zuberi Abraham
JF-Expert Member
- Feb 13, 2016
- 480
- 389
Nasubiria hili kaburi likifukuliwa kwa sasa acha niwe kimya
Hawa IPTL walichoomba ni leseni tu. Mkataba tayari wanao hadi 2022. Ni kama leseni yako ya biashara unavyoenda ku renew kila mwaka ndicho wanachoomba hapa hao IPTL.
Kuhusu mkataba bado wapo wapo sana
Sio lazima tuwanyime mkataba maana washatutia hasara, ni muda wa kuwapa mkataba tunaotaka sisi la sivyo wafunge virago. No capacity charge payments, na unit ya umeme wauze sh 7 badala ya sh 100. We got to chase them in a most "sweet" painfull way kama ambavyo wametunyonya in the same way, Wapuuzi sana hawa!Hawa jamaa wakiongezewa mkataba basi nitajua hii nchi ya wasengerema! Bahati nzuri tuna fursa ya kushawishi hawa jamaa wasiongezewe muda. Shime wote tutenge siku tupeleke barua zetu za kupinga kwa mkono, posta na EMS (mimi binafsi nitapeleka kwa mkono na DHL). Wanaharakati na wanasiasa mliowahi kukemea wizi huu wa mchana, hii ni nafasi yenu ya kuitisha mikutano na hata maandamano (Yuvisisimizi mnaweza kuruhusiwa na polisi) kupinga hawa mumiani kupewa nafasi nyingine ya kutuibia.
Na hapa ndo kuna kipimo cha rais wetu, hawa wezi wenye suti wakipewa tena mkataba basi tusisikie tena kelele za ufisadi. Kampuni hii imetudhalilisha kama nchi, imetuibia sana kupitia bei ya umeme ambayo haiingii akilini. Mim kama mwananchi, nipo radhi kukosa umeme kwa nyakati fulani au nyakati zote ili mradi mumiani kama IPTL na wengineo wameondoka ktk sekta ya umeme.
Hii leseni watapewa tu, hakuna mweye uwezo wa kuwanyima labda mngetengua Power Purchase Agreement (PPA) walioyoingia na Serikali kupitia TANESCO. Kama kuna anayebisha angalia walivyoframe request "continue with electricity generation activities in line with the existing Power Purchase Agreement which ends on 15th January 2022." Tatizo sio license renewal, tatizo lipo kwenye PPA mliyoingia nao.
Napenda kufahamu, Je mkataba wao unaisha lini?.
Nadhani kuna mtu anatakiwa kufutwa kazi mara moja!Hivi sisi kweli ni wa kujadili IPTL kweli?Hili zimwi limetula miaka yote hii, nasubiri siku chache zijazo, namuaminia mzee wa kutumbua majipu!Katika hali ya kawaida hao IPTL hawapaswi kupewa Leseni ya kuzalisha na kuuza umeme baada ya ile Power Purchase Agreement (PPA)kufikia ukomo wake. Mkataba ni wa Miaka 20 maana yake ni kwamba mitambo imefikia mwisho wake. Pamoja na kwamba mkataba una mapungufu makubwa kwani IPTL amelipwa Capacity Charges kwa miaka 17 yote ya uhai wa PPA jambo ambalo ni maajabu ya Dunia kimsingi ilitakiwa baada ya kufikia ukomo wa ile PPA iliyofanyika mwaka 1997 walipaswa hiyo mitambo ihamishiwe iwe Mali ya TANESCO. Hii Sanaa ya EWURA ya kutaka kupata MAONI ya WADAU kuhusu kuongeza muda hadi mwaka 2022 ni jambo ambalo haliingii akilini. Masharti ya kununua mafuta ni ujinga uliokubuhu na watu walioingia mkataba huo wanastahili kunyongwa hadi wafe. IPTL wamelipwa cAPACITY CHARGE YA Dola za Kimarekani million tatu kila mwezi sawa na dola milioni 36 kwa mwaka kwa miaka 17 IPTL imelipwa Dola milioni 612 . KWA MTAMBO ULIONUNULIWA DOLA MILIONI 100. BADO WAMELIPWA GHARANA ZA UMEME PAMOJA NA KULIPIWA MAFUTA. EWURA WASIJIFANYE WAMESHUKA KUTOKA MBINGUNI NA KWAMBA HAWAJUI HUU WIZI. KUWAPATIA LESENI NI KOSA AMBALO HAWAPASWI HATA KUULIZA MAONI YA WATANZANIA. WANAFIKIRI WATANZANIA NI MAFALA AU WAMEKUFA? MAAZIMIO YALIYOPITISHWA KWA MBWEMBWE MWAKA 2014 NA KUMFANYA MUHONGO AFUKUZWE KWA KUDANGANYA FEDHA ZA ESCROW HAZIKUWA ZA WATANZANIA YAKO WAPI?? Ewura, EWURA hamjaumbwa na haya???// TENA WAPELEKEWE KWA MAANDISHI ///? MAONI KUTOKA JF yanatosha kuwanyima Leseni>> kama EWURA hawajui kufa wachungulie kaburini?? NI MARUFUKU KUJADILI TRA NA KICHERE FUTA LESENI YA BIASHARA MARA MOJA YA IPTL ACHENI KUCHEKA """ TENA TUMESIKIA MNATAKA KUWARUHUSU WANUNUE NA KUFUNGA MITAMBO YA GESI MKOME KAMA MLIVYOKOMA KUNYONYA!
View attachment 520838
IPTL, ile kampuni inayoinyonya usiku na mchana Tanesco na ikakwapua pesa za Escrow, imeomba muda zaidi iendelee kuiuzia umeme Tanesco!.
Wanataka kumpa tena halafu wataendelea kumuita fisadiDOWANS.....IPTL....ESCROW.....si walisema ni mitambo ya Lowassa na watampeleka mahakama ya mafisadi? wamebadili gea baharini?

Weka akiba ya maneno. IPTL watasaini makubaliano soon.na jpm hatafanya loloteIPTL nyok.o sana.. Na awamu hii watajuta, hawataona kitu..
I believe in JPM
I trust in God.. Amen
Weka akiba ya maneno. IPTL watasaini makubaliano soon.na jpm hatafanya lolote