Serikali iwe makini, isikurupuke kurudisha mtandao wa intaneti

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
42,684
2,000
Ahaaaa sababu unaendekeza ujinga na upumbavu? Matapeli kama wewe wapo wengi,utasikia nilikuwa na viongozi wa wizara.... tumewazoea. Kumbe mnaishi kawe uswahilini.
Naishi Kawe 'Uswahilini' na Wewe najua unaishi 'Obey' kwa 'Basha' wako wa 'Kigiriki' ila najua Wote tunakunya Mavi sawa na Kupata Usingizi sawa.
 
Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
4,232
2,000
Naishi Kawe 'Uswahilini' na Wewe najua unaishi 'Obey' kwa 'Basha' wako wa 'Kigiriki' ila najua Wote tunakunya Mavi sawa na Kupata Usingizi sawa.
Hapo ndipo ufala na utapeli wako Jf huwa unajulikana. Mimi sikai Obey wala sipajui. Na ni mtu na heshima zangu,upumbavu na uongo wako wa Jf wadanganye hao wanaCdm ambao huwa unawadanganya kuwa uko na viongozi wakati tapeli tu.
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
42,684
2,000
Hapo ndipo ufala na utapeli wako Jf huwa unajulikana. Mimi sikai Obey wala sipajui. Na ni mtu na heshima zangu,upumbavu na uongo wako wa Jf wadanganye hao wanaCdm ambao huwa unawadanganya kuwa uko na viongozi wakati tapeli tu.
Ratiba yako ya leo kwenda kwa 'Basha' wako wa Kigiriki inasemaje? Kama huendi huko niambie ili nikuunganishe na Mwarabu wa Magomeni hapo.

Cc: Lucas Mobutu
 
Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
4,232
2,000
Ratiba yako ya leo kwenda kwa 'Basha' wako wa Kigiriki inasemaje? Kama huendi huko niambie ili nikuunganishe na Mwarabu wa Magomeni hapo.

Cc: Lucas Mobutu
Matusi hayasaidii we tapeli wa Jf. Watu wenye akili wanakujua. Ni fala amabae huna mbele wala nyuma. Zaidi ya kujifanya unajua kumbe fala tu
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
42,684
2,000
Matusi hayasaidii we tapeli wa Jf. Watu wenye akili wanakujua. Ni fala amabae huna mbele wala nyuma. Zaidi ya kujifanya unajua kumbe fala tu
Hivi Mwenyezi Mungu akikuumba kuwa 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' unaweza kuwa 'Popoma' kama Wewe?
 
TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
4,757
2,000
Hii nchi ina maadui wengi sana wa kiuchumi na kisiasa ambao hawaitakii mema. Hivyo serikali iwe makini.

Hizi ni nyakati mbaya sana maana mitandao inatumika vibaya na mara nyingi hutumika hata kuiba siri za nchi na kueneza propaganda za uongo.

Tumeshuhudia wadukuzi wakifanya udukuzi kwa kueneza propagada za uongo na kusababisha taharuki hasa nyakati za uchaguzi. Mimi binafsi naipongeza Serikali kwa hatua ilizofanya kwa maslahi ya taifa letu.

Hatujui akina Amsterdam na baadhi ya mabeberu walikuwa na mpango gani wa kudukua na kuingilia mawasiliano ya mtandao wa serikali yetu ili kuvuruga uchaguzi.
Nimtu alie na uwelewa mdogo wa dunia inapo enda ndio anawezakuandika pumba kama hii. Nakushauri ukasome vizuri papers za CIA projects. Na M16 ukiwa na ubavu ukatafute za Mossad kisha urudi hapa kufuta huu ujinga. Yani unafunga mtandao Kwa kisa cha kueneza habari za uwongo while unasheria ya mitandao kindly give me a break for only 8 day estimate 46b we lose what about an agreement Kati ya watu wa mtandao na nyie mnao wapa hizo bando Mimi nasema mnisamehe huu ni umasikini wa fikra.

Kama kuna Jambo dunia Kwa SASA inaelekea ni Uhuru wa kupata habari labda nikwambie Tu miaka sio mingi ijayo kila kitu kitategemea mtandao na Kwa taarifa Tu hao mabeberu tunao waita Kwa kuona picha hizi wanahaha usiku na mchana kuweka system zitahepa Aina hii ya kufungiana. Kama ungeniuliza Mimi Leo je huu niuwekezaji Mzuri Kwa serikali ningekwambia no why system wametumi inatumika only ktk highly alert je Tz uchaguzi ulikuwa. Alert gani kubwa kuzima mitandao nakuharibu uchumi wetu?

Ndugu zangu kwanini tusiwekeze kutambuwa hao tunawaita wahalifu tukawadhibiti kuliko kutuhukumu watu wote Kwa kitu tusicho kijuwa?haya well and good tumefungia mitandao je tunaweza futa taarifa za kila MTU alie Zi upload wakati wa uchaguz na hajazipost? If yes it means serikali itajihujumu yenyewe kwa kutumia virus kwenye SIM za watu Jambo ambalo walio unda SIM watatushukia kama mwewe?

Tunahitaji kiwekeza kwenye watu wa itwatakao weza deal na wahusikasio kutuzimia mabando yetu na kututia hasara. Je Nani anaenda kulipa hasara hii nahapa ndipo binafsi naona mahali Fulani hatukuangalia madhara ya kuzima mitandao ya internet.
 
Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
8,513
2,000
Matusi hayasaidii we tapeli wa Jf. Watu wenye akili wanakujua. Ni fala amabae huna mbele wala nyuma. Zaidi ya kujifanya unajua kumbe fala tu
Achana na huyu mpuuzi ambaye anajiona kupost upuuzi kujifanya yupo karibu na watu wa serikali wakati ni mpumbavu na kichwa kina minyoo ya nguruwe.
 
Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
4,232
2,000
Hivi Mwenyezi Mungu akikuumba kuwa 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' unaweza kuwa 'Popoma' kama Wewe?
Una uwezo gani wa kuintertain watu na kubadilisha game? Umepost nyuzi kibao kuhusu Kawe ili uonekane unapajua watu JF wamekupuuza na kukuona kama choo cha shimo. Ulibadilisha nini?
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
42,684
2,000
We fala una charisma gani? Una uwezo gani wa kuintertain watu na kubadilisha game? Umepost nyuzi kibao kuhusu Kawe ili uonekane unapajua watu JF wamekupuuza na kukuona kama choo cha shimo. Ulibadilisha nini?
Kama Rais wako JPM na Wasaidizi wake wote hadi na CDF wako Mabeyo na Taasisi zako 'Nyeti' zinaisoma na 'Kuifolo' 24/7 hii ID Wewe utaniweza?
 
Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
4,232
2,000
Kama Rais wako JPM na Wasaidizi wake wote hadi na CDF wako Mabeyo na Taasisi zako 'Nyeti' zinaisoma na 'Kuifolo' 24/7 hii ID Wewe utaniweza?
Mpuuzi kama wewe wakufollow wewe? Uliedangaya watu humu Jf kuwa kuna watu wanaorodhesha vitambulisho vya kura wizara ya maji? Nafikiri ulisha liwa sana makalio mpaka akili zikavurugika.
 
Roadmap

JF-Expert Member
Aug 19, 2013
2,486
2,000
Tatizo mashoga wengi mnajiuza kwenye mitandao, ndio maana mnalalamika na kujifanya mnajua kutukana watu. Pole kwa kukosa wateja wa biashara haramu ya ushoga.
Dating site ziko active wewe wajuba Hatuwezi kukosa huduma za kufukua mitaro kisa uchaguzi
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
106,765
2,000
Hii nchi ina maadui wengi sana wa kiuchumi na kisiasa ambao hawaitakii mema. Hivyo serikali iwe makini.

Hizi ni nyakati mbaya sana maana mitandao inatumika vibaya na mara nyingi hutumika hata kuiba siri za nchi na kueneza propaganda za uongo.

Tumeshuhudia wadukuzi wakifanya udukuzi kwa kueneza propagada za uongo na kusababisha taharuki hasa nyakati za uchaguzi. Mimi binafsi naipongeza Serikali kwa hatua ilizofanya kwa maslahi ya taifa letu.

Hatujui akina Amsterdam na baadhi ya mabeberu walikuwa na mpango gani wa kudukua na kuingilia mawasiliano ya mtandao wa serikali yetu ili kuvuruga uchaguzi.
Umechelewa wewe tu siye tupo kwa hewa
 
kamwamu

JF-Expert Member
May 18, 2014
3,802

Imetumiwa internet kuleta ujumbe wako jf wa kuishauri serikali iendelee kuzima internet, duniani kweli kuna watu na viatu, tena naona we ni kandambili.
 
kamwamu

JF-Expert Member
May 18, 2014
3,802
2,000
Jamani eeeeh sio lazima wote tujipendekeze kwa mfalme ili tule. Wengine tukalime.

Intaneti ni nyenzo muhimu sana yenye matumizi makubwa kuliko hizo siasa zenu za kilevi.

Biashara, maswala mbalimbali ya kitaaluma, vyote vinategemea intaneti kwa kiasi kikubwa katika nyakati hizi.

Msiwafanye watanzania wote kuwa wahanga na mateka wa siasa zenu za kubabaisha na za kuunga unga kwa propaganda za kuokoteza.

Mara sijui tunapambana na maadui?

Maadui gani mnaopambana nao ninyi Tanganyika? Kanchi dhaifu kasikojulikana hata kwenye ramani ya dunia!

Hebu wacheni siasa za kitoto.
Mleta hoja ni bootlicker, mhurumie.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom