Waseme tu pesa zinaenda kwa mstaafu fulani
Mungu atunusuru
Sukuma gang mmeanza hekaya zenu za abunuasiHiyo ni ya Rostam, huyo ndio Mafia, hao wengine watapata mgao tu pamoja na huyo mstaafu.
Wewe ni pimbi sana, kwa nini unadhani kila anayekuwa kinyume chako lazima awe sukuma gang..Sukuma gang mmeanza hekaya zenu za abunuasi
Hapo Makamba anazake kama 10B
Hapo watawala wameweka za kwao kama 100BAma kweli ulegelege siutaki kwenye maisha yangu!!
JPM umenipa somo kubwa sana,
Ujasiri wako na uthubutu wako uliwogofya waizi wote wa ndani na nje ya nchi, hata wazungu waliufyata, ila sasa upepo unasomeka kirahisi, eti wezi waliokuwa wakituibia, tunaanza tunawalipa tena..!
Kwa nini hawakudai fidia enzi yako!!? Nimegundua, hata biblia imesema, waoga wote hawaustahili ufalume wa mbinguni, Bali wenye nguvu ndio watakaouteka
Na nchi yetu bila watu majasiri, maendeleo tutayasikia tuu!
Wewe ni pimbi sana, kwa nini unadhani kila anayekuwa kinyume chako lazima awe sukuma gang..
Mleta mada bana. Yani wee mwenyewe unaona iyo billion 356 ni nyiiingiiiiiiiiiiiiii.Serikali Kupitia Wizara ya Nishati (Tanesco) kuilipa kampuni ya Symbion Tsh Billion 356 mara baada ya kuvunja mkataba wake na Tanesco awamu ya 5.
Kampuni ya Symbion ni Kampuni ya iliyokuwa ya kimarekani ambayo ilikuwa ikifua umeme na kuiuzia Tanesco! Kampuni ya Symbion ilifungukiwa rasmi awamu ya 4 na Rais wa Marekani wakati uo Mh Barack Obama pamoja Rais wa awamu ya 4 Mh Jakaya Kikwete.
Pia soma
Mitambo ya Umeme ya Kampuni ya Symbion Power kupigwa mnada
Mitambo ya Kampuni ya kufua umeme nchini "Symbion" imeshindwa kuwalipa wafanyakazi wake mishahara takribani miaka mitatu sasa hivyo kupelekea kampuni hiyo kushtakiwa mahakama ya kazi na hatimae tangazo rasmi limebandikwa la kupigwa minada mitambo yake. Ikumbukwe mitambo hiyo ilizulinduliwa na...www.jamiiforums.com
Kuna jitihada za kuinusuru SYMBION?
π·πππππππ π ππππ! πΌπππ£π ππππππ ππππ’πππππ π ππ ππππππππ π π πππππππ π’π ππΎπ½πΆπ°π π πππππππππ ππ ππππππ’π πππ£ππππππ£π ππ π±ππππ£π π π πππ° ππππππ ππ°π½ππ°π½πΈπ° ππππ πππππππ π πππ π ππΎπ½πΆπ°π πππππππ π ππ π ππππππ£ππ πππππ πππππππ ππππππππ ππ ππππ ππ πππ 2024, πΌπππ πππππππππ’ππ£ππ ππππππ πππ π πππ£ππππππ£π π’π πππππππ£π πππππππ ππππ...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan wabongo bana πππ mzungu gan ataufyata kwa muafrika? Mzungu ambae unategemea hela za ili ukidhi mahitaj yako kwa zaid ya nusu? Misaada chungu nzima tunawategemea weupe. Udhamini wa kisiasa tunawategemea weupe, kibaya zaid bado tupo under surveillance yao kiutawala!!Ama kweli ulegelege siutaki kwenye maisha yangu!!
JPM umenipa somo kubwa sana,
Ujasiri wako na uthubutu wako uliwogofya waizi wote wa ndani na nje ya nchi, hata wazungu waliufyata, ila sasa upepo unasomeka kirahisi, eti wezi waliokuwa wakituibia, tunaanza tunawalipa tena..!
Kwa nini hawakudai fidia enzi yako!!? Nimegundua, hata biblia imesema, waoga wote hawaustahili ufalume wa mbinguni, Bali wenye nguvu ndio watakaouteka
Na nchi yetu bila watu majasiri, maendeleo tutayasikia tuu!
Hichi kitu watu uwa hawajui, Bajeti zetu zote zinamtegemea mzungu.Yaan wabongo bana πππ mzungu gan ataufyata kwa muafrika? Mzungu ambae unategemea hela za ili ukidhi mahitaj yako kwa zaid ya nusu? Misaada chungu nzima tunawategemea weupe. Udhamini wa kisiasa tunawategemea weupe, kibaya zaid bado tupo under surveillance yao kiutawala!!
Ukivunja mkataba unalipa,Awamu hii inatakiwa kufuata sheria.Hawa watu wanatafuta jinsi ya kutupiga tu kisa Magufuli na baadae wa makinikia watarudi
Bombardier ilipokamatwa Canada na Kwenda kulipa kimya kimya umeshasahau ndugu!! Na kuzuia habari isitoke na bunge lisijue!?Ama kweli ulegelege siutaki kwenye maisha yangu!!
JPM umenipa somo kubwa sana...