kama uko kihalali why frustration?Serikali imeanza tena kuwa frustrate wafanyakazi wa umma. This is amazing
SwadaktaWasisahu Polisi na wanajeshi.
Pia makonda wasimsahau.
utaratibu gani mkuu?Leo Nimepata Taarifa kuwa Malipo Ya Mshahara Mwez Huu Yatafanyika Kwa Utaratibu Maalum, Kumbe Kwa Sababu Ya Uhakiki Huu.
Mkuu huu ukaguzi ni shughuli,huku kuna mwalimu ameng'olewa akaondoka kimya kimya ni hatari. Wengine ni mke na mme; mme ni dereva na mke ni nesi wote wamedakwa hali ni tete.mheshimiwa nakuambia mateso ya uhakiki huu ni kama msalaba wa jumuiya yani utapita nyumba kwa nyumba na ofisi kwa ofisi mkuu. namba zinasomwa vizuri mno bila ya kukanyagana mkuu.Pale Muhimbili wamepita na tayari wameshawang'oa ma nurse kadhaa.
Lini hiyo wameaza maana nataka nikamwambie jamaa anipe cheti chake tena hapa ninakopi kama begi zima[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mheshimiwa nakuambia mateso ya uhakiki huu ni kama msalaba wa jumuiya yani utapita nyumba kwa nyumba na ofisi kwa ofisi mkuu. namba zinasomwa vizuri mno bila ya kukanyagana mkuu.Pale Muhimbili wamepita na tayari wameshawang'oa ma nurse kadhaa.
wana hama na majina... kuwa hili jina lime jitokeza mara mbili... usishangae wote mka wekwa rupango kwa kufoji na kuiibia serkali tukufu, takatifuLini hiyo wameaza maana nataka nikamwambie jamaa anipe cheti chake tena hapa ninakopi kama begi zima[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu hebu dadavua kidogo? Utaratibu gani utakao tumika?Leo Nimepata Taarifa kuwa Malipo Ya Mshahara Mwez Huu Yatafanyika Kwa Utaratibu Maalum, Kumbe Kwa Sababu Ya Uhakiki Huu.
utaratibu gani mkuu?
Hakuna utaratibu wa kuhakiki zaidi ya mshahara wa dirishani.Mkuu
Mkuu hebu dadavua kidogo? Utaratibu gani utakao tumika?
ndio upoje huo mshahara wa dirishaniHakuna utaratibu wa kuhakiki zaidi ya mshahara wa dirishani.
Yaani mnapanga foleni, mnaitwa mmoja mmoja kuchukua mshahara. Mfano ukiitwa Matola unaitika nipo........ Mhasibu anajiridhisha ahaaaa, kumbe wewe ndio Matola! Haya chukua mshahara wakondio upoje huo mshahara wa dirishani
Kama mada inavyojieleza hapo juu
Serikali ya JMT imeanza tena lile zoezi la kuwahakiki upya watumishi wake ambapo kwa awamu hii imedhamiria kuwadaka wale wote walioleta udanganyifu katika zoezi lililofanyika hapo awali.
Aidha katika awamu hii uhakiki huo haufanywi tena na maafisa utumishi wa idara zote za Serikali kama ilivyokuwa awali, ila tuu jukumu hilo limebebwa na kikosi kazi maalumu kilichoteuliwa na Rais wa nchi hii kikiwaunganisha baadhi ya maafisa kutoka UTUMISHI ,TISS NECTA,NACTE pamoja na TCU.
Zoezi hili limeshaanza katika taasisi mbalimbali ambapo idadi kamili ya watumishi waliobanika kufoji vyeti na kuleta udanganyifu katika zoezi la awali itaekwa bayana na mamlaka zinazohusika.
MY TAKE
Wakuu kwa uhakiki huu hakuna jiwe litakalosalia juu ya jiwe.kama ulileta ujanja ujanja mwanzoni sepa kabla hawajaja ofisini kwako.
Nitaleta idadi rasmi ya taasisi zilizokumbwa na dhoruba hili hivi punde.
aisee hii itakua balaa maana nahisi itagonga hadi wiki nzima watu wanachukua pesa tu makato ya kibenki mwezi huu wahesabu maumivu?Yaani mnapanga foleni, mnaitwa mmoja mmoja kuchukua mshahara. Mfano ukiitwa Matola unaitika nipo........ Mhasibu anajiridhisha ahaaaa, kumbe wewe ndio Matola! Haya chukua mshahara wako
mkuu ni ombi unaonaje ukiwa una bold maandishi yako? kwa wengne tunao penda kufuatilia maanndko yako tunapata tabu ya kusoma aina hiyo ya mwamdiko hasa kupitia simu.Kama TISS nao wameunganishwa katika ' Team ' ya wakakuaji na uhakiki wa Vyeti tayari safari yangu ya kupewa sana ' Ofa ' ya Bia na Washikaji zangu wawili naiona inaenda kufikia tamati kwani kwa ninavyowajua kuwa wote wawili wana Vyeti Feki halafu ile ya mara ya Kwanza walipona kwakuwa niliwapeleka kwa Mganga mmoja hatari sana huko Tanga ambaye sasa amefariki / amekufa. Nawaonea sana huruma Wake zao ambao walikuwa wakiwatambia sana Wanawake wenzao katika Mitaa yao wanayoishi huku wakiwa na Nyodo / Maringo kibao.
mkuu ni ombi unaonaje ukiwa una bold maandishi yako? kwa wengne tunao penda kufuatilia maanndko yako tunapata tabu ya kusoma aina hiyo ya mwamdiko hasa kupitia simu.
nawasilisha