environmental
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 1,054
- 137
Bunge la Rwanda lilishapitisha kwa raia yeyote wa east africa kuishi na kufanya kazi bila ya mambo ya visa wala nini?.kuna watanzania wapo kwenye sekta muhimu.
Hongera Kagame.Husirudishe kisasi.Hapo ndipo utajua kiongozi mzuri ni yupi.Kwani chuki tunazozipanda kwa wananchi sio nzuri.Tujifunze kujenga na sio kubomoa .Tujue kesho na keshokuwa hatokuwepo Kagame wala Kikwete kwenye serikali.Lakini wananchi wa pande zote mbili watakuwepo.
Utetezi wa enzi za mawe unaleta hizi zama za technology?
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Rwanda amesema kamwe hawatawafukuza Watanzania wanaoingia na kutoka nchini Rwanda kwa shughuli mbalimbali kwani tupo ndani ya shirikisho la Afrika Mashariki na hata kihistoria Rwanda haijawahi kuwa na tatizo na Tanzania. Akizungumzia sakata la wahamiaji haramu wa Kinyarwanda kufukuzwa na serikali ya Tanzania amesema, kila nchi inayo mamlaka ya kufanya vile inafaa lakini ingekuwa vizuri Tanzania ingewasiliana na Rwanda ili kujua wataondokaje na kupokelewa vipi.Amesisitiza, "Kwa kuwa wenzetu wameamua kufanya hivyo, tupo tayari kuwapokea wananchi wetu" Lakini pia, Waziri huyo amesema waasi wa FDRL ni kikundi cha wauaji wanaojipanga kuangamiza watu fulani nchini Rwanda hivyo wanatakiwa kupingwa kwa nguvu zote badala ya kuwatambua na kuzungumza nao kama kundi halali na lenye nia njema.Naye Mtanzania Mohammed, amependekeza Rais Kagame na Kikwete wakutane na kufikia suluhu.Pia baadhi ya Wanyarwanda wamelalamikia kutokutendewa haki kwa kutenganishwa na wake,waume, n.k (DW Kiswahili.)
Umenena vyema mkuu
Kama ndivyo mbona hatuyaoni haya kutendeka katika mipaka ya kenya, zambia na malawi? unafikiri ni kwanini?
Kama ndivyo mbona hatuyaoni haya kutendeka katika mipaka ya kenya, zambia na malawi? unafikiri ni kwanini?
Hongera Kagame.Husirudishe kisasi.Hapo ndipo utajua kiongozi mzuri ni yupi.Kwani chuki tunazozipanda kwa wananchi sio nzuri.Tujifunze kujenga na sio kubomoa .Tujue kesho na keshokuwa hatokuwepo Kagame wala Kikwete kwenye serikali.Lakini wananchi wa pande zote mbili watakuwepo.
Nimemsikiliza Vizuri sana WASHA TUZIDI POINT MOJA AMBAYO WATANZANIA WENGI HAWATATAMBUA mwisho wa siku tutaonekana sisi ndo wajinga.
Hata mimi uncle wangu doctor huko Rwanda anasema hukuna tatizo wanaendelea na kazi kama kawaida.
Mawazo ya kukutana na Namilonjo Kagame aloyeitukana Tanzania na raia wake sio akili njema.artorius; Hiyo siyo sinema mkuu kwani hapo maisha ya watu yanahusika, nimemsikiliza Mtanzania aliyeko Rwanda anasema wanaishi vema na Wanyarwanda na kufanya nao biashara bila kubaguana na wanawapenda sana Watanzania kwani wanawaona ni watu wema.Je, mapendekezo ya Rais wa Rwanda Gen.Paul Kagame kukutana na Rais wa Tanzania Mhe.Dr.Kikwete hayana mashiko kwa ustawi wa nchi mbili na watu wake?
Nchi gani duniani isiyo na illegal immigrants? Juzi tumeshuhudia Marekani kupitisha sheria za kuhalalisha residency ya mamilioni ya 'wahamiaji haramu' bila shaka na watanzania wamo. Huu ndio ungwana. Nationalism is tribalism on a larger scale- Mwalimu.
(stricly speaking there is no such thing as an illegal immigrant-one world ,one people, vitabu vitakatifu vinahimiza hili)