Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,137
- 48,808
- Thread starter
- #61
kwani tatizo nini?
Nenda ukasome maadhimio ya bunge juu ya IPTL.
Nenda ukasome ripoti za CAG juu ya IPTL.
kwani tatizo nini?
Litakuwa limeshatembeza rushwa ya kufa mtu linajua italipa tu.
Hapo sasa,au ndio maana yule jamaa alikuwa mkali mpaka akaruhusu watu kutembezewa kichapo mjengoni,nadhani kuna kitu,maana sio kwa hasira zileNenda ukasome maadhimio ya bunge juu ya IPTL.
Nenda ukasome ripoti za CAG juu ya IPTL.
Patamu hapoHii leseni watapewa tu, hakuna mweye uwezo wa kuwanyima labda mngetengua Power Purchase Agreement (PPA) walioyoingia na Serikali kupitia TANESCO. Kama kuna anayebisha angalia walivyoframe request "continue with electricity generation activities in line with the existing Power Purchase Agreement which ends on 15th January 2022." Tatizo sio license renewal, tatizo lipo kwenye PPA mliyoingia nao.
Watapewa na wezi wenzaoHawa wez sio wa kupewa kibali tena
We sema akwende.... Wakati wenzio washajianda kwa NDIYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOWanaomba ili waendelee kutuibia, kweli singa singa noma akwende zake huko
Mkuu, hifadhi huu uzi na hii post. July sio mbali. Utaniambia.Mkuu,kama makinikia tumezuia,sembuse hiki kikampuni kimoja?
Haya makinikia ya IPTL yako hapo hapo Dar,sasa tunataka yazuiwe mpaka uhakiki ufanyikePatamu hapo
Hawa si ndio wana kashfa nyingi!?
Kwa hiyo Ewura ndio wanatuaminisha kuwa hakuna tatizo au? Je ni hao tu wanaomba na hawawapi makampuni mengine hafasi ya kutuma maombi au kwanini pia hakuna ushindani kwenye hili kama tenda?
Wangeandika kabisa kwa kirefu na kila kipengele ni kwa sababu gani wameamua kuwapa waendeleee, na pia kwa kuwalipa kiasi gani kutoka kwenye pesa za walipa kodi.[o/QUOTE]
Cococh unasema nini mbona hueleweki.
Umehama Lumumba,?
Hawa si ndio wana kashfa nyingi!?
Kwa hiyo Ewura ndio wanatuaminisha kuwa hakuna tatizo au? Je ni hao tu wanaomba na hawawapi makampuni mengine hafasi ya kutuma maombi au kwanini pia hakuna ushindani kwenye hili kama tenda?
Wangeandika kabisa kwa kirefu na kila kipengele ni kwa sababu gani wameamua kuwapa waendeleee, na pia kwa kuwalipa kiasi gani kutoka kwenye pesa za walipa kodi.
waingie tu,halafu baadae waje kulialia kuhusu uzalendo.tutawapigia makofi.
Ccm wameacha kukulipa?
Ndioooo!!!
--------------
iparamasa said;
IPTL, ile kampuni inayoinyonya usiku na mchana Tanesco na ikakwapua pesa za Escrow, imeomba muda zaidi iendelee kuiuzia umeme Tanesco!
Kampuni hii inaomba leseni wakati nchi ikihangaika na mikataba ya hovyo ya makinikia, na serikali hii itapimwa kama kweli ina nia ya kuondoa unyonyaji sekta zote mpaka kwenye umeme na si makinikia tu.
Je, Magufuli atawapa leseni?
Je, wabunge watasemaje? Hasa wa CCM waliowafungia wenzao mpaka mwaka 2018?
IPTL pia haikuwahi kupewa mkataba wala kutetewa na UKAWA.
Tatizo kuna watu weusi ila wamejivika ngozi ya singasingaSingasinga linaendelea kutufilisi.
Chonde chonde muwe makini msije UNDA TUME BAADAE