Miaka 2 ya kufanya nini? Rais ampige chini huyo jamaaUjinga sana na juzi Rais anamwambia Siro afute kesi za kubambika anamjibu eti apewe miaka miwili yaani nchi hii, na bado anaendelea kuwa IGP tu
Usenge kabisa,,polisi,gani wanafanya kazi nzuri na kazi gani,,taasisi,imejaa rushwa tu .
Watu na pesa ya posho, wana mshahara leo tena wanawazia viwanja, kwa hiyo hii nchi polisi tu ndiyo wanashida.
Usenge kabis HUU
Unakiuza, hatupangiani kwenye matumiziKama mimi ni mzaliwa wa Babati na kituo changu cha kazi ni Mtwara. Kiwanja nikipatiwa Mtwara itakuaje niki staafu?
Ni nini kifanyike kukomesha rushwa na kesi za kubambikia kwa polisi wa Afrika?Itakuwa kazi nzuri za kubambikiza kesi, rushwa, wizi ukiwamo wa kura, kupoteza watu na vya namna hiyo.
Ni nini kifanyike kukomesha rushwa na kesi za kubambikia kwa polisi wa Afrika?
Tatizo kubwa ni uji faces Tanzania walio wengi. Kama wanakubali kununuliwa kwa shilingi 10,000 wahudhurie mikutano ya CCM ili kujaza uwanja unadhani wako tayari kupigania katiba mpya?Panapo utawala wa kidemokrasia haki na rule of law hutamalaki.
Tuachane na ubinafsi tuwekeze kwenye usawa, haki na maendeleo vya watu. Mbona wenzetu wanafanikiwa.
Uongozi si ufedhuli.
Turejelee ya katiba mpya. Tunahitaji maafikiano mapya ya coexistence. Yaliyopo siyo!
Tatizo kubwa ni uji faces Tanzania walio wengi. Kama wanakubali kununuliwa kwa shilingi 10,000 wahudhurie mikutano ya CCM ili kujaza uwanja unadhani wako tayari kupigania katiba mpya?
Ati askari polisi wasamehewe kodi ya vifaa vya ujenzi!Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. George Simbachawene, amesema kuwa wizara hiyo kwa kushirikiana na Wizara ya Ardhi watajadiliana na kuangalia namna nzuri ya kuweza kuwapatia viwanja askari polisi ili kuwaepusha na fedheha wale wanaostaafu na kujikuta hawana kiwanja wala nyumba.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. George Simbachawene
Kauli hiyo ameitoa Bungeni Jijini Dodoma hii leo Juni 8, 2021, wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Agnesta Lambert, lililohoji umuhimu wa serikali kuweka utaratibu wa askari polisi kusamehewa kodi ya vifaa vya ujenzi na kupewa viwanja kwa bei elekezi ili kuwaepusha na njia za udanganyifu kwa kigezo cha kwamba wanajiandaa na maisha baada ya kustaafu.
"Askari polisi wanafanya kazi nzuri kwa taifa lao na pengine wanafanya hivyo katika mazingira magumu na wengine kulingana na vyeo vyao ni ngumu kujikomboa na kupata hata maisha mazuri baada ya kumaliza utumishi wao, nataka niseme tutajadiliana na wenzetu wa Wizara ya Ardhi tuone uwezekano wa kuwapatia viwanja, wengine wanastaafu na umri mdogo halafu hana hata nyumba wala kiwanja, tutaangalia namna ya kuwapatia viwanja angalau wale wa vyeo fulani fulani," amejibu Mh. Simbachawene.
Ati askari polisi wasamehewe kodi ya vifaa vya ujenzi!
Hivi kodi zinatakiwa kulipa na nani haswa hapa nchini.
Nafkiri ni mipango ya wizara, na hao wengine nao wizara zao zingeiga mfano huoPolisi pekee ndiyo watumishi nchi hii?
Walimu na mishahara yao duni hawahitaji viwanja? Hawahitaji unafuu wa bei?
Kupanga ni kuchagua hao wanaoadhirika wakistaafu, hawakujipanga.
Tuache upendeleo kwenye kada fulani.
Everyday is Saturday
rpc astaafu hana kiwanja!!!kuna matamanio mengi yanaweza kutimia maishani mwako ila kwa hao watu,ni sawa na kutamani jua literemke.Hii nchi inashangaza sana yani limtu kama Muroto na majigambo yote yale linakua hata halina kibanda baada ya kustaafu loh, na kwa jinsi yalivyo na roho mbaya yanatakiwa yakistaafu yasipate hata wa kuyatembelea wale jeuri yao ,wanapokua kazini wanasahau kama na wao ni binadamu na watafika kipindi watarudi kwenye jamii
hivi unajua mod mmoja wao ni polisi.Usenge kabisa,,polisi,gani wanafanya kazi nzuri na kazi gani,,taasisi,imejaa rushwa tu .
Watu na pesa ya posho, wana mshahara leo tena wanawazia viwanja, kwa hiyo hii nchi polisi tu ndiyo wanashida.
Usenge kabis HUU
Upendeleo wa aina hii ulianzia kwenye taasisi za fedha ambako serikali iliamua kuwapa mishahara mikubwa na marupurupu mengi ili kupunguza udokozi, lakini matokeo yake ni tofauti kwani wizi na rushwa vimeshamiri.Huu ni ujinga kufikiria upendeleo wa aina yoyote kwa kada yoyote.
Kwa ukishika silaha ndio inakuwaje?We hujashika silaha. Kwa hiyo sio threat
Polisi wana namna nyingi za kuchukua rushwa, wana uwezo wa kununua viwanja, hii ofa ya viwanja wapewe walimu...alisikila mlevi mmojaWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. George Simbachawene, amesema kuwa wizara hiyo kwa kushirikiana na Wizara ya Ardhi watajadiliana na kuangalia namna nzuri ya kuweza kuwapatia viwanja askari polisi ili kuwaepusha na fedheha wale wanaostaafu na kujikuta hawana kiwanja wala nyumba.