Serikali na Jamii: Kinachoendelea TikTok hakina afya kwa vijana wadogo

Aramun

Senior Member
Nov 8, 2023
165
745
Kumradhi kwa video hizi 2 nitakazopost, huenda zikawa zinavunja T&C za JF lakini naomba mods mziache watu na serikali wazione ili kama walikuwa hawajui basi wajue na wachukue hatua stahiki.

Hizi video zimerekodiwa kutoka kwa mtumiaji mmoja, wanavyoonekana ni mtu na mpenzi wake, ila binti anaonekana hajafikisha miaka 18. Hata kama wote wamefikisha miaka 18, vitendo wanavyofanya vinakinzana na maadili ya kitanzania, pia vinakinzana na sheria za nchi hasa matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii.

Huu ni mfano mmoja tu, lakini kuna mamia kwa maelfu ya "Live Sessions" ambazo zinaendelea muda wote huko Tiktok. Mida ya usiku live nyingi zinakuwa za kingono zaidi, kwani zinaonesha hao wanaoenda live wakifanya matendo ya kingono waziwazi.

Lengo kuu ya huu ujinga ni kusaka token na followers. Utasikia wanawasisitiza followers wao; "m-tap tap jamani", "tumeni hata token basii". Binafsi hizi token sijajua zina faida gani kwani sio mtumiaji sana wa huu mtandao.

Rai yangu kwa serikali hasa wizara husika, huu mtandao ufungiwe au uwe cencored kwani unaharibu maadili hasa kwa vijana wa umri mdogo ambao wengi mida kama hii utakuta wamejichimbia kwenye hizo love zisizo na faida yoyote kwao.
 
Hivi mpaka una download app ya TikTok, unakua una dhumuni gani au unatafuta nini huko.

Na kama walivyosema Wengine unachoki tafuta au kukifwatilia kwenye hii mitandao ndicho utakacho pewa.

Kama unatafuta/fwatilia Mambo ya hovyo..... Ndiyo feed ya itajaa Mambo hayo hayo
 
Mkuu
Kumradhi kwa video hizi 2 nitakazopost, huenda zikawa zinavunja T&C za JF lakini naomba mods mziache watu na serikali wazione ili kama walikuwa hawajui basi wajue na wachukue hatua stahiki.

Hizi video zimerekodiwa kutoka kwa mtumiaji mmoja, wanavyoonekana ni mtu na mpenzi wake, ila binti anaonekana hajafikisha miaka 18. Hata kama wote wamefikisha miaka 18, vitendo wanavyofanya vinakinzana na maadili ya kitanzania, pia vinakinzana na sheria za nchi hasa matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii.

Huu ni mfano mmoja tu, lakini kuna mamia kwa maelfu ya "Live Sessions" ambazo zinaendelea muda wote huko Tiktok. Mida ya usiku live nyingi zinakuwa za kingono zaidi, kwani zinaonesha hao wanaoenda live wakifanya matendo ya kingono waziwazi.

Lengo kuu ya huu ujinga ni kusaka token na followers. Utasikia wanawasisitiza followers wao; "m-tap tap jamani", "tumeni hata token basii". Binafsi hizi token sijajua zina faida gani kwani sio mtumiaji sana wa huu mtandao.

Rai yangu kwa serikali hasa wizara husika, huu mtandao ufungiwe au uwe cencored kwani unaharibu maadili hasa kwa vijana wa umri mdogo ambao wengi mida kama hii utakuta wamejichimbia kwenye hizo love zisizo na faida yoyote kwao.
Mkuu unauma ma kupulizia siyo?

Imekuwa kama umetupia nofu kwenye mbwa wenye njaa, eti ... 'naambatanisha video'😉😀😁😆😆🤣🤣.

Itapekuliwa thread hii, hadi utaifuta kwa aibu ya kuwakimbia followers, acheni jamani nyie.

Ulivyowachombeza na kuwaringishia asusa, wananyemelea kwa maneno makali ya 'sitaki',kumbe huku wakitaka!

Siyo kwamba watu hawazipendi hizo mambo, ni miudenda tu wanayameza sahizi hawana pa kuyatemea.

Mtu anakemea huku akiangalia live.

Mtu analikemea jambo, huku mwenyewe akilifanya na kulipenda.
Hapo ndiyo mimi huwapendea binadamu.
 
Video niliweka ila mods wameifuta mkuu
 
Back
Top Bottom