Serikali kukosa mchango wa dawa toka USAID

Kwani hamjui kwamba mwaka jana serikali ilianzisha mfuko wa Uchangiaji kwa ajili ya kununua dawa za UKIMWI? tayari serikali ilikuwa ilishajipanga toka Mwaka jana, kwa hiyo hakuna wasiwasi wowote kuhusu hilo.
Serikali imejipanga.

Suala hili linashughulikiwa.

Huu ni mchakato.

Serikali iko makini.

Ujingaujinga as usual
 
hata kama kuna tofauti kubwa kiasi gani pls USA msifike mbali tuyamalize tu dawa zije.
mkuu maCCM hayako tayari kuona wananchi wanaishi maisha ya kiutu....yanataka wananchi waendelee kufa kwa gharama ya ung'ang'anizi wao wa madaraka. haya majitu ni mapumbaFU kabisa.
 
Kwa avatar yako hii mimi na wewe nani mlevi? tangu bunge la kumi imejadiliwa hoja hii ya ukomo wa msaada ya madawa ya ARV na kuji hoserikali inajiandaaje. manataka kuaminisha watu ni jambo la ghafla
Hivi kwa akili yako unaamini serikali hii inaweza kuwahudumia wagonjwa wa ukimwi ? Utakuwa una roho ngumu sana !
 
View attachment 352886

Kwa ufupi
Serikali itakosa mchango wa dawa zenye jumla ya gharama ya dola za Marekani 375 milioni sawa na Sh787 bilioni, ambazo zimekuwa zikichangiwa na Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID).

Dar es Salaam. Serikali itakosa mchango wa dawa zenye jumla ya gharama ya dola za Marekani 375 milioni sawa na Sh787 bilioni, ambazo zimekuwa zikichangiwa na Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID).

USAID ilitoa mchango huo chini ya mradi wa kutunza na kugawanya dawa hasa za kupunguza makali ya virusi vya Ukimwi, kwa kipindi cha miaka 10 kote nchini.

Mradi huo ambao pia umeisaidia Serikali kujenga maghala ya kuhifadhia dawa umefikika mwisho, hivyo USAID akiwa kama mchangiaji mkuu wa dawa, inaiacha ikiwa na pengo.

Hata hivyo Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsi, Wazee na Watoto, Dk Mpoki Ulisubisya amesema licha ya mradi huo kufikia ukomo na kuwa na msaada, wizara imejipanga kuhakikisha kuna uhakika wa upatikanaji wa dawa nchini.
Unatia aibu soma kwa kirefu kwenye the Guardian la leo 2nd June 2016.
Washabiki wa UKAWA mnatia aibu.... mnatunga story kupitia magazeti yenu ya vichochoroni.... yakipigwa ban mnalia!
 
Hivi kwa akili yako unaamini serikali hii inaweza kuwahudumia wagonjwa wa ukimwi ? Utakuwa una roho ngumu sana !
Tuihukumu Serikali pale itakaposhindwa, tusiwe waganga wa kienyeji kutabiri kushindwa, maandalizi haya ni ya zaidi ya miaka nane tangu tutangaziwe ukomo wa msaada kuanzia wa Grobal Fund
 
Hasa kwa waathirika...maana ARV zimesitiri sana watu...
Nakumbuka Ukimwi wa 1980s na mwanzoni mwa 90s...ulikuwa unapimwa kwa macho...
Hope hatutarudi huko...maana inasikitisha sana
mkuu ule ukimwi wa miaka ya 80's mpaka 90's ule ulishapotea wapi sijui ulikuwa ukiupata tu wiki haiishi
Kuna ukimwi mwingine ulitokea zambia na kongo uliletwa na madereva wa Semi trailers hizi nao ulikuwa noma sana.
 
Kwanza hatuzihitaji,tumechoka na masimango yao,we can manage.Kwanza wamejaza masumu yao humo!Hatujasahau walichotufanyia kwenye bulgar na yellow corn kwenye miaka ya1968.Wale wazee vijana hawajasau nadhani.
View attachment 352886

Kwa ufupi
Serikali itakosa mchango wa dawa zenye jumla ya gharama ya dola za Marekani 375 milioni sawa na Sh787 bilioni, ambazo zimekuwa zikichangiwa na Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID).

Dar es Salaam. Serikali itakosa mchango wa dawa zenye jumla ya gharama ya dola za Marekani 375 milioni sawa na Sh787 bilioni, ambazo zimekuwa zikichangiwa na Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID).

USAID ilitoa mchango huo chini ya mradi wa kutunza na kugawanya dawa hasa za kupunguza makali ya virusi vya Ukimwi, kwa kipindi cha miaka 10 kote nchini.

Mradi huo ambao pia umeisaidia Serikali kujenga maghala ya kuhifadhia dawa umefikika mwisho, hivyo USAID akiwa kama mchangiaji mkuu wa dawa, inaiacha ikiwa na pengo.

Hata hivyo Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsi, Wazee na Watoto, Dk Mpoki Ulisubisya amesema licha ya mradi huo kufikia ukomo na kuwa na msaada, wizara imejipanga kuhakikisha kuna uhakika wa upatikanaji wa dawa nchini.
View attachment 352886

Kwa ufupi
Serikali itakosa mchango wa dawa zenye jumla ya gharama ya dola za Marekani 375 milioni sawa na Sh787 bilioni, ambazo zimekuwa zikichangiwa na Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID).

Dar es Salaam. Serikali itakosa mchango wa dawa zenye jumla ya gharama ya dola za Marekani 375 milioni sawa na Sh787 bilioni, ambazo zimekuwa zikichangiwa na Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID).

USAID ilitoa mchango huo chini ya mradi wa kutunza na kugawanya dawa hasa za kupunguza makali ya virusi vya Ukimwi, kwa kipindi cha miaka 10 kote nchini.

Mradi huo ambao pia umeisaidia Serikali kujenga maghala ya kuhifadhia dawa umefikika mwisho, hivyo USAID akiwa kama mchangiaji mkuu wa dawa, inaiacha ikiwa na pengo.

Hata hivyo Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsi, Wazee na Watoto, Dk Mpoki Ulisubisya amesema licha ya mradi huo kufikia ukomo na kuwa na msaada, wizara imejipanga kuhakikisha kuna uhakika wa upatikanaji wa dawa nchini.
 
Tuihukumu Serikali pale itakaposhindwa, tusiwe waganga wa kienyeji kutabiri kushindwa, maandalizi haya ni ya zaidi ya miaka nane tangu tutangaziwe ukomo wa msaada kuanzia wa Grobal Fund
Kwa mfano ni miaka mingapi mnapiga mayowe kuhusiana na uhaba wa madawati ? Mbona watoto wa shule almost 85% bado wanakokona kwenye mawe , tena mengine yana ncha kali ? Hatubishi tu kwa kupenda , bali tuna ushahidi mwanana kabisa , NINAYO FURAHA KUTAMKA KWAMBA serikali ya ccm ilishindwa , imeshindwa na wala haitaweza chochote KATIKA NCHI HII kwa idadi yoyote ya miaka itakayopewa .
 
Usijetegemea mahitaji ya huduma kwa wananchi iko siku yanakwisha hata muwe matajiri kiasi gani hata nchi zilizoendele bado huduma hazitoshi na wanapambana nazo kila siku. Uhaba wa madawati unatokana na program zinazoongeza idadi ya wanafunzi zinazobuniwa na serikali, unapokuwa na program kama za mem, mes, elimu bure lazima mahitaji ya madawati na madarasa yawe maradufu ndiyo maendeleo ya jitihada za kufuta ujinga. Chuo kikuu tu pale toka wanafunzi elfu 7 mpaka elfu 30 unatarajia miundombinu itoshe.
 
Hapa ndio moto utaonekana unawaka Tanzania,acha zile za mcc watu walikuwa wanaongea kwa kiburi.Marekani kutokuendelea na msaada wa kutoa dawa za ARV italeta matokeo mabaya zaidi kwa mfumo mzima wa Afya.Kama madaktari watakuwa wakweli na kuacha siasa watakubaliana na mimi kwamba muda wa kulaza wagonjwa utaongezeka na gharama za dawa za kawaida zitaongezeka kutokana na kuongezeka kwa waathirika wenye magonjwa nyemelezi.
Pili usugu wa virusi unaweza kuongezeka maradufu kutokana na kununua dawa za substandard kwa vijihela vinavyompa jeuri dk kusema "tumejipanga"wakati tumeona kwa dawa tu za malaria imekuwa ni shida mno kupatikana hospitali baada ya wafadhili kujitoa.Badala yake zinaonekana madukani dawa mseto zenye ubora hafifu kutoka India na hata wakati mwingine kukosekana na kusababisha watu waendelee kutumia Fansidar na Metakelfin ambayo tuliambiwa sasa haitumiki.
Nilisema jana hapa kwenye mada fulani hivi,tunaongea sana na tunasahau uhalisia.Hatufi ila cha moto tutakiona tu,wala tusijifariji.Ukitaka kujua vyema njoo mahospitalini huku ujione.Tutaona tu..
 
Back
Top Bottom