sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,013
- 8,369
Waziri George Simbachawene nakusalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano Wa Tanzania.
Waziri naomba nitangulize samahani kwani naenda kuzungumzia mambo mawili mazito ila yote yanausu Kesi.
Kesi ya kwanza hii ni ya mtoto wako, ambae kipindi cha nyuma alionekana kwenye mitandao akitoa matusi mazito kwa baadhi ya Watumishi wa jeshi la polisi kesi hii iliishia wapi? Maana hatukupewa mrejesho na jeshi la polisi wala familia iliyomlea mtoto katika maadili ya namna ya ovyo ya kutokutambua nafasi za wazazi katika utumishi wa umma na kubievu like a son of royal kind familly.
Nimewiwa kuanza na kesi hii ili niweze kujenga msingi mzuri wa hoja ya pili inayousu KESI ambayo kimsingi nayo ipo chini ya wizara yako nayo ni
KUFUNGULIWA KWA KESI 1700 kuanzia mwaka 2021 mpaka 2023 dhidi ya wabadhilifu wa mali za UMMA, yaani kwa ufupi KUHUS WEZI WA KALAMU AMBAO NI WAAJILIWA WA WALIPA KODI SERIKALINI.
Waziri hizi kesi zinaendeleje? Kuna mafanikio? Je, waliofunguliwa kesi wapo kwenye viti vyao vya Utumishi?
Sheria ikoje mtu anatuhumiwa kuiba fedha za umma bado anakalia kiti cha utumishi uku anaendelea kutafuna posho na mishahara uku akienda mahakamani?
Waziri nani asiyejua utendaji wa mahakamana zetu? Nani asiyejua utendaji wa Mawakili wa serikali katika kutetea nchi hii?
Waziri mbona watu wanaiba kuku na kuni mtaani wakikamatwa wanatangazwa lakini nyinyi mnapowapeleka mahakamani hamtwambii tuwajue?
Hivi aliyefunguliwa mashitaka kwanini tusijulishwe akatajwa tumjue.
Waziri naomba majibu.