Ni line moja kwa kila mtandaokwa hiyo sisi wengine ambao kijijini kwetu tukienda kutembea VODACOM tu ndo inasoma alafu wateja wangu wengi ni wa TIGO mnatushauri nn?
Ni line moja kwa kila mtandaokwa hiyo sisi wengine ambao kijijini kwetu tukienda kutembea VODACOM tu ndo inasoma alafu wateja wangu wengi ni wa TIGO mnatushauri nn?
Umeacha tabia yako ya kukojoa kitandani?Lakini kweli simu ni mawasiliano hivi kweli Unaweza kuongea na simu mbili Kwa wakati mmoja? Halafu hivi ukiulizwa sababu za kuwa na laini mbili ni zip? Sidhani kama kuna mwenye jibu litalojitosheleza
Kwa nini?
Lakini kweli simu ni mawasiliano hivi kweli Unaweza kuongea na simu mbili Kwa wakati mmoja? Halafu hivi ukiulizwa sababu za kuwa na laini mbili ni zip? Sidhani kama kuna mwenye jibu litalojitosheleza
Na baba yake aliyemzaa kwenye huo uongoziHaya ndio madhara ya kuongozwa na watu wenye akili ndogo kama huyo mpuuzi aliyeongea huo upuuzi.
Wakiamka wanakurupuka na matamko, nchi nyingine watu hufanya upembuzi yakinifu na utafiti wa muda mrefu ili kutoa mapendekezo ya kutekeleza jambo flani kwa manufaa flani, na wadau watapewa muda wa wao kutoa maoni yao na mawazo yao kufanyiwa kazi.Ametoa sababu zozote zilizopelekea hayo maamuzi?
Simu nazo wanataka tumiliki ngapi?
Basi wafungie mitandao yote ubaki mmoja tu wanaoutaka wao.
DAR: Serikali imesema itaanza kudhibiti umiliki holela wa 'line' za simu na hivyo chini ya usajili wa 'line' kwa alama za vidole mtu akitaka kusajili 'line' zaidi ya mbili itabidi ajaze fomu ya kueleza kwa nini anataka 'line' ya pili.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi, Atashasta Nditiye aliyeeleza kuwa katika udhibiti huo watashirikiana na NIDA kupitia vitambulisho vya Taifa.
Amesema kuwa mtu akitaka kusajili 'line'ya pili ya simu Kampuni za simu zitamuona na kujua kuwa tayari ana 'line' ya kwanza, hivyo lazima atajaza fomu maalum kueleza kwa nini anataka 'line' ya pili.
Aidha, Naibu Waziri amesema kuwa kabla ya mwaka huu kuisha 'line' za
simu zitaanza kuuzwa kwenye maduka rasmi na mtu anayesajili atachukuliwa alama za vidole na picha yake
Baadaye dini moja(dhehebu moja).Raisi mmoja,
Chama kimoja,
Line moja ya simu!!
Mke mmoja,Baadaye dini moja(dhehebu moja).
Mateja kibao unampa teja 10000 laini tayari