Kama umejicontradict flan amaizing.............Kichwa cha habari kinapotosha...lakini kama ni gazeti la Mwananchi sishangai kwani gani hili lina ajenda zake dhidi ya Tanzania
Kama umejicontradict flan amaizing.............Kichwa cha habari kinapotosha...lakini kama ni gazeti la Mwananchi sishangai kwani gani hili lina ajenda zake dhidi ya Tanzania
WAMESHINDWA KU-EXTEND UTOAJI WA MISAADA KWA 7BU YA SINTOFAHAMU ILIYOTOKEA ZANZIBAR. SASA MAREKANI WANATKA KUJITOA KABISA KUISADIA TANZANIA. MRAMBA ALISEMA HATA WATU WAKILA MAJANI NDEGE YA RAIS ITANUNULIWA, SASA WATANZANIA MJIANDAE KULA MA.VI.uandishi ni tatizo... USAID mkataba na Tanzania umefika mwisho na wemongea lakini bado wataendelea kutoa mchango.
sio kwamba msaada umesimamishwa jamani... hawa waandishi wetu bana... na kivhwa chako cha hii habari.. daaah
MAHABA? hv huko shuleni huaga mnaenda kusomea ujinga? marekani wameacha kuendelea na mkataba mpya wa miaka 10 kwa sababu ya mapinduzi yaliyotokea zanzibar. umeelewa? kuwaelewesha walevi kama wewe wakaelewa, ni kazi ngumu sana.Hivi mradi KUFIKIA UKOMO maana yake ndiyo serikali KUWEKEWA VIKWAZO? au haya ndiyo mahaba niue
Kwa avatar yako hii mimi na wewe nani mlevi? tangu bunge la kumi imejadiliwa hoja hii ya ukomo wa msaada ya madawa ya ARV na kuji hoserikali inajiandaaje. manataka kuaminisha watu ni jambo la ghaflaMAHABA? hv huko shuleni huaga mnaenda kusomea ujinga? marekani wameacha kuendelea na mkataba mpya wa miaka 10 kwa sababu ya mapinduzi yaliyotokea zanzibar. umeelewa? kuwaelewesha walevi kama wewe wakaelewa, ni kazi ngumu sana.
kwa maana hiyo sasa tujiandae kufa kwa kunyweshwa dawa feki za CCM zinazotengenezwa na kada wao bwana MADABIDA...watanzania sasa hatuna pa kukimbilia zaidi ya kuandaa makaburi ya kuwazika wapendwa wetu. kuishi tanzania ni zaidi ya kuishi JEHANAMU!Labda serikali itarudi kwa Madabida ili kuwapa wananchi zile dawa za unga wa muhogo na kusema ni ARV. Ni kama mzazi masikini anayempa mwanae mchuzi wa mchemsho wa magazeti na kumwambia ni supu ya kuku kumridhisha kupoza njaa
sasa tujiandae kufa kwa kulishwa ARV feki za unga wa mihogo zinazotengenezwa na kada maarufu wa CCM, bwana MADABIDA. sasa itabidi 90% ya muda wa kazi tuutumie kuchimba makaburi kuzika wafu wa UKIMWI. migamba inaona sifa kung'ang'ania madarakani huku wananchi wetu wakizidi kufa bila huruma.Sasa Tusubiri maafa ya gonjwa hili la ukimwi, tutakosa hata muda wa kwenda kazini, muda mwingi utakuwa unamalizia makaburini.
Hii habari Kama wale wahanga imewafikia sijui kwanini mpaka sahivi wako kimya.
mkuu, usiwe na kichwa cha panzi. USAID wameshindwa ku-renew contract kwa sababu ya figisu iliyotokea zanzibar maana ilikuwa waingie mkataba mwingine mpya wa miaka 10. umeelewa sasa?Comrade CHUAKACHARA, you are back....jibu la swali lako ni simple...kwenye taarifa hiyo ukisoma utaona inasema mradi huo wa USAID umefikia ukomo wake yaani miaka 10 tayari imefika, lakini kichwa cha habari kinasema USAID yasimamisha misaada, sasa hii inaleta picha tofauti kabisa...ushahidi wa gazeti la MWANANCHI upo kwenye uandishi wake..nazungumzia experience...na kumbuka au fahamu kuwa hili gazeti linamilikiwa na kampuni ya Kenya...
mkuu, usiwe na kichwa cha panzi. USAID wameshindwa ku-renew contract kwa sababu ya figisu iliyotokea zanzibar maana ilikuwa waingie mkataba mwingine mpya wa miaka 10. umeelewa sasa?
nina imani kada wetu, bw MADABIDA atatungenezea ARV za viwango kabisa na za kutosha. au unasemaje mkuu?Hii si ndio itakuwa furaha yako na wale wabunge wako mzigo wanaolilia kuonekana kwenye luninga. Kama na wewe unatumia ARV sema tukusaidie ata kama wamarekani hawatoi haina maana kuwa hazipatikani.
una uwezo wa kujitegemea wewe mbuzi? wakati jk anasakamwa kwa kuombaomba mlitetea sana lakini leo mnajibadili kama vinyonga? wapuuzi wakubwa nyie!Kumbe Ben Saa nane unautaka ujamaa katika mfumo unaoupenda wa kibepari. Mmesema ni nchi ya kibepari mnataka gharama za matibabu za kila mwananchi zibebwe na serikal inayoomba kwa wafadhili,kurudi kwenye miiko ya Azimio la Arusha mnaona kero. Hivi Marekani tuwabembeleze waendelee kutusaidia kama nani kwetu? Hivi Marekani ni baba yetu au mume wetu ? JK alitukanwa sana kwa kuomba misaada leo mnaililia misaada mliyosema inatudhalilisha, vinyonga nyie. Mnabadili rangi kulingana na mahali mlipo.
Mnatakaje ? je Tanzania isalie omba omba au ianze kujitegemea? Ninatoka katika jamii ambayo mtoto wa kiume ukioa hupaswi kurudi kwa baba na mama yako kuomba chakula ila nimeishi katika jamii ambayo baba,mama,watoto na wajukuu huzalia nyumba hiyo.
Tuamue tunataka taifa letu likweje?
Hebu pata launch break kwanza kamandanina imani kada wetu, bw MADABIDA atatungenezea ARV za viwango kaaisa na za kutosha. au unasemaje mkuu?
una uwezo wa kujitegemea wewe mbuzi? wakati jk anasakamwa kwa kuombaomba mlitetea sana lakini leo mnajibadili kama vinyonga? wapuuzi wakubwa nyie!
jibu hoja wewe mbugila, acha kuuzunguka mbuyu. je, tanzania ina uwezo wa kujitegemea au unataka muendelee kutuua kwa arv feki mpaka lini?Kamwe sintakuwa mbuzi pole kama wewe mbuzi maana najua mbuzi hana uwezo wa kuandika na kusoma labda una akili ya mbuzi.Hoja hujibiwa kwa hoja.Bungeni Tulia anawaonea huku matusi yanakulinda.Hongera.
Tujiandae kwa makaburi mengi zaidi, take my word japo taarifa zitatolewa kinyume nyume
Haya ndio madhara ya kukanyaga katiba ambayo wanaccm wengi ( ambao tetesi zinadokeza kwamba wengi ni waathirika kutokana na mikesha ya mwenge ) hawayafahamu .KILA MWENYE UGONJWA WA UKIMWI AJIANDAE KUTAFUTA ENEO LA KUZIKIA MPENDWA WAKE MAANA SASA ARV ITAKUWA IKIPATIKANA KAMA GANJA.
Mtaishi kama mashetani huko ndiko Rais mwema anataka turudi.Hasa kwa waathirika...maana ARV zimesitiri sana watu...
Nakumbuka Ukimwi wa 1980s na mwanzoni mwa 90s...ulikuwa unapimwa kwa macho...
Hope hatutarudi huko...maana inasikitisha sana