JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,177
- 7,472
Serikali ya Kijiji cha Namwangwa, Kata ya Hezya Wilayani Mbozi mkoani Songwe ikiongozwa na Mwenyekiti Japhet Mbukwa imeachia madaraka kwa madai ya Mtendaji wa Kata amemkamata na kumshikilia katika ofisi yake kwa madai ya kuwa Mwenyekiti huyo anahifadhi Wakimbizi wanaoharibu mazingira na kumtaka alipe fedha ili aachiwe.
Video: Songwe TV1