Serikali ku-renew mkataba wa IPTL?

Ungeongezea kiganja kuashiria kugonga meza
Hawa wabunge wa Ccm ni tatizo kwa Taifa. Kila kitu kwao ni ndiooo. Bila kufikiria madhara kwa Taifa. Sheria nyingi zina pitishwa kishabiki na ignorance. Huwa hawangalii athari hadi itokee. Ndipo wanajitokeza kujitambua.
 
Hawa jamaa wakiongezewa mkataba basi nitajua hii nchi ya wasengerema! Bahati nzuri tuna fursa ya kushawishi hawa jamaa wasiongezewe muda. Shime wote tutenge siku tupeleke barua zetu za kupinga kwa mkono, posta na EMS (mimi binafsi nitapeleka kwa mkono na DHL). Wanaharakati na wanasiasa mliowahi kukemea wizi huu wa mchana, hii ni nafasi yenu ya kuitisha mikutano na hata maandamano (Yuvisisimizi mnaweza kuruhusiwa na polisi) kupinga hawa mumiani kupewa nafasi nyingine ya kutuibia.

Na hapa ndo kuna kipimo cha rais wetu, hawa wezi wenye suti wakipewa tena mkataba basi tusisikie tena kelele za ufisadi. Kampuni hii imetudhalilisha kama nchi, imetuibia sana kupitia bei ya umeme ambayo haiingii akilini. Mim kama mwananchi, nipo radhi kukosa umeme kwa nyakati fulani au nyakati zote ili mradi mumiani kama IPTL na wengineo wameondoka ktk sekta ya umeme.
Iko namna sio bure. Yaani kelele zinazopigwa mchana na usiku kuhusu hili DUDU la IPTL leo wanatangaza kuongezewa mkataba!!?? Mhhh, hata sielewi.
 
masikini makabachorii wanataka waendelee kutupiga...hivi hao ewura kazi yao hasa ni regulation au facilitation ya energy
 
I once said hakutatokea kiongozi msafi kutoka kwenye hiyo kambi mpk Yesu atakaporudi
 
Wanaosema turenew waseme ndiooooooo, ndiioooooo,wanaosema sio.. Sioo
Haya waliovaa kijan wameshinda tender inakuwa renewed
 
This is a sin and crime..

Until when this problematic contract will be protected?
 
Thubutu! Waache kuteka Watanzania wazalendo kama kijana Ben Saanane wamteke singasinga! Mbona hilo haliwezekani...waliozoea vya kunyonga vya kuchinja hawaviwezi!

Duuuuuuh,

Basi aiseee nilikuwa sielewi
 
Yaani binafsi iptl na singasinga wakipewa hii tenda na kutuibia,,, Baasssiiiiii nitakuwa msomaji na comment yangu itakuwa hivi kwa nyuzi zote "napita' Nitarudi tena ... ... ... " sitamwamini kamwe na sitakaa nimhurumie mwanasiasa yeyote awe tawala ama upinzani as longer as he or she is a politician!!

Yaani, tungekuwa nchi inayojielewa huyu singasinga serikali ingemteka ili arudishe hela zote alizotuibia.

Ok, ombeni asipiwe nafasi akipewa nafasi tena, basi mtaona comments zangu zote itakuwa ni hivi " Napita, nitarudi tena ... ... ..."
 
Hawa wabunge wa Ccm ni tatizo kwa Taifa. Kila kitu kwao ni ndiooo. Bila kufikiria madhara kwa Taifa. Sheria nyingi zina pitishwa kishabiki na ignorance. Huwa hawangalii athari hadi itokee. Ndipo wanajitokeza kujitambua.

Sasa kama hiyo baby care Centre ya kunywa chai ya maziwa ya NIDO na Nescafe Baadaye wanajizungusha kwenye viti usingizi Unawapitia wakishituliwa wanaangukia kwenye kitu cha ndiyooooooooooooo,,,,

Wengi wao ni KKK!/RRR ,,, kwa kweli hiki kituko kinachoitwa bunge ndiyo mfanyakazi hewa namba moja hapo Tanzania!!

Usitegemee, watu wa kuroga ng'ombe, kutumbuliwa Kwa wanganga na wabunge 350+ wanategemea uchawi kasoro 2 au 3 , wengine wa kung'oa mitambo yetu ya maji na mita.

Tena , wengine KKK hawajui hata tofauti ya mabalozi wa kumuwakilisha rais nchi mbalimbali na balozi wa nyumba kumikumi eti kundi Kama hilo lielewe au wataelewa namna nzuri yaani kutunga sera, kuishauli serikali na kutunga sheria nzuri never ever tunaenda Kwa kupapasa ndiyo maana KKK wanafanya maamuzi ya kuongoza wasomi.

Duniani kote, bunge linakuwa ni akili kubwa kuongoza akili ndogo ila Tanzania; kwenye bunge Letu ni kinyume yaani akili ndogo zote ndizo zinaongoza akili kubwa.

Ni majanga.
 
Hawa jamaa wakiongezewa mkataba basi nitajua hii nchi ya wasengerema! Bahati nzuri tuna fursa ya kushawishi hawa jamaa wasiongezewe muda. Shime wote tutenge siku tupeleke barua zetu za kupinga kwa mkono, posta na EMS (mimi binafsi nitapeleka kwa mkono na DHL). Wanaharakati na wanasiasa mliowahi kukemea wizi huu wa mchana, hii ni nafasi yenu ya kuitisha mikutano na hata maandamano (Yuvisisimizi mnaweza kuruhusiwa na polisi) kupinga hawa mumiani kupewa nafasi nyingine ya kutuibia.

Na hapa ndo kuna kipimo cha rais wetu, hawa wezi wenye suti wakipewa tena mkataba basi tusisikie tena kelele za ufisadi. Kampuni hii imetudhalilisha kama nchi, imetuibia sana kupitia bei ya umeme ambayo haiingii akilini. Mim kama mwananchi, nipo radhi kukosa umeme kwa nyakati fulani au nyakati zote ili mradi mumiani kama IPTL na wengineo wameondoka ktk sekta ya umeme.
Hawa IPTL walichoomba ni leseni tu. Mkataba tayari wanao hadi 2022. Ni kama leseni yako ya biashara unavyoenda ku renew kila mwaka ndicho wanachoomba hapa hao IPTL.

Kuhusu mkataba bado wapo wapo sana
 
Utashangaa wanapewa leseni,ndiyo utajua yule anayedai kutetea wanyonge hakuna kitu
 
Hawa IPTL walichoomba ni leseni tu. Mkataba tayari wanao hadi 2022. Ni kama leseni yako ya biashara unavyoenda ku renew kila mwaka ndicho wanachoomba hapa hao IPTL.

Kuhusu mkataba bado wapo wapo sana
Lakin maana yake si kwamba kama hawana leseni hawawez kutuuzia umeme? Hata hiyo tu inatosha kuwaondoa.
 
Hata ile ya VX8 kwamba Serikali haitanunua magari ya kifahari Leo limepigiwa makofi ati watawala wanatakiwa wawe salama na magari salama ni VX 8 haya mengine hapana hadhi ya kupanda Watawala.

Tunapiga makofi meeeeeeeengi papapapa CCM hoyeeeeeeeeeee.Ole wenu nyie Wapinzani mkipinga tu tuna wapiga ban
pombe akija kuyapiga marufuku watamshangilia tena.
 
pombe akija kuyapiga marufuku watamshangilia tena.

Hawezi kuyapiga marufuku kama Naibu Gavana mmojawapo na Naibu waziri wa Nishati na madini ndiyo wahusika wakuu kwenye mikataba mibovu halafu wanapigwa na ULAJI!Duh kweli kuwa MZALENDO lzaim uwe mpigaji
 
0653e940588cb078b1c5e8a3430ed545.jpg

--------------

iparamasa said;

IPTL, ile kampuni inayoinyonya usiku na mchana Tanesco na ikakwapua pesa za Escrow, imeomba muda zaidi iendelee kuiuzia umeme Tanesco!

Kampuni hii inaomba leseni wakati nchi ikihangaika na mikataba ya hovyo ya makinikia, na serikali hii itapimwa kama kweli ina nia ya kuondoa unyonyaji sekta zote mpaka kwenye umeme na si makinikia tu.

Je, Magufuli atawapa leseni?

Je, wabunge watasemaje? Hasa wa CCM waliowafungia wenzao mpaka mwaka 2018?

IPTL pia haikuwahi kupewa mkataba wala kutetewa na UKAWA.

Mmojawapo ya sababu za kuwafungia ni kupunguza Kelele wakati Bajeti itakapoanza kuchambuliwa.
 
Hawa jamaa wakiongezewa mkataba basi nitajua hii nchi ya wasengerema! Bahati nzuri tuna fursa ya kushawishi hawa jamaa wasiongezewe muda. Shime wote tutenge siku tupeleke barua zetu za kupinga kwa mkono, posta na EMS (mimi binafsi nitapeleka kwa mkono na DHL). Wanaharakati na wanasiasa mliowahi kukemea wizi huu wa mchana, hii ni nafasi yenu ya kuitisha mikutano na hata maandamano (Yuvisisimizi mnaweza kuruhusiwa na polisi) kupinga hawa mumiani kupewa nafasi nyingine ya kutuibia.

Na hapa ndo kuna kipimo cha rais wetu, hawa wezi wenye suti wakipewa tena mkataba basi tusisikie tena kelele za ufisadi. Kampuni hii imetudhalilisha kama nchi, imetuibia sana kupitia bei ya umeme ambayo haiingii akilini. Mim kama mwananchi, nipo radhi kukosa umeme kwa nyakati fulani au nyakati zote ili mradi mumiani kama IPTL na wengineo wameondoka ktk sekta ya umeme.
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa mkulu haelewi kama IPTL wameomba kuongezewa mkataba, na kwamba tangazo hili limeletwa kama formalities tu!
 
Back
Top Bottom