna usalama katika mikoa ya Geita, Kagera na Kigoma.

Hali iliyopo huku magharibi mwa Tanzania ni tofauti na Tarime, Namanga, Tunduma na maeneo mengine ya mipaka ya nchi yetu.

Kwa yeyote aliyethubutu kushuhudia uharamia na matukio ya mipaka ya magharibi mwa nchi yetu, naimani angemshukuru JK kwa aliyojionea.

Uharamia katika ardhi ndio kabisaa usiseme, uporaji ndio balaa. Na pia askari wetu huwaua sana maharamia hao na huwa HAITANGAZWI.

Zikumbukwe operesheni zote za misituni za makamanda wa polisi wa Kagera walizozifanya miaka ya karibuni, yote ni kupunguza uharamia.

Binafsi kwa niliyoyashuhudia, naiunga kauli ya JK.

Mkuu niliwahi kulishuhudia basi la Adventure linalofanya safari kati ya Mwanza na Kigoma likiwa limechakazwa kwa kumiminiwa risasi na majambazi. Kwa kweli kwa yeyote anayeipenda nchi hii, hawezi kupinga kauli ya JK. Hawa jamaa ni wanyama sana hawapaswi kuonewa huruma. Wale wanaotaka kuishi nchini mwetu wafuate njia halali kama ambavyo sisi tunafanya tukienda kwao.
 
The difference is the same. Why now? And why Ngara? Umesikia wahamiaji haramu wanafukuzwa Arusha au Mtwara?

Hata Arusha na Mtwara na popote pale ndan ya mipaka ya TZ we'll search for all tutsi and repatriate them back to their country. As to why now that is not yr business, u dont have mandate to tell the Government of URT what to do and when to do it!
 
wanaorudishwa kwao ni wahamiaji haramu,halali wataendelea kubaki,tusipotoshe。

mnyarwanda na mtanzania mwenye akili timamu atajua kuwa kikwete hakukosea na hakua na dhamira mbaya kumshauri kagame,, kama alivyosema kikwete ushauri ni ushauri tu waweza kubali au ukaukataa, tunawasikitikia sana ndugu zetu wa rwanda kwa madhira yaliyowakumba 1994 ila wao si wa kwanza duniani,, japani iligongwa na mmarekani huko nagasaki na hiroshima mpaka leo wajapani baadhi wameathirka,, lakini japani wanamahusiano mazuri na marekani japo hawajasahau, mandela na makaburu alisamehe na sasa wanaishi pamoja, na waziri hawezi ku question uungwana wa watanzania wakati anajua hadi leo kuna wanyarwanda wa toka 1959 wanaishi hapa , wamesomea hapa hata kagame kasoma hapa pia, wakimbizi wa 1994 nao tumekaa nao kwa wema hapa mapak un na serekari ya rwanda walipoomba tanzania iwarudishe ili wakajenge nchi yao, kati ya nchi hizi mbili tanzania imembebea sana mzigo mwenzake, so hilo alikumbuke kagame na waziri wake na dunia inajua hili
 
hapo bolded italic,iwasiliane sasa,jinsi ya kujua wataondokaje na kupokelewa vipi ,je walipoingia ninyi wanyarwanda mliwasiliana na Tanzania jinsi ya kuondoka rwanda na vile wangepokelewa hapa tanzania?/wote wanaoishi iligally they must go!!!!!!!!!

kwa hiyo unataka warudishwe kama NYUMBU siyo , au unataka sisi tunaofanya biashara KIGALI tufurumushwe ? Kisa wewe unafanya biashara zako kariakoo ! Acheni mambo hayo bhana .
 
Hatuhitaji itafsiriwe vizuri na rwanda, km ni wahamiaji haramu waondoke. Hata wale wanaoishi kihalali nao ni wakuangalia vizuri. Watutsi si watu, wanachofanya huko Kongo ndo wanachotaka waje kufanya huku TZ badae. So waondoke tu sasa na sio kesho. Ukitaka uelewe vizuri kuwa tutsi have ill motives tafuta waraka wa Mtikila

Uneducated f.o.o.l if you believe that this so called Mtukula article is of substance.
Wewe rushasha have all the traits of an Interahamwe. Its a matter of time before the public knows who you really are. I will not be surprised if you are not wanted in Arusha.
 
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Rwanda amesema kamwe hawatawafukuza Watanzania wanaoingia na kutoka nchini Rwanda kwa shughuli mbalimbali kwani tupo ndani ya shirikisho la Afrika Mashariki na hata kihistoria Rwanda haijawahi kuwa na tatizo na Tanzania. Akizungumzia sakata la wahamiaji haramu wa Kinyarwanda kufukuzwa na serikali ya Tanzania amesema, kila nchi inayo mamlaka ya kufanya vile inafaa lakini ingekuwa vizuri Tanzania ingewasiliana na Rwanda ili kujua wataondokaje na kupokelewa vipi.Amesisitiza, "Kwa kuwa wenzetu wameamua kufanya hivyo, tupo tayari kuwapokea wananchi wetu" Lakini pia, Waziri huyo amesema waasi wa FDRL ni kikundi cha wauaji wanaojipanga kuangamiza watu fulani nchini Rwanda hivyo wanatakiwa kupingwa kwa nguvu zote badala ya kuwatambua na kuzungumza nao kama kundi halali na lenye nia njema.Naye Mtanzania Mohammed, amependekeza Rais Kagame na Kikwete wakutane na kufikia suluhu.Pia baadhi ya Wanyarwanda wamelalamikia kutokutendewa haki kwa kutenganishwa na wake,waume, n.k (DW Kiswahili.)

This woman (the foreign affairs minister for rwanda, loise mushikiwabo-whtever the name is) is a disgraceful person! I real dont knw whether she is right in her mind. Yeye si ndo alianza kumkashifu Mh Rais Kikwete? Sasa kanachoongea ni nini? Km kuna waTZ wanaoishi rwanda warudi kwao. Asijaribu kuleta hadithi eti hatutawafukuza waTz waliopo rwanda...hayo ni mambo yenu ya rwanda..hayatuhusu. lkn huku kwetu hatuwataki wanyarwanda wanaoishi kinyume na taratibu hasa watutsi kwa sababu wanachokifanya masharki ya Kongo ndo wanachotaka wafanye na huku TZ ili watimize ndoto yao ya bahima empire. Afu she mentions that we are in EAC! There's nothing like that in practical. The "eac" is for uganda, kenya and rwanda! Watutsi ndio chanzo kikubwa cha kukosekana kwa amani eneo la maziwa makuu. TZ huu ndo wakati wa kudhibiti this notorious ethnic group under the leadership of their blood thirsty tyrants kagame and mu7!
 
Mkuu niliwahi kulishuhudia basi la Adventure linalofanya safari kati ya Mwanza na Kigoma likiwa limechakazwa kwa kumiminiwa risasi na majambazi. Kwa kweli kwa yeyote anayeipenda nchi hii, hawezi kupinga kauli ya JK. Hawa jamaa ni wanyama sana hawapaswi kuonewa huruma. Wale wanaotaka kuishi nchini mwetu wafuate njia halali kama ambavyo sisi tunafanya tukienda kwao.

Kwa hiyo hata hao majambazi wanaoiba kila siku Dar ni kutoka nchi jirani tu?Hwao wanarusha mabomu na kumwagia watu tindikali ni wahamiaji haramu? Hivi waliowaua wale wafanyabishara wa Mahenge walikuwa ni wahamiaji haramu? Na vipi polisi, magereza na JWTZ wanaokamatwa na nyara za serikali?
 
Je kunawamalawi, wazambia,wakenya, wahindi, waarabu nk wangapi wanaoishi kinyume na sheria ya uhamiaji? ni hatu zipi zimechukuliwa dhidi yao napia wasomali kibao wanafilisi Tembo wetu?

Nini mtazamo wako katika hili? Jadili ukirejerea kufurushwa kwa wanyarwanda.

Kwahiyo Ulitaka Kikwete akae kizembe hili Ule mkwara wa PK ufanye Kazi na Am HIT where It will ... Au unakanusha hiyo Kauli?

By the way unajua wakimbizi wakitusi waliokimbilia Kongo mwaka 1959 ndio leo wanao jihita wa kongo na kuunda M23 na kusababisha mauaji makubwa mashariki ya kongo?
 
Uneducated f.o.o.l if you believe that this so called Mtukula article is of substance.
Wewe rushasha have all the traits of an Interahamwe. Its a matter of time before the public knows who you really are. I will not be surprised if you are not wanted in Arusha.

So if u think Mtikils' s article lacks substance why has it shaken you tutsi vampires? Mtashangaa sana...aliwaanika vizuri sana. Mfunge virago mrudi kwenu nyie watutsi wauaji wakubwa nyie mnanuka damu za Wakongo wasio na hatia!
 
NDESSA; Mkuu, neno WAHAMIAJI HARAMU ni kiswahili fasaha na kinyume chake ni WAHAMIAJI HALALI hivyo hakuna udhalilishaji wa kibinadamu katika matumizi ya maneno haya.Wageni wanaoishi nchini bila kibali au kinyume cha sheria ni wahamiaji haramu.Kwa sasa naona Mhe.Kikwete ameanza na Wanyarwanda na Burundi, bila shaka Wachina,Wahindi na Wakenya wanaowarubuni watu na kujipatia ardhi kinyume cha sheria watafuatia.Vinginevyo tutaonekana wabaguzi zaidi kuliko kusimamia sheria.
 
Last edited by a moderator:
rushasha

Wewe hujielewi! Nyie watutsi mrudi tu kwenu. Mtukane tu Mh Rais wetu km tabia zenu zilivo kwan alianza huyo tyrant wenu kagame

Wewe unajielewa? kama unajielewa kwanini Kikwete awafukuze wanyarwanda pekee nasiyo wasomali, wakenya, wamalawi nk? hebu tufafanulie mkuu


.
WaTZ hatuhitaji hiyo Jumuiya ya Afr Mashariki kwa hiyo Mh Kikwete hana uchawi wowote hapo km ulivosema

unaonesha jinsi usivojielewa wala kuilewa serikali yako, vipi kuhusu waziri wa afrika mashariki? kama hamuitaki kwanini kikwete kateuwa waziri na pia tunawabunge huko nk? hebu fafanua mkuu.

Wewe naona huelewi chochote hapa, huyo mwanamke waziri wa mambo ya nje wa rwanda ana hekima gani?

hekima yake inajibainisha pale anaposema hakuna mtanzania atakaye bughuziwa kwa kuishi nchini rwanda lakini kikwete amecheza kamali na amepoteza, ameshindwa kukabilina na kagame anafukuza walalahoi/wanyonge-maana yake ameweka hekima mfukoni (kikwete)

Na kwnn sasa ndo awe na
hekima wakti ndo kalianza kumletea Rais wetu maneno ya kashfa?

Kikwete alitaka umaarufu kupitia mgogoro wa Rwaanda kimataifa, ukweli nikwamba wakati yeye anashauri kagame akae meza ya majadiliano na wauaji, kikwete hapa kwake

1. Ameshindwa kukaa na waalimu kujadili na kutatua matatizo yao, badala yake kataka kuwapiga.

2. Ameshindwa kukaa na madakitari kujadili na kutatua matatizo yao, badala yake kataka kuwapiga na kuwafukuza kazi baadhi yao

3. Ameshindwa kukaa na wanamtwara kujadili na kutatua matatizo yao, ilikuwapa uhakika wa nini watapata kutoka mapato ya gesi na sasa kawapelekea wanajeshi ambao wanawapiga na kuwabaka.

4. Ameshindwa kukaa na wapinzani wake kisiasa, katika mikowa ya mwanza, Arusha, mbeya na huko zanziba kujadili na kutatua matatizo yao, badala yake nikuwapiga kila uchao na kuwazushia kesi za ugaidi ni upuuzi mkubwa kuwa na kiongozi wa aina hii.

Je kunauhalali gani kikwete kumshauri kagame yale ambayo yeye kikwete hawezi kuyatekeleza hapa nyumbani? hizi sio propaganda tuu? huu sio unafiki?
Na tena ukome kabisa kumwita Rais wetu dhaifu! Mrudi kwenu watutsi mliojaa damu za watu mikononi mwenu
.

Kikwete ataendelea kuwa dhaifu tu maadam-:

1. Ameshindwa kuwakamata wauza dawa za kulevya ambao alikiri kuwafahamu

2. Ameshindwa kuwakamata wezi wa EPA ambao anawafahamu

3. Ameshindwa kuwakamata walioficha fedha huko ughaibuni na anawafahamu

4. Kushindwa kuwavuwa magamba wezi wa rada, Richmond nk

5. kuendelea kuwakumbatia mawaziri mizigo kama mizengo pinda anayeishi kwa kutesa akina ulimboka, kutoa amri za kupiga raia ovyo, wezi wa meno ya tembo-meli ya kinana haijataifishwa kwanini baada ya kubainisha inatorosha nyara za serikali nk

6. Kushindwa kuwafukuza kazi, kawambwa na mulugo kwa kuferisha watoto wetu 90% na kushusha kiwango cha ufaru kwa kiasi kikubwa

7. kushindwa kuwadhibiti mawaziri wake mpaka inafikia petrol na mafuta ya taa (kerosine) kuwa na bei moja, usalama wa masikini na chemli/vibatali upo wapi?

8.

9.

10.

11. Kushindwa kuwachukulia hatua wakuu wa polisi wauwaji-Kamuhanda, Andengenye, Shilogile nk
 
Last edited by a moderator:
Hata Arusha na Mtwara na popote pale ndan ya mipaka ya TZ we'll search for all tutsi and repatriate them back to their country. As to why now that is not yr business, u dont have mandate to tell the Government of URT what to do and when to do it!
"You have traits of interahamwe." I like this quote about you.
 
rushasha



Wewe unajielewa? kama unajielewa kwanini Kikwete awafukuze wanyarwanda pekee nasiyo wasomali, wakenya, wamalawi nk? hebu tufafanulie mkuu


.

unaonesha jinsi usivojielewa wala kuilewa serikali yako, vipi kuhusu waziri wa afrika mashariki? kama hamuitaki kwanini kikwete kateuwa waziri na pia tunawabunge huko nk? hebu fafanua mkuu.



hekima yake inajibainisha pale anaposema hakuna mtanzania atakaye bughuziwa kwa kuishi nchini rwanda lakini kikwete amecheza kamali na amepoteza, ameshindwa kukabilina na kagame anafukuza walalahoi/wanyonge-maana yake ameweka hekima mfukoni (kikwete)



Kikwete alitaka umaarufu kupitia mgogoro wa Rwaanda kimataifa, ukweli nikwamba wakati yeye anashauri kagame akae meza ya majadiliano na wauaji, kikwete hapa kwake

1. Ameshindwa kukaa na waalimu kujadili na kutatua matatizo yao, badala yake kataka kuwapiga.

2. Ameshindwa kukaa na madakitari kujadili na kutatua matatizo yao, badala yake kataka kuwapiga na kuwafukuza kazi baadhi yao

3. Ameshindwa kukaa na wanamtwara kujadili na kutatua matatizo yao, ilikuwapa uhakika wa nini watapata kutoka mapato ya gesi na sasa kawapelekea wanajeshi ambao wanawapiga na kuwabaka.

4. Ameshindwa kukaa na wapinzani wake kisiasa, katika mikowa ya mwanza, Arusha, mbeya na huko zanziba kujadili na kutatua matatizo yao, badala yake nikuwapiga kila uchao na kuwazushia kesi za ugaidi ni upuuzi mkubwa kuwa na kiongozi wa aina hii.

Je kunauhalali gani kikwete kumshauri kagame yale ambayo yeye kikwete hawezi kuyatekeleza hapa nyumbani? hizi sio propaganda tuu? huu sio unafiki? .

Kikwete ataendelea kuwa dhaifu tu maadam-:

1. Ameshindwa kuwakamata wauza dawa za kulevya ambao alikiri kuwafahamu

2. Ameshindwa kuwakamata wezi wa EPA ambao anawafahamu

3. Ameshindwa kuwakamata walioficha fedha huko ughaibuni na anawafahamu

4. Kushindwa kuwavuwa magamba wezi wa rada, Richmond nk

5. kuendelea kuwakumbatia mawaziri mizigo kama mizengo pinda anayeishi kwa kutesa akina ulimboka, kutoa amri za kupiga raia ovyo, wezi wa meno ya tembo-meli ya kinana haijataifishwa kwanini baada ya kubainisha inatorosha nyara za serikali nk

6. Kushindwa kuwafukuza kazi, kawambwa na mulugo kwa kuferisha watoto wetu 90% na kushusha kiwango cha ufaru kwa kiasi kikubwa

7. kushindwa kuwadhibiti mawaziri wake mpaka inafikia petrol na mafuta ya taa (kerosine) kuwa na bei moja, usalama wa masikini na chemli/vibatali upo wapi?

8.

9.

10.

11. Kushindwa kuwachukulia hatua wakuu wa polisi wauwaji-Kamuhanda, Andengenye, Shilogile nk

Duh!
Taratibu maana unapiga IKULu, Yani Mulemule panapouma.
 
Last edited by a moderator:
So if u think Mtikils' s article lacks substance why has it shaken you tutsi vampires? Mtashangaa sana...aliwaanika vizuri sana. Mfunge virago mrudi kwenu nyie watutsi wauaji wakubwa nyie mnanuka damu za Wakongo wasio na hatia!
Unatakiwa ICC ukajibu mashtaka ya mauaji wewe,and stop fooling people wewe ni Mtanzania you are not,you are nothing but interahamwe uliyekimbilia TZ,soon or later they will catch up with you.
 
Kwahiyo Ulitaka Kikwete akae kizembe hili Ule mkwara wa PK ufanye Kazi na Am HIT where It will ... Au unakanusha hiyo Kauli?

By the way unajua wakimbizi wakitusi waliokimbilia Kongo mwaka 1959 ndio leo wanao jihita wa kongo na kuunda M23 na kusababisha mauaji makubwa mashariki ya kongo?


Hapana mkuu, tatizo kubwa ninaloliona na kuniumiza kichwa changu ni jinsi kikwete anavofanya kazi kisanii na kipropaganda zaidi. Yale anayowaasa wenzake wafanye yeye hayafanyi.
 
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Rwanda amesema kamwe hawatawafukuza Watanzania wanaoingia na kutoka nchini Rwanda kwa shughuli mbalimbali kwani tupo ndani ya shirikisho la Afrika Mashariki na hata kihistoria Rwanda haijawahi kuwa na tatizo na Tanzania. Akizungumzia sakata la wahamiaji haramu wa Kinyarwanda kufukuzwa na serikali ya Tanzania amesema, kila nchi inayo mamlaka ya kufanya vile inafaa lakini ingekuwa vizuri Tanzania ingewasiliana na Rwanda ili kujua wataondokaje na kupokelewa vipi.Amesisitiza, "Kwa kuwa wenzetu wameamua kufanya hivyo, tupo tayari kuwapokea wananchi wetu" Lakini pia, Waziri huyo amesema waasi wa FDRL ni kikundi cha wauaji wanaojipanga kuangamiza watu fulani nchini Rwanda hivyo wanatakiwa kupingwa kwa nguvu zote badala ya kuwatambua na kuzungumza nao kama kundi halali na lenye nia njema.Naye Mtanzania Mohammed, amependekeza Rais Kagame na Kikwete wakutane na kufikia suluhu.Pia baadhi ya Wanyarwanda wamelalamikia kutokutendewa haki kwa kutenganishwa na wake,waume, n.k (DW Kiswahili.)
Khaa!! huyu waziri vipi?? Hakuna Mrwanda aliyefukuzwa Tanzania!! Ila Tanzania inawarejesha nyumbani wahamiaji haramu. Labda atuambie kuwa Watanzania tunakaribishwa Rwanda na tunapewa ruhusa ya kuingia kama bar tu bila kufuata taratibu zozote :bored:
 
artorius; hiyo siyo sinema mkuu kwani hapo maisha ya watu yanahusika, nimemsikiliza mtanzania aliyeko rwanda anasema wanaishi vema na wanyarwanda na kufanya nao biashara bila kubaguana na wanawapenda sana watanzania kwani wanawaona ni watu wema.je, mapendekezo ya rais wa rwanda gen.paul kagame kukutana na rais wa tanzania mhe.dr.kikwete hayana mashiko kwa ustawi wa nchi mbili na watu wake?

alipokuwa anatukana hakujua outcome zake?
 
Hapana mkuu, tatizo kubwa ninaloliona na kuniumiza kichwa changu ni jinsi kikwete anavofanya kazi kisanii na kipropaganda zaidi. Yale anayowaasa wenzake wafanye yeye hayafanyi.

Nakubaliana na Hilo mia mia.
Lakini hayo ya Kikwete hayatufanyi kufumbia macho usalama wa Nchi yetu pamoja na Raisi kama Taasisis Japo ni Dhaifu.

Ukweli ni kwamba WATUSI wana Agenda zao na tusipo zipinga leo huko mbele watakuja kutushinda na usije kushangaa wakija kuiteka Kagera na miji mingine ya karibu na kwao kama wanavyofanya leo huko COnGO.
 
Back
Top Bottom