Wachina wana masikini wa kutupwa kuliko Tanzania, bado tunawasubiri wasaidie, walishatudanganya na ujamaa nafikiri intaosha, tujifunze kuwa na marafiki wanatutakia mema. rafiki anayekushauri uache kuibia familia yako na kupanga nyumba yako vizuri kama yakweke ambayo unaitamani kila siku huyo ndio rafiki wa kweli, wachina ndio wanaongoza kwa mikata ya rushwa angalia nchi zote walipo au waliokuwa marafiki zao na kuwaamini hakuna maendeleoJamuhuri ya watu Wa China watatusaidia usiogope,
Dah! si ndio kama hivyo dhahabu wana jitwalia na hatufaidiki nayo.Mnataka kupewa tuu mkiombwa mtatoa?
Sasa mbona mkuu wa nchii anasema hatuhitaji misaada?Mtoto wa miaka 10 ataanzaje kujitegemea?
Mkuu usisubiri kutafuniwa , mengine jitahidi kumaliza mwenyewe .Waandishi wetu naona wanakosa weledi wa kazi zao. Mwandishi wa Mwananchi Media ndio kaandika hiyo Habari je yeye chanzo chake ni nini? Nani kasema hivyo? USAID, USA ama nani? Source ya taarifa ya kwamba marekani itakata hiyo misaada ni nini?
kwahiyo wakimaliza tenue huwa haeaongezi? mie najua mikataba ina phases especially grants na lengo la phases ni evaluation kama ulitimiza masharti on which kwa Westerners wengi demokrasia ni pillar!Mleta post unaweza ukawa hukubaliani na sera za Rais Magufuli lakini hiyo haiwezi kuwa sababu ya kupotosha ukweli. Suala la hizo fedha ni msaada uliotolewa kwa miaka 10 hivyo kwa sasa muda umeisha. Hapo suala siyo kunyimwa bali ni kwisha kwa muda. Ni vizuri utoe taarifa sahihi ili wasomaji wapime na watoe comments zao
Chanzo ni kile kile cha kusigina katiba , Mtukufu Jecha atawaponza hadi mkome kudadeki ! Kwenye hili sitaki kabisa kusikia uzushi wa uzalendoSasa wewe umeambiwa chanzo cha kusitishwa huo msaada ni nini?
Hivi bavicha mkoje
Wakati huo we ukiwa unaosha vyombo kwa ELChanzo ni kile kile cha kusigina katiba , Mtukufu Jecha atawaponza hadi mkome kudadeki ! Kwenye hili sitaki kabisa kusikia uzushi wa uzalendo
waende tu na dawa zao kina Dr.Mwaka ndio habari ya mjini wapo kibao na nafuu zinapatikana
KILA MWENYE MGONJWA WA UKIMWI AJIANDAE KUTAFUTA ENEO LA KUZIKIA MPENDWA WAKE MAANA SASA ARV ITAKUWA IKIPATIKANA KAMA GANJA.Hii serikali ya fisiem sijui inajiamin nini?wakati ata mapato yake ya ndani yameshuka,nasubiria anguko lake na wananchi wake kukosa maitaji muimu ya kijamii.labda mchina atampa misaada.
Tulidhani msaada wa ujenzi miondombinu au viwanda kumbe madawa ya ukimwi.!
Njia moja tu kujikinga na kuacha usherati
Wapo watu wengi wakiwamo madaktari na manesi wanaugua kwa kuamnukizwa kwa bahati mbaya wakitoa tiba kwa wagonjwa wenye vvu unasemaje kuhusu hilo? Na wanaoongezwa damu wapatapo ajali kwa bahati mbaya damu hiyo ina vvu nao unasemaje? Au watoto waliozaliwa na vvu na wenyewe?Tulidhani msaada wa ujenzi miondombinu au viwanda kumbe madawa ya ukimwi.!
Njia moja tu kujikinga na kuacha usherati
Hii habari haijakamilika.Lakini katika kujipanga huko kwa serikali bado hiyo ni divertion ya Resources kutoka mahali maana sidhani kama walijua hawataongezewa muda.Gharama bado anabeba mwananchi wa kawaida wakati hatukua tumejipanga.Maamuzi mabovu yanayosukumwa na uroho wa madaraka Mwananchi analipia gharama
WEWE UNATAKA WATANZANIA WENYE VVU WAENDELEE KUFA HADI LINI? MPUUZI MKUBWA!Waandishi wetu naona wanakosa weledi wa kazi zao. Mwandishi wa Mwananchi Media ndio kaandika hiyo Habari je yeye chanzo chake ni nini? Nani kasema hivyo? USAID, USA ama nani? Source ya taarifa ya kwamba marekani itakata hiyo misaada ni nini?
Haahahaha here wewe mwenye uwezo wa kwenda kwa dokta mwakawaende tu na dawa zao kina Dr.Mwaka ndio habari ya mjini wapo kibao na nafuu zinapatikana