Serikali: Kila mtanzania atapaswa kumiliki laini moja ya simu, ukitaka ya pili unaomba TCRA

matumizi ya line zangu:
1.tigo=aisha,fatuma na happy
2.zantel=amina,manka,zuwena na rose
3.airtel=janeth,fatuma na mwajuma
4.voda=zawadi,stamili na neema
haloteli=bando za internet

nikiwa na line moja si nitakosa wachumba,hapa napinga hoja
 
Hiyo ni ngumu sana

Kwa sababu mtu anayo line specific for internet

Line nyengine kwa ajili ya calls only (mfano line za kazini zilizosajiliwa kwa jina lako) hauwezi kulikwepa hilo

Mobile banking pia kuna mitandao haiko vizuri kwene kipengele hicho hatuwezi hiyo kitu bado wafikirie upya kwa nchi hii

Na wakitaka hivyo waanzie kwa watengeneza simu za line mbili

Na watanzania kumiliki simu zaidi ya moja watazuia!?

Shughuli hii itabidi ianzie mbali kwa kweli
 
Jamani!
Mbona tunabanwa mbavu kila kona?
Wameondoa bunge live.
Wameondoa local channels ktk visimbuzi
Wamezuia maandamano
sasa wanaingia ktk laini za simu. Tupumulie wapi?
Si wapo wanaoshangilia pamoja na Waziri wa Sheria na Katiba Propesa Kala Maganda.
 
Aliyetoa Tamko Naamini Anamiliki Line Zaidi Ya Moja Sasa Hivi

TCRA Inauwezo Kupokea Maombi Ya Sisi Zaidi Ya Millions Hamsini Halafu Ndiyo Watujibu
Kiongozi Nadhani Kidogo....
inawezekana wakaweka fee,maana wanajiongezea kazi.wanataka wachukue hela kiaina
 
Msimlishe maneno rais wangu, kwanza alosema kila mtu line moja sio rais bali ni TCRA pengine hata na yeye anasoma kupitia mitandao. Sasa imekuwa kila tamko la taasisi yyt likitolewa basi lawama zooote kwa rais. Tatizo naanza kuelewa taratibu kuwa tunachat na watu ambao hawajui serikali inavyofanya kazi, na pia uwezo wako wa kuchambua mambo. Shida siku hizi jf hadi watoto wa secondari wamejiunga. Rais huwa hatoi kila matamko so muwaulize tcrs.

Kwanza mm sioni taabu kuomba kumiliki line zaidi ya moja, unaandika barua unaituma then unaainisha sababu. Hii inadhibiti mambo mengi hata wale wa tuma ile hela kwenye line hii watatoweka, pia watoto wadogo watakuwa hawana uwezo wa kumiliki simu sababu kitambulisho kinachotumika ni cha taifa tu. Kwa sasa unakuta mtu ana line 17 ukifuatilia kawasajilia line marafiki zake wote sababu hawajatimiza miaka 18. I see this in a very positive way na inaleta ufanisi
Ili uweze kueleweka ingependeza hii post yako iwe reply kwa aliyemtuhumu Rais. Aliyeanzisha uzi hajasema Rais ndiye kasema.
 
pesa za kurudia rudia chaguzi ni bora zielekezwe huko TTCL basi waifanye iwe kampuni imara isambae kote vijijini kila kona ya Nchi kisha waje na hivyo vioja vya line vya kuharibu biashara za watu.
Iyo inaitwa kulalia riziki ya mwenzio mlango wazi buni kingine ukiona mwenzio anafaidi sana tafuta nyenzo zingine nawe ufaidi kama navyofaidi wengine#halotel
 
Unakuaje waziri na mawazo mgando kama hivi. Ukianza kubania technology unaua innovation kwenye nchi. Hizi laini tunatumia kama internet hotspots, kuna sehemu zingine mtandao haupo wala haushiki sasa hapo ufanyeje kama una laini moja? How do these people think :mad:
 
Ktk hili jambo sina uhakika kama hawa TCRA waliwashikirikisha hawa service providers maana naona kuna udhaifu mkubwa ktk haya maamuzi.
 
Omba
What?

Hawa jamaa sijui wanataka kuipeleka wapi tu hii nchi!

Haya ndo matatizo ya kuwa na rais ambaye role model wake ni Gadafi wa Libya.
Omba radhi , Vision ya Gadafi hata uko wenu hawajawahi kuwa Nayo hakuna aliye wahi tokea Dunia hii Kiongozi ambaye ukifikia umri Wa kuoa na huna kipato unalipiwa Mali Na unapewa Nyumba.
Hata source ya Mb unazozitumia ni Mission ya Gadafi ya kutaka watoto Wa Afrika wote wanafikiwa na mtandao. Baada ya kuonekana anataka kuiunganisha Afrika Kwa Upendo wake Wa hali ya Juu. Kwa matakwa yao ili waafrika tusiwe wamoja ndo kifo cha Mohammed Gaddafi The Lion of Afrika.
Ukimtukana Gaddafi jiangalie ajili zako unaweza ukawa umechanganyikiwa si bure.
Rais Magufuli ni Wa kwetu cc Watanzania so hatutaki mjifanye mnatetea democracy kumbe lengo lenu mnalijua, mkithubutu kutusumbulia Rais wetu mtaelewa kama tulichoka siku nyingi kunyonywa Na saizi tumeuelewa wizi wenu Kwa kuwatumia wapuuzi Kama wewe
 
Hv kua kada wa ccm lazma uwe mjinga hv kwan hata nikiwa na lain 4 si zangu kuna za biashara,familia,private yangu.afu acha kuuliza kijinga kwan ukiwa na line mbili lazma uongee kwa wakati mmoja? Ccm acheni ujinga hao wazungu waliotengeneza cm za line 2 au 3 walikua wajinga?afu watu kumiliki line 2 ni kusave gharama embu weka voda afu mpigie mtu wa halotel weka 2000 tu utapata majibu yake
sababu zako za kuwa na line mbili hazikidhi vigezo Kwa hiyo hatukupi
 
Back
Top Bottom