Shirika la misaada la wamarekani (USAID) limefutwa rasmi leo

A view to a kill

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2015
Posts
2,213
Reaction score
1,272
Tarehe 30 Juni 2025 ndiyo ilikuwa siku rasmi ya mwisho ya USAID kama shirika huru. Imetangazwa leo kuwa taratibu za kuondoa USAID zimetimia, na sasa kazi zake zimewekwa chini ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani kama sehemu ya mradi mpya unaoitwa “America First” .

Sasa ile njanjo ya grid iliyozinduliwa majuzi itabidi tuinunue ,hatutoipata bure,
 
Serikali itabeba mzigo wa kununua dawa,vifaa tiba na chanjo pamoja na kugharamia vituo vya tafiti mbalimbali uwezo huo inao. Kama haiwezekani watalazimika kufanya mikataba ya Chief Mangungo.
Huwezi kumsaidia mtu halafu yeye ananunua LC 300 kama ananunua baiskeli.
 
😭😭😭😭 Kwahiyo MDH yangu ndiyo bye bye daah
 
Serikali itabeba mzigo wa kununua dawa,vifaa tiba na chanjo pamoja na kugharamia vituo vya tafiti mbalimbali uwezo huo inao. Kama haiwezekani watalazimika kufanya mikataba ya Chief Mangungo.
Huwezi kumsaidia mtu halafu yeye ananunua LC 300 kama ananunua baiskeli.
Just imagine kila afsa anataka aendeshwe kwenye L300... Yaani gari la Gavana wa New York inalingana au kuzidiwa thamani na la DC wa Tanzania nchi ya Dunia ya 3 ambayo mpaka leo kuna watoto wengine wanasomea sakafuni kama si kwenye magogo...
 
Tarehe 30 Juni 2025 ndiyo ilikuwa siku rasmi ya mwisho ya USAID kama shirika huru. Imetangazwa leo kuwa taratibu za kuondoa USAID zimetimia, na sasa kazi zake zimewekwa chini ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani kama sehemu ya mradi mpya unaoitwa “America First” .

Sasa ile njanjo ya grid iliyozinduliwa majuzi itabidi tuinunue ,hatutoipata bure,
USAID.. Pigo kabisa, kwa waliokuwa wameajiliwa huko
 
Tarehe 30 Juni 2025 ndiyo ilikuwa siku rasmi ya mwisho ya USAID kama shirika huru. Imetangazwa leo kuwa taratibu za kuondoa USAID zimetimia, na sasa kazi zake zimewekwa chini ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani kama sehemu ya mradi mpya unaoitwa “America First” .

Sasa ile njanjo ya grid iliyozinduliwa majuzi itabidi tuinunue ,hatutoipata bure,
Serikali sikivu inajiweza ....
 
Back
Top Bottom