OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,237
- 103,891
Kumbe zipo za mchongo! 😆😆Hongera Mh Mpango, Makamo wa Rais wa JMT.... ( PhD isiyo ya mchongo )
Ameongea kama wengine humu au lemma kule,atwambie kwa msisitizo kwamba yeye yuko mstari wa mbele kupingana na Mambo ya ushoga na mswada uwekwe bungeni iwe marufuku.Hapo nitaona kaonyesha msisitizo.Hongera Mh Mpango, Makamo wa Rais wa JMT.... ( PhD isiyo ya mchongo )
Kwa kweli ni udhalilishaji wa hali ya juu. Jambo la ajabu ni kuwa wanaodhalilishwa wanadai iwe haki yao kudhalilishwaYaan unakunjwa mbuzi kagoma na mwanaume mwenzio? Aisee,mna moyo kweli! Yaan unamwagiwa manii huku unaona hivihivi😳 aiseee....am speechless 😶
Yeye ni mkatoliki na papa mkuu wa kanisa anasema mapenzi ya jinsia moja ni hakiMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Wazazi na Walezi kuwalea Watoto na Vijana kwa kuzingatia maadili ya kitanzania pamoja na kuongeza umakini katika maudhui yanayooneshwa katika Televisheni.
Dr. Mpango ameyasema haya wakati akiongea na Waumini wa Kijiji cha Kasumo Mkoani Kigoma baada ya kushiriki Ibada ya kawaida ya katikati ya wiki katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Malkia wa Amani Kijiji hapo ambapo
amesema kumekuwepo na mmomonyoko wa maadili ikiwemo ndoa za jinsia moja ambazo hazipo hata kwa Wanyama hivyo Wazazi waangalie Watoto na Vijana wanaangalia nini ili kuondokana na kuwa na Taifa la ajabu.
“Hili ni gumu kweli, maadili ya Nchi yetu yameporomoka sana, yaani na mengine hata kuyasema ni ngumu, ndoa za Wanaume wawili?, ndoa za Wanawake wawili? mliziona wapi? hata Wanyama hawafanyi hivi”
Kwa upande mwingine, Dr. Mpango amewaasa Wananchi wa Kasumo na Mkoa wa Kigoma kwa ujumla kutoa ushirikiano wakati huu ambapo Serikali inafanya ujenzi wa miundombinu ya Barabara katika Mkoa huo ambao ni nyenzo muhimu kwa biashara na urahisi wa kufikia huduma za jamii kama vile Hospitali na Shule na kuzingatia pia kuwapa Wawekezaji ushirikiano ikiwemo kuzingatia bei halisi za ardhi katika maeneo yao ili kutowapoteza.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Wazazi na Walezi kuwalea Watoto na Vijana kwa kuzingatia maadili ya kitanzania pamoja na kuongeza umakini katika maudhui yanayooneshwa katika Televisheni.
Dr. Mpango ameyasema haya wakati akiongea na Waumini wa Kijiji cha Kasumo Mkoani Kigoma baada ya kushiriki Ibada ya kawaida ya katikati ya wiki katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Malkia wa Amani Kijiji hapo ambapo
amesema kumekuwepo na mmomonyoko wa maadili ikiwemo ndoa za jinsia moja ambazo hazipo hata kwa Wanyama hivyo Wazazi waangalie Watoto na Vijana wanaangalia nini ili kuondokana na kuwa na Taifa la ajabu.
“Hili ni gumu kweli, maadili ya Nchi yetu yameporomoka sana, yaani na mengine hata kuyasema ni ngumu, ndoa za Wanaume wawili?, ndoa za Wanawake wawili? mliziona wapi? hata Wanyama hawafanyi hivi”
Kwa upande mwingine, Dr. Mpango amewaasa Wananchi wa Kasumo na Mkoa wa Kigoma kwa ujumla kutoa ushirikiano wakati huu ambapo Serikali inafanya ujenzi wa miundombinu ya Barabara katika Mkoa huo ambao ni nyenzo muhimu kwa biashara na urahisi wa kufikia huduma za jamii kama vile Hospitali na Shule na kuzingatia pia kuwapa Wawekezaji ushirikiano ikiwemo kuzingatia bei halisi za ardhi katika maeneo yao ili kutowapoteza.
Hehehe zile za kupewa, mtu analala, akiamka kwakua yeye ni Mkuu wa Chuo Kikuu UDSM , alafu wee ni rafiki yake, unfurahishaaa na kwakua nayeye ni Mzee wa Low IQ, ila anaujanja wa Mjini ..Kumbe zipo za mchongo! 😆😆
Haya kama wapo, wanyama hawakupewa utambuzi..Wanyama wapo. Unapokuwa kiongozi mkubwa ufanye tafiti za kutosha kabla ya kuzungumza. Ushoga upingwe lakini sio kuwa hoka za nyepesi
Hata Hawa wanaowala, inakuaje unakula mwanaume mwenzio??.Yaan unakunjwa mbuzi kagoma na mwanaume mwenzio? Aisee,mna moyo kweli! Yaan unamwagiwa manii huku unaona hivihivi😳 aiseee....am speechless 😶
Ni halali tunavyokufa ovyo dhambi zimekithiriKwa kweli ni udhalilishaji wa hali ya juu. Jambo la ajabu ni kuwa wanaodhalilishwa wanadai iwe haki yao kudhalilishwa
Sahihi, ila naye tumpe hongera kutokua na kigugumiziAmeongea kama wengine humu au lemma kule,atwambie kwa msisitizo kwamba yeye yuko mstari wa mbele kupingana na Mambo ya ushoga na mswada uwekwe bungeni iwe marufuku.Hapo nitaona kaonyesha msisitizo.
Kumbe Kuna wakati unakua na Akili MwananguDr. Mpango kama kiongozi wa nchi anapaswa kutoa tamko ambalo litataeleza msimamo wa nchi na siyo kuishia kutoa ushauri
Haya kama wapo, wanyama hawakupewa utambuzi..
Unaweza kumla Mama yako?? Au Dada yako??.
Ila wanyama wanakulana.