Serikali kukosa mchango wa dawa toka USAID

Serikali kukosa mchango wa dawa toka USAID

Serikali ya Marekani imeendelea kuikaanga serikali ya makufuri kwa kuinyima tena msaada unaokadiriwa kufika Tsh trilioni 1(Tsh 787 bilioni) ambazo zimekuwa zikichangwa na Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID) kwa ajili ya ununuzi wa dawa za ARV kwa wagonjwa wa UKIMWI.

CHANZO: Mwananchi

MAONI YANGU
Haya ndiyo matunda ya kuminya demokrasia lakini wanaoumia ni watanzania wenzetu masikini wasiokuwa na hatia. Tujiandae kuzika watanzania wengi watakaokufa kwa kukosa ARV.
Acha ngono zembe
 
magamba yamepanic make ndo yanaongoza kwa kuathirika na ukimwi
 
Msaada huu uliisha zamani kwa sababu yamutumizi mabaya kwa mijibu wa ufahamu wangu. Sasa wewe unaongelea leo kwa sababu za kudanganya
Yaani kuna timu imeundwa kupotosha ukweli sijui wana nia gani na nchi hii.
 
We will soon start facing "east"....Wachina karibuni, milango iko wazi
sisi mibongo bana badala hii itupe chachu na munkhari ya kujitegemea tunaenda kwengine kuzid kutembeza bakul. Ndio maana mambo yet yakijingajinga Mabas yaendayo kas bomba la ges midajaraja standards gauge imetugharim matrilion tena ya misaada na huku Kula tu anasa. Tunapenda vitu vikiubwaa uwezo hatuna. Sifa za kijinga tu. Could Someone nuke us all
 
Hata kama humkubali rais kwa sababu unazozijua lakin si busara kuandika jina lake kama ulivyoandika, hata uzi wako ni wa kinafiki tu!
 
Serikali ya Marekani imeendelea kuikaanga serikali ya makufuri kwa kuinyima tena msaada unaokadiriwa kufika Tsh trilioni 1(Tsh 787 bilioni) ambazo zimekuwa zikichangwa na Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID) kwa ajili ya ununuzi wa dawa za ARV kwa wagonjwa wa UKIMWI.

CHANZO: Mwananchi

MAONI YANGU
Haya ndiyo matunda ya kuminya demokrasia lakini wanaoumia ni watanzania wenzetu masikini wasiokuwa na hatia. Tujiandae kuzika watanzania wengi watakaokufa kwa kukosa ARV.
Hii si ndio itakuwa furaha yako na wale wabunge wako mzigo wanaolilia kuonekana kwenye luninga. Kama na wewe unatumia ARV sema tukusaidie ata kama wamarekani hawatoi haina maana kuwa hazipatikani.
 
Tutaisoma namba wagonjwa kukosa hizo dawa ARV ni pigo kubwa sana yote yamesababishwa ni kiburi cha serikali.
 
Tulidhani msaada wa ujenzi miondombinu au viwanda kumbe madawa ya ukimwi.!
Njia moja tu kujikinga na kuacha usherati
 
Back
Top Bottom