Serikali kuzuia website za XXX ni kuingilia uhuru wa wananchi wake

Katika hilo ninaiunga mkono serikali 199.99%
 
Huyu delila anatuletea udinidini wake hapa!!?
Mambo ambayo hayamhusu ye anaingilia ya nn!!?

Mi nmemind balaaa๐Ÿ˜ˆ๐Ÿ˜ˆ๐Ÿ˜ˆ๐Ÿ˜ˆ๐Ÿ˜ˆ
 
CCM wanaelekea kuiva kuwa madikteta kamili, Jiwe aliwaonesha njia.

Na wanaofurahia hili watambue tu kuwa huu ni mwanzo tu, watarudi hapahapa kulalamika.
 
Safari yake bi mkubwa ya Rwanda ndo imeleteleza haya. Yaani hata VPN inagoma kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ