Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,961
- Thread starter
- #101
[h=2]Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi atembelea Karakana ya Shirika la Reli Tanzania Mkoani Morogoro[/h]
[COLOR=#29597B !important]Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi Mhe.Mhandisi Dkt Charles Tizeba (MB) leo tarehe 19 Novemba, 2013 alitembele Karakana ya Shirika la Reli Tanzania (TRL) iliyopo Mkoani Morogoro. Naibu Waziri ametembelea karakana hiyo kuangalia maendeleo ya uundwaji upya wa vichwa vya treni ambavyo viko kwenye mpango wa matokeo makubwa sasa kwenye sekta ya Uchukuzi kwa ajili ya kuimarisha usafiri wa Reli nchini.
[/COLOR]