Then they misinterpreted him...Hakuna nchi ni corona free kwa sasa!
ifikie hatua serikali ikae KIMYA kuhusu corona.
Kama tumeamua kuishi nayo tuishi nayo.
Haya matamko huyu kasema wapo 4 mwingine kasema wapo 66 ni wazi MNATUDANGANYA.
kama mmeamua kuipotezea ipotezeeni mazima.
Vipi mkuu? Na wewe unaanza kutumika na mabeberu?
Cha ajabu nini hapo mkuu? Kupungua kutoka 4 hadi 66?
Wewe hushangai mikoa ya mipakani kutokuwa na maambukizi kabisa?
Hiyo si ndiyo ya kustaajabu ya Mussa sasa? Hakuna la ajabu hapo mkuu.
Wewe ufahamu kuwa Corona haipo bila kujali nani anasema nini, au vipi mkuu?
Hujaelewa hata point yangu ipi tatizo
Si waliema wamebaki 4 sasa hii 66 inatoka wap tena
Wawe na kauli MOJA.
Mungu ni mkubwaCovid19 haiondolewi kwa matamko. As long as mipaka ipo wazi and every Tom & Dick can pop in at any time, ni upuuzi kudeclare eti TZ ni “covid-free”.
Duniani kote data zinabadilika Kila siku. Mfano China ilikuwa imebaki na wagonjwa 45 lakini Sasa Ina wagonjwa zaidi ya 200!
Kwa maana ya kuwa uongo uongo tu mkuu?
Kwa nini isiwe ukweli ukweli tu mkuu? Sidhani kama hawa mabwana tuliwapa dhamana ya kutuongopea sisi kama wanavyoita wao.
Ni wao walipenda kusema msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Yameishia wapi ya kusema ukweli?
Nadhani tunavyokwenda hawa mabwana siyo!
Hakuna anayeongopa hapo.
Ila HAWANA USHIRIKIANO.
Hawana ushirikiano wa kusema uongo?
Kwakweli watu wamepoteana kama mnara wa babeliView attachment 1479802
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema hadi kufikia leo mchana, kulikuwa na wagonjwa 66 wa #COVID19 katika mikoa 10 hapa nchini.
Akihutubia Bunge JijinI Dodoma, Waziri Majaliwa amesema mikoa 16 ikiwemo Arusha, Pwani, Manyara, Katavi, Rukwa na Kagera haina mgonjwa wa Corona.
Ameongeza kuwa, licha ya mlipuko wa #CoronaVirus wameweza kukaa Dodoma kwa takribani miezi miwili na nusu, na wameweza kutekeleza majukumu mbalimbali ya Bunge.
Amempongeza Rais Magufuli kwa msimamo wake uliofanya Tanzania kuwa mfano wa kuigwa duniani kwa namna aliyoshughulikia ugonjwa huo.
So kwangu ina-apply vipi? Hebu justify
HahahahahahahahhaahahNa wakiambiwa inauma sana wanasema ‘ndio’ tuendelee?Wanajibu ‘ndio’.
Tatizo ni misifa imezidi. Watu wamelewa sifa. Mara wagonjwa wanne, mara 66, mara Corona haipo. What is this?Covid19 haiondolewi kwa matamko. As long as mipaka ipo wazi and every Tom & Dick can pop in at any time, ni upuuzi kudeclare eti Tanzania ni “covid-free”.