Serikali iufungie mtandao wa TikTok ili kulinda maadili

Zombie S2KIZZY

JF-Expert Member
Mar 15, 2021
823
1,613
Wakuu mambo vipi,shega eeh poleni na jua.

Binafsi kwa mawazo yangu mafupi naiomba Serikali kama ilivyofungia sites za porn basi na hii TikTok ifungiwe kwa sababu kule kuna dada zetu watoto wakitanganyika wamevurugwa hawana mishipa ya aibu tena wanapandisha video zao wakiwa wanatikisa matako wengine wamevaa bikini tu yaani unayaona matako na papuchi imejichora kabisa na wengine ni vinguo vyepesi vya mitego yaan hatari kisa tu kugombania followers na like nyingi, vijana wamegeuka machizi daaah wengine wanafanya zile prank hasa watoto wakiume kisa apate followers na like nyingi.

Yaani unakuta kijana anaenda mfano katikati ya Barabara au sehemu yenye watu wengi then anafanya kituko daah hii nchi aisee au anamvamia mtu mfano barabarani tu hamjui wala nini alafu anaanza kumtania na kumzingua akiona huyo anaemtania kapanic anamwambia eti nlikua na record.

Wtfk !
Na unajua kwanini watu hilalamika bando, sababu ni kua TikTokinakula sana bando. Serikali hili nalo mlitazame taifa linaenda kwenye hatari.
 
TIK TOK ina mazuri mengi tu.

Kama wewe unaenda angalia bikini na viuno tatizo ni wewe mwenyewe.

Tik tok ikifungiwa tutakufa na stress. Hakuna raha na burudani kubwa kama kumtazama 3 yrs old Zakaria na dada yake 2 yrs old Mahi from Bagladesh.

2. Kumtazama Uncle ben na miaka yake 100

3. Kutazama mafundisho mazuri kuhusu miili yetu binadamu kutoka Institute of Human Anatomy

Bila kusahau upuuzi wa Tom Daktari na Chimakeke from Kenya

Nakusindikiza na kionjo cha dogo zakaria.
 
Attachments

  • @taslimaakther1212-7270740420026453250-no-watermark_001.mp4
    10.5 MB
TIK TOK ina mazuri mengi tu.

Kama wewe unaenda angalia bikini na viuno tatizo ni wewe mwenyewe.

Tik tok ikifungiwa tutakufa na stress. Hakuna raha na burudani kubwa kama kumtazama 3 yrs old Zakaria na dada yake 2 yrs old Mahi from Bagladesh.

2. Kumtazama Uncle ben na miaka yake 100

3. Kutazama mafundisho mazuri kuhusu miili yetu binadamu kutoka Institute of Human Anatomy

Bila kusahau upuuzi wa Tom Daktari na Chimakeke from Kenya

Nakusindikiza na kionjo cha dogo zakaria

hii video itakuwa hainihusu maana ata sijaielewa.
 
TIK TOK ina mazuri mengi tu.

Kama wewe unaenda angalia bikini na viuno tatizo ni wewe mwenyewe.

Tik tok ikifungiwa tutakufa na stress. Hakuna raha na burudani kubwa kama kumtazama 3 yrs old Zakaria na dada yake 2 yrs old Mahi from Bagladesh.

2. Kumtazama Uncle ben na miaka yake 100

3. Kutazama mafundisho mazuri kuhusu miili yetu binadamu kutoka Institute of Human Anatomy

Bila kusahau upuuzi wa Tom Daktari na Chimakeke from Kenya

Nakusindikiza na kionjo cha dogo zakaria
Hahahahaaaaa
 
Sasa kama nchi imeamua na, inaona kijana mwenye degree kuendesha bodaboda ni sawa unategemea nini?
Kundi kubwa LA vijana hawana ajira,sasa wengi wao chanzo cha kipato ni kubeti, na ma video kibao huko insta, YouTube, na tiktok
 
Back
Top Bottom