Serikali iwe makini; misaada ya vyakula Marekani si salama

Huo mchele umepewa jina, unaitwa mchele wa bashe, magufuli naye alipewa samaki, samaki wale wa wachina wakaitwa samaki wa magufuli. Sasa kama hawautaki huo mchele watupe sie wengine tuule tuone kama tutapata madhara
Unajua watu wanasema tunazalisha mchele mwingi. Je mnazalisha na kugawana Kwa watu wenye uhitaji na uhaba wa Chakula. Lishe katika familia nnyingi ni ngumu sana. Watu wanakula mlo mmoja na watoto wengi wanakwenda shule bila kula chochote mpaka mchana au jioni akirudi nyumbani, na anaweza kurudi nyumbani akakuta swaumu bila mfungo kamili. Halafu watoto wengi wanatembea umbali mrefu kwenda shule na kurudi nyumbani. Utakuta wengi wanasimamisha magari njiani wapate msaada wa usafiri, Chakula na usafiri ndiyo changamoto kubwa inayowaathiri wanafunzi wengi kutokuwa makini kwenye masomo.
 
Serikali inabidi iamke toka usingizini. Serikali za wenzetu, hasa ya Marekani, wana ajenda isiyo wazi kwetu, nchi za Afrika. Afrika inachukuliwa kama bara la kuvuna malighafi na si vinginevyo.

Marekani kwa muda mrefu sana ina kituo cha kijeshi Congo, na huko ndio lichukua Uranium iliyotengeneza bomu a kwanza la nyuklia. Congo kuna machafuko miaka nenda rudi, lakini Marekani hitaki Congo ipate amani ili iendelee kuvuna madini ghafi. Hapa nchini tunaelekea hukko huko, tuwe macho.

Leo Marekani wanatuletea vyakula, kwa ajili ya watoto, huku tukijua kuwa wana ajenda ya Africa Depopulation.
Vile vile tunasikia kuwa wana programme za kupunguza uzai kwa kiujumla nchi za Afrika.

Hapo ndio namsupport Magufuli, serikali isipuuze hizi habari kuwa policy ya Depopulation kwa nchi za Afrika ni jaribio la kulifanya bara hili kuwa sehemu ya nchi kama Marekani kuvuna tu malighafi.

Wametuletea chakula Dodoma kwa ajili ya watoto, tuwe makini sana. Watatupendaje, hasa watoto, kuliko kuwaondolea adha waKongo? Kuna ka nchi kanaitwa Haiti, si mbali na Marekani.

Watu wana chinjana hapo, lakini kwa vile kunakampuni za marekani zinavuna madini bure kabisa, wayu wanaachwa wachinjane. Hiyo ndo Marekani.
Upuuzi mtupu. Huo ni mtazamo wako tu. Hakuna mahali umetoa mfano hata mmoja wa madhara ya misaada ya chakula ya Wamarekani kwa Waafrika. Weka mfano halisi hata mmoja wa hatari ya kupokea chakul cha msaada kutoka Marekani.
 
Doesn’t add up mchele wenyewe by nature una ‘starch’ source muhimu ya kuupa mwili nguvu.

Sasa wao wameenda kuongeza kirutubisho gani tena kwenye huo mchele hapo ndio sintofahamu ilipo.

Wapeleke Sudan, Palestine, Ukraine na Haiti watakuwa wanamahitaji ya chakula zaidi kuliko Tanzania.
Nchi inawatu wajinga sana hii,huna unacho jua we mjinga
 
Ni chuki dhidi ya Marekani tu. Wakati inachangia bajeti ya serikali ya Tanzania. Nendeni Marekani mkaone jinsi binadamu anavyotakiwa kuishi
1710911088561.png

Washamba mna shida kubwa!
 
Vipi misaada ya kujengewa vyoo ni salama? Vipi Vyandarua? vipi Chanjo? Hii nchi ina raia wajinga hadi aibu,SIkiliza wewe mjinga, Marekani wakitaka kuwauwa wana njia zaidi ya hata million, Kila unacho tumia hapo ni cha kwao, Tutafute elimu, tuachane na elimu za vijiwe vya kahawa
Pole kwa kumuamini mtu ambaye anakutaka uwe shoga.
 
Wametuletea chakula Dodoma kwa ajili ya watoto, tuwe makini sana. Watatupendaje, hasa watoto, kuliko kuwaondolea adha waKongo? Kuna ka nchi kanaitwa Haiti, si mbali na Marekani.
Jamani hawa USA sio wajomba zetu!
Haya majitu ni wauaji na mashetani!
Hiki wanachosema ni msaada sio msaada bali kilio huko mbeleni!
Tuache uzuzu dhidi ya bidhaa za hawa watu!
 
Jamani hawa USA sio wajomba zetu!
Haya majitu ni wauaji na mashetani!
Hiki wanachosema ni msaada sio msaada bali kilio huko mbeleni!
Tuache uzuzu dhidi ya bidhaa za hawa watu!
Asante bro
Kuna watu wanajitoa kiakili na kushabikia hiyo misaada isiyo na tija.
Majuzi kule Bagamoyo DC amewafukuza NGO iliyokuwa inatoa chakula kwa watoto, lakini malengo yao haswa ilikuwa kuwaa chakula na kufundisha ushoga.

Siji watanzania tutaokokaje na hii mentality ya kimasikini.
 
Asante bro
Kuna watu wanajitoa kiakili na kushabikia hiyo misaada isiyo na tija.
Majuzi kule Bagamoyo DC amewafukuza NGO iliyokuwa inatoa chakula kwa watoto, lakini malengo yao haswa ilikuwa kuwaa chakula na kufundisha ushoga.

Siji watanzania tutaokokaje na hii mentality ya kimasikini.
Una kiwango gani Cha elimu
 
Unajua watu wanasema tunazalisha mchele mwingi. Je mnazalisha na kugawana Kwa watu wenye uhitaji na uhaba wa Chakula. Lishe katika familia nnyingi ni ngumu sana. Watu wanakula mlo mmoja na watoto wengi wanakwenda shule bila kula chochote mpaka mchana au jioni akirudi nyumbani, na anaweza kurudi nyumbani akakuta swaumu bila mfungo kamili. Halafu watoto wengi wanatembea umbali mrefu kwenda shule na kurudi nyumbani. Utakuta wengi wanasimamisha magari njiani wapate msaada wa usafiri, Chakula na usafiri ndiyo changamoto kubwa inayowaathiri wanafunzi wengi kutokuwa makini kwenye masomo.
Ukiwa na mawazo mafupi wala hujui adui yako anatokea wapi!
 
Ukipewa nafasi ya kwenda kuishi marekan utakimbia utaacha watoto na mke ila chakula chao ni sumu
Tuache kua na mawazo finyu na pungufu uyo marekan km akitaka kuwauwa waafrica ananjia nying sana ata zingne huweZ zifikilia
Leo hii wabongo tunanufaika na USaids inatoa madawa ya ukimwi nankusaidia waathilika km wangetaka kutuuwa wangeweka sumu ata kwa ARV
LEO hii kumekua na kasumba ya kumtusi mzungu na kumtukuza mchina wakat weng ya wapondaji wakipewa nafasi ya kuishi kati ya marekan na china weng watakimbilia marekan
 
Kuna watu mkielekezwa kibla kabla ya kuchinjwa hamjielewi kabisa.
Mmarekani akulishe wewe kwa upendo gani?
Endelea kuropoka ilhali Mecca inalindwa na wanajeshi wa Marekani. Endelea kuburudika na soseji za nyama ya kitimoto


Nipo namsikiliza MBS kuhusu hadithi za mtume
 
Wabongo bn kuna mda mnakuwa serious na fununu za kijinga marekani ikiamua kuua nchi nzma hata wiki haipiti mavyandarua wanatoa wao na watu wanapewa bure madawa ya malaria yanatoka huko serikali inapokea hyo misaada kwa mda mrefu haya ARV Wanatoa wao bure tena kwa mda mrefu kabla ya hzi ARV nafkiri mnajua ngoma ilivyokua inasomba watu

Nenda muhimbili vifaa tiba vingi utaona vina nembo ya USAID haya miradi ya maji vijijini mingi wanafadhili wao umeme wa REA vijijini wanasapoti wao leo hii mnataka kuwaona wabaya asilimia mia

Ni kweli hawa wazungu wanatugharimu kama nchi kutokana na misaada yote hiyo lakini chanzo sio wao ni viongozi wetu wanakosa uzalendo mbn magufuli baadhi ya misaada alikuwa anakosoa hdharani
 
Tuwe waangalifu, kitu cha bure gharama!
Mnatumia google ya mmarekani,unatumia google ya mmarekni,umeshadungwa michanjo ya mmarekani,unakunywa dawa ya mmarekani na usikute hapa umekomenti kwa kutumia simu ya mmarekani ama kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya firani,wabongo ni wajinga sana acha ccm itawale milele tu
 
Nyie kweli mnafurahisha sana... sasa hapo mjinga nan mbona tunashindwa kuwaelewa?

Mjinga aliyetoa wazo la kuwa makini na hao mabeberu au mjinga anayeshadadia vitu vya kupewa bule ilhali nchi yake ina kila kitu?

TUache uchawa jaman pale inapobidi kuikosoa serikali bas hatuna bud kuikosoa

Hv kweli jaman inaingia akilini nchi yenye zaid ya miaka 60 ya uhuru mpaka leo hii inasaidiwa kuchimbiwa matundu ya vyoo?

Nchi yenye zaid ya miaka 60 ya uhuru leo hii inasaidiwa net?

Nchi yenye zaidi ya miaka 60 ya uhuru leo hii inachangiwa chakula?

Tanzania mna bandar za kutosha, mna bahar na maziwa ya kutosha, mna kila aina ya madini, mna mbuga za kutosha

Tanzania mna gas & uranium,


Tanzania mna ardhi yenye rutuba ya kutosha,


Tunalima mazao ya chakula na biashara pia

Tanzania tunafuga sana chakuskitisha tunaacha kuikosoa serikali kwamba tunanufaikaje na hizo raslimari zetu anakosolewa mtu kisa kakemea msaada wa maharage na mchele toka marekan wakati mbeya & morogoro tuna michele ya kutosha

Bila shaka ww ndugu yangu ndio una elimu ya vijuwen

Hauna sifa kabisa ya kuwa msomi

Kama ni kusaidiwa tusaidiwe kwenye mirad mikubwa ya kimkakat lakin sio kwenye matundu ya vyoo, net na chakula

We mwenye shule ambayo sio ya kijuwen ulisoma kwa msaada wa chakula cha marekan?

Tuache kukwepa majukumu kama vipi we changia tu mtoto wako awe anakula shuleni na sio kupitisha bakuli eti unataka mtoto wako ulelewe na mtu

Kiufupi jamaa aliyeweka uzi yupo sahihi sana
Sasa ukisaidiwa hayo unayoyaona madogo unamlaumu anayekusaidia au unailaumu serikali yako kwa uzembe watoto mashuleni wameletewa chakula nyinyi mnazusha yana yana dawa mna ushahidi gani
 
Back
Top Bottom