Serikali ya Rwanda imeapa kutowafukuza Watanzania!

Serikali ya Rwanda imeapa kutowafukuza Watanzania!

kweleakwelea; Mimi nakupinga ukisema hakuna haja ya majadiliano kuhusu wahamiaji haramu na utaratibu wa kuwarejesha makwao labda hii iwe Tanzania tu. Marekani ni moja kati ya mataifa ambayo wahamiaji haramu haswa kutoka Mexico na hata Afrika wamekuwa sehemu ya mipango,uratibu na mahusiano ya kiraia baina ya Marekani na jumuiya ya kimataifa.Na mara kadhaa Mijadala imeendeshwa kuhusu namna ya kuwapatia uraia au kudhibiti kasi ya ongezeko la wahamiaji haramu. Tofauti yetu na wao ni moja tu yaani umakini mipakani. Wahamiaji haramu si mbuzi ni watu na wanaweza kuingia kwasababu ya kukimbia njaa,vita,magonjwa au kusukumwa na fursa ya biashara na ajira kama wafanyavyo Wahindi,Wasomali na Wachina.Hoja inayokuja ni je, tuna utaratibu mzuri wa kuwatambua wahamiaji haramu maana tetesi zasema wengine ni madiwani tena kupitia CCM ukiachana na sakata la Kinana. Tumejipangaje?
 
Last edited by a moderator:
Wazungu wanasema "two wrongs don't make right"
Ikiwa unajisifia kuwa wewe ni mwizi na kudai "mbona fulani na fulani ni wezi pia?!?, seuze mimi jamani?"..ni tatizo.
Suala ni yeyote aliye nchini kinyume cha sheria ataondolewa...nadhani hili hasa ndilo lilikuwa tamko la mkuu.


Mkuu unadhani? kwahiyo hunauhakika!

Je utekelezaji wake kama unavyodhani unafanyika nchi nzima au kwa kundi na mkowa flani tuu?

Lakini pia unaweza kutoa mifano ya walengwa na wathilika tofauti na wanyarwanda ili kwa kudhani kwako nasi tuzani

kwamba siyo ubinafsi na udhaifu wakikwete kushindwa kukabiliana na Kagame?
 
Omuregi Wasu,
Mbona hili zoezi linafanyika Ngara peke yake? Sijasikia pale Namanga Wamasai wakifurumushwa. Na hata kule Mtwara.
Fumbo mfumbie mjinga.

Wamasai hawana tatizo. Hili ngoja tu lifanyike huko kwenye mikoa walipojipenyeza watutsi ili warudi kwao. Hao si binadam wanaoweza ishi na binadam wenzao. Ni watu wenye ubaguzi wa hali ya juu; wauaji na wapenda madaraka. Ukiwakaribisha kwako watataka wakutawale. Angalia wanachofanya huko Kongo sasa hivi...
 
Rubbish!! Nenda nje uone wabongo wanaoishi bila vibali, South Africa kuna maelfu ya bongo wazamiaji na wengi ndio wahalifu wnauza madawa na wezi. Hata siku moha sikuwahi kusikia serikali ya madiba inapoteza muda kuwasaka wabongo waliozamia. Tuache roho mbaya hii mipaka iliwekwa na wazungu, waafrika wote ni ndugu.
Punguza munkari mkuu,kama S.afrika wameamua kukaa na wa TZ wahamiaji haramu si ni wao???hizo ni taratibu zao hapa hakuna kupoteza muda kwani vipo vyombo halali vya dola vinavyolipya mishahara kufanya kazi hizi ni moja kati ya majukumu yao.Tunamrudishia kagame watu wake hiyo ni amri ya mkuu wetu wa nchi unataka kuipinga kwa kulalamika???
 
Kwa hili waziri wa Rwanda na serikali yake kwa vyovyote vile wanahekima pia wanaheshimu uwepo wa binadamu wengine.

Kikwete hata iwaje ni dhaifu kweli kweli:-

Ameshindwa kupambana na Kagame ananyanyasa raia wasio na kosa lolote eti wahamiaji haramu

-Mbeya, songea, kigoma. mara, geita, mwanza na mtwara tuna wageni wangapi na wanavibali kweli?

-Je Malawi, Zambaia, Kenya, Uganda, kongo nk kunawatanzania wangapi huko na je wako kihalali wote? au nao wafukuzwe?

Ukweli na historia imejiandika ikithibitisha kwamba Rwanda sio adui wa watanzania na wala sio tishio kwa amani yetu

Tishio la amani ya watanzania ni kiongowetu dhaifu Kikwete
ambaye hana hekima japo busara tu ya kawaida ambayo waziri wa Rwanda ameionesha.

Mchawi wa amani ya East Africa ni kikwete kwa sababu binafsi za kujinasibisha na kuutaka umaarufu kimataifa asioustahili.

Wewe hujielewi! Nyie watutsi mrudi tu kwenu. Mtukane tu Mh Rais wetu km tabia zenu zilivo kwan alianza huyo tyrant wenu kagame. WaTZ hatuhitaji hiyo Jumuiya ya Afr Mashariki kwa hiyo Mh Kikwete hana uchawi wowote hapo km ulivosema. Wewe naona huelewi chochote hapa, huyo mwanamke waziri wa mambo ya nje wa rwanda ana hekima gani? Na kwnn sasa ndo awe na hekima wakti ndo kalianza kumletea Rais wetu maneno ya kashfa? Na tena ukome kabisa kumwita Rais wetu dhaifu! Mrudi kwenu watutsi mliojaa damu za watu mikononi mwenu.
 
Nimemsikiliza Vizuri sana WASHA TUZIDI POINT MOJA AMBAYO WATANZANIA WENGI HAWATATAMBUA mwisho wa siku tutaonekana sisi ndo wajinga.

Hata mimi uncle wangu doctor huko Rwanda anasema hukuna tatizo wanaendelea na kazi kama kawaida.

mkuu huyo anko wako ana vibali vya kuishi na kufanya kazi Rwanda au anaishi huko ki haramu haramu?
 
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Rwanda amesema kamwe hawatawafukuza Watanzania wanaoingia na kutoka nchini Rwanda kwa shughuli mbalimbali kwani tupo ndani ya shirikisho la Afrika Mashariki na hata kihistoria Rwanda haijawahi kuwa na tatizo na Tanzania. Akizungumzia sakata la wahamiaji haramu wa Kinyarwanda kufukuzwa na serikali ya Tanzania amesema, kila nchi inayo mamlaka ya kufanya vile inafaa lakini ingekuwa vizuri Tanzania ingewasiliana na Rwanda ili kujua wataondokaje na kupokelewa vipi.Amesisitiza, "Kwa kuwa wenzetu wameamua kufanya hivyo, tupo tayari kuwapokea wananchi wetu" Lakini pia, Waziri huyo amesema waasi wa FDRL ni kikundi cha wauaji wanaojipanga kuangamiza watu fulani nchini Rwanda hivyo wanatakiwa kupingwa kwa nguvu zote badala ya kuwatambua na kuzungumza nao kama kundi halali na lenye nia njema.Naye Mtanzania Mohammed, amependekeza Rais Kagame na Kikwete wakutane na kufikia suluhu.Pia baadhi ya Wanyarwanda wamelalamikia kutokutendewa haki kwa kutenganishwa na wake,waume, n.k (DW Kiswahili.)

:kev: tatizo wote ni maafande mmoja jeneral mwingine luteni kanali,fulu ubabe
 
Tena wana bahati sana hawa. Ingekuwa ni mimi ningewasweka kwenye concentration camps halafu nawatandika kiberiti just like Jewish..!
 
Rubbish!! Nenda nje uone wabongo wanaoishi bila vibali, South Africa kuna maelfu ya bongo wazamiaji na wengi ndio wahalifu wnauza madawa na wezi. Hata siku moha sikuwahi kusikia serikali ya madiba inapoteza muda kuwasaka wabongo waliozamia. Tuache roho mbaya hii mipaka iliwekwa na wazungu, waafrika wote ni ndugu.

Nyie watutsi mrudi tu kwenu! Km Serikali ya RSA haitaki kuwarudisha hao waTZ wanaoishi huko kinyume na taratibu hio sio kazi yetu na hatuwezi kuwaingilia. Watutsi malengo yao yanafahamika...if u dont knw then see what tutsi are doing in Eastern DRC. Nia yao ni kuleta vurugu eneo la maziwa makuu kwa kujipenyeza penyeza kwenye nchi zingine ili watengenezi kitu wanachokiita bahima empire. Tafuta waraka wa Mtikila ndio utaelewa ninachojaribu kukuambia hapa
 
Let me express my grave concerns on disproportionate reaction of JK on this saga.No place for emotions here.Kurudisha watu zaidi ya 500 kwa wakati mmoja bila kuwasiliana na nchi husika wakati hao watu wengine wamezaliwa Tz na kukulia hapa hakifai tena wakati kuna tension kubwa kati ya hizi nchi 2 lazima uonekane una-'ill motive'
 
Kikwete anawapenda Waasi zaidi kuliko wananchi wa Rwanda chini ya Rais Kagame.. Kikwete aache Jazba awe na Busara kufukuza wahamiaji Haramu kwenye kipindi hiki, haiwezi kutafisiriwa vizuri na Rwanda!
 
Mkuu unadhani? kwahiyo hunauhakika!

Je utekelezaji wake kama unavyodhani unafanyika nchi nzima au kwa kundi na mkowa flani tuu?

Lakini pia unaweza kutoa mifano ya walengwa na wathilika tofauti na wanyarwanda ili kwa kudhani kwako nasi tuzani

kwamba siyo ubinafsi na udhaifu wakikwete kushindwa kukabiliana na Kagame?

Watu wa Burundi.
Sehemu kubwa ya wakimbizi tuliopokea miaka ya nyuma walitokea Rwanda na Burundi. Wengi wao walipitia Kagera na Kigoma...lazima watarudia huko huko..upo?
 
kwanini iwe kwa wanyarwanda 2 kwani hakuna wengine wanaoishi tz kinyume cha sheria nchi kibao wapo humu hawaafuata sheria je hao hawajaona hili swala lipo kisiasa zaidi so tusipende kuunga mkono bila kufikiri rais angetangaza kwa yeyote anaeishi tz bila kibali bila kutaja nchi hapo tungejua kweli lakini kwa kuitaja rwanda 2 kuna warakini

Ni kwa sabbu wanyarwanda hasa watutsi ni watu wenye roho mbaya mno na waliojaa hila sana. Ukimkaribisha kwako kwa uzuri mwisho wa siku atataka akutawale hata kwa kukuua! Km na ww ni mtutsi basi ujue tunawajua tabia zenu sasa basi mrudi kwenu kwani nyie mtu asiye mtutsi basi si binadamu. Ndo mana ukifika rwanda wahutu na watwa ni raia daraja la pili. Mnachofanya kongo ndo mnachotaka badae mje mfanye hapa Tanzania. Soma waraka wa Mchungaji Mtikila ndio utapata zaidi jibu la swali lako...
 
Kikwete anawapenda Waasi zaidi kuliko wananchi wa Rwanda chini ya Rais Kagame.. Kikwete aache Jazba awe na Busara kufukuza wahamiaji Haramu kwenye kipindi hiki, haiwezi kutafisiriwa vizuri na Rwanda!

Hatuhitaji itafsiriwe vizuri na rwanda, km ni wahamiaji haramu waondoke. Hata wale wanaoishi kihalali nao ni wakuangalia vizuri. Watutsi si watu, wanachofanya huko Kongo ndo wanachotaka waje kufanya huku TZ badae. So waondoke tu sasa na sio kesho. Ukitaka uelewe vizuri kuwa tutsi have ill motives tafuta waraka wa Mtikila
 
Tena wana bahati sana hawa. Ingekuwa ni mimi ningewasweka kwenye concentration camps halafu nawatandika kiberiti just like Jewish..!

just like Jewish au Jews??????
au una maanisha mayahudi???
au waisrael?????
Ndugu hizi sio zama za yule mjerumani aliyewaua wayahud zaid ya mamilion dawa ya watusi maana Rwanda ina watwa , wahutu na watusi ila tabia za watusi ni sawa na za wayahudi sema yule mnazi wa kijerumani hayupo zama hizi!
 
Let me express my grave concerns on disproportionate reaction of JK on this saga.No place for emotions here.Kurudisha watu zaidi ya 500 kwa wakati mmoja bila kuwasiliana na nchi husika wakati hao watu wengine wamezaliwa Tz na kukulia hapa hakifai tena wakati kuna tension kubwa kati ya hizi nchi 2 lazima uonekane una-'ill motive'

Let it be seem as an ill motive but let them go! Huwajui watutsi wewe unless na ww ni mmoja wao. Ni watu wenye tabia chafu sana za kupenda madaraka hata kwa kumwaga damu. Ni wabaguzi waliokithiri kias kwamba km ww si mtutsi mwenzao hawakuoni km binadamu. Watacheka na ww lkn ukigeuza tu mgongo basi.... tafuta waraka wa Mtikila utaelewa vizuri. Km kweli ww ni Mtanzania huna sababu ya kuwaonea huruma hawa watu. Wana kwao let them go!
 
Je kunawamalawi, wazambia,wakenya, wahindi, waarabu nk wangapi wanaoishi kinyume na sheria ya uhamiaji? ni hatu zipi zimechukuliwa dhidi yao napia wasomali kibao wanafilisi Tembo wetu?

Nini mtazamo wako katika hili? Jadili ukirejerea kufurushwa kwa wanyarwanda.
Tumeanza na wale wanaomtishia maisha raisi wetu eti ni suala la muda tu ata mu-hit na kumtukana na kejeli nyingi,wale wenye nyodo ndio tunaanza nao.Yule Joyce Banda ana mdomo pia ila bahati yake watu wake hawaji kwa makundi makubwa na hawana mifugo wanashughulikiwa pia watakamatwa kama kuku wanakoishi kote tunakujua.
 
Back
Top Bottom