Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,273
- 6,637
- Thread starter
- #181
Mjinga ni wewe ambae hujajua mantiki ya kuzima mitandao wakati wa uchaguzi.Upumbavu ni kuushambulia mtandao wa Internet kwa kutumia mtandao huo huo wa Internet.
Ungeandika kwa masizi kwenye mabua ukasambaza ujinga wako, hapo hata kama ungekuwa umekosea, angalau ungekuwa consistent kinadharia.
Sasa hivi unaushambulia mtandao wa internet, wakati huo huo unautumia, unaonekana ama ni mjinga, ama ni mnafiki.
Pengine vyote viwili.