Serikali ku-renew mkataba wa IPTL?

Wale Simba Trust wanaingiaje hapo maana nao wapo kwa IPTL kupitia Singa yule mjanja mwizi.....yaanii kumbe mkataba wao hadi 2022? Kazi ipo ccm ni ile ile serikali ni ile ile
 
Nenda ukasome maadhimio ya bunge juu ya IPTL.
Nenda ukasome ripoti za CAG juu ya IPTL.
Hapo sasa,au ndio maana yule jamaa alikuwa mkali mpaka akaruhusu watu kutembezewa kichapo mjengoni,nadhani kuna kitu,maana sio kwa hasira zile
 
Hii leseni watapewa tu, hakuna mweye uwezo wa kuwanyima labda mngetengua Power Purchase Agreement (PPA) walioyoingia na Serikali kupitia TANESCO. Kama kuna anayebisha angalia walivyoframe request "continue with electricity generation activities in line with the existing Power Purchase Agreement which ends on 15th January 2022." Tatizo sio license renewal, tatizo lipo kwenye PPA mliyoingia nao.
Patamu hapo
 
Hawa si ndio wana kashfa nyingi!?

Kwa hiyo Ewura ndio wanatuaminisha kuwa hakuna tatizo au? Je ni hao tu wanaomba na hawawapi makampuni mengine hafasi ya kutuma maombi au kwanini pia hakuna ushindani kwenye hili kama tenda?

Wangeandika kabisa kwa kirefu na kila kipengele ni kwa sababu gani wameamua kuwapa waendeleee, na pia kwa kuwalipa kiasi gani kutoka kwenye pesa za walipa kodi.[o/QUOTE]
Cococh unasema nini mbona hueleweki.
Umehama Lumumba,?
 
Hawa si ndio wana kashfa nyingi!?

Kwa hiyo Ewura ndio wanatuaminisha kuwa hakuna tatizo au? Je ni hao tu wanaomba na hawawapi makampuni mengine hafasi ya kutuma maombi au kwanini pia hakuna ushindani kwenye hili kama tenda?

Wangeandika kabisa kwa kirefu na kila kipengele ni kwa sababu gani wameamua kuwapa waendeleee, na pia kwa kuwalipa kiasi gani kutoka kwenye pesa za walipa kodi.

Ccm wameacha kukulipa?
 
waingie tu,halafu baadae waje kulialia kuhusu uzalendo.tutawapigia makofi.

Hata ile ya VX8 kwamba Serikali haitanunua magari ya kifahari Leo limepigiwa makofi ati watawala wanatakiwa wawe salama na magari salama ni VX 8 haya mengine hapana hadhi ya kupanda Watawala.

Tunapiga makofi meeeeeeeengi papapapa CCM hoyeeeeeeeeeee.Ole wenu nyie Wapinzani mkipinga tu tuna wapiga ban
 
Ccm wameacha kukulipa?

Akishasaini yule Mining Director atabadilika.Maana hata Waziri aliposema Mawaziri hawawezi kupanda Prado kwa kuwa hazina sifa Bali watanunua VX 8 wamepigwa makofi,na wengine wametuambia tunaopinga tuna wivu sababu hatuwezi kuwa Mawaziri kama wao.
 
0653e940588cb078b1c5e8a3430ed545.jpg

--------------

iparamasa said;

IPTL, ile kampuni inayoinyonya usiku na mchana Tanesco na ikakwapua pesa za Escrow, imeomba muda zaidi iendelee kuiuzia umeme Tanesco!

Kampuni hii inaomba leseni wakati nchi ikihangaika na mikataba ya hovyo ya makinikia, na serikali hii itapimwa kama kweli ina nia ya kuondoa unyonyaji sekta zote mpaka kwenye umeme na si makinikia tu.

Je, Magufuli atawapa leseni?

Je, wabunge watasemaje? Hasa wa CCM waliowafungia wenzao mpaka mwaka 2018?

IPTL pia haikuwahi kupewa mkataba wala kutetewa na UKAWA.
Ndioooo!!!
 
Back
Top Bottom