Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 17,722
- 2,000
Ungeweka na namba ya simu ili kujipendekeza kwako kuzae uDC au uDAS
Kama unaona hakuna umuhimu huo, ungeona pia umuhimu wa kutoandika uliyoandika kwa kutumia mtandao. 'Otherwise, you are not true to yourself'.Hii nchi ina maadui wengi sana wa kiuchumi na kisiasa ambao hawaitakii mema. Hivyo serikali iwe makini.
Hizi ni nyakati mbaya sana maana mitandao inatumika vibaya na mara nyingi hutumika hata kuiba siri za nchi na kueneza propaganda za uongo.
Tumeshuhudia wadukuzi wakifanya udukuzi kwa kueneza propagada za uongo na kusababisha taharuki hasa nyakati za uchaguzi. Mimi binafsi naipongeza Serikali kwa hatua ilizofanya kwa maslahi ya taifa letu.
Hatujui akina Amsterdam na baadhi ya mabeberu walikuwa na mpango gani wa kudukua na kuingilia mawasiliano ya mtandao wa serikali yetu ili kuvuruga uchaguzi.
Mwenzetu hii huduma ya internet umeipataje? Je unajua ni kazi ngapi zimekwama kutokana na kukosekana kwa huduma ya internet? Pia kumbuka shughuli mbalimbali za Serikali kwa sasa zinategemea internet ikiwa ni pamoja na malipo.Hii nchi ina maadui wengi sana wa kiuchumi na kisiasa ambao hawaitakii mema. Hivyo serikali iwe makini.
Hizi ni nyakati mbaya sana maana mitandao inatumika vibaya na mara nyingi hutumika hata kuiba siri za nchi na kueneza propaganda za uongo.
Tumeshuhudia wadukuzi wakifanya udukuzi kwa kueneza propagada za uongo na kusababisha taharuki hasa nyakati za uchaguzi. Mimi binafsi naipongeza Serikali kwa hatua ilizofanya kwa maslahi ya taifa letu.
Hatujui akina Amsterdam na baadhi ya mabeberu walikuwa na mpango gani wa kudukua na kuingilia mawasiliano ya mtandao wa serikali yetu ili kuvuruga uchaguzi.
Ww aliyekwambia serikali imezima internet ni nani,kama hujui mambo ya IT ni afadhali ukae kimya tu kuliko kuanzisha thead usiyojua unaongea nn.Hii nchi ina maadui wengi sana wa kiuchumi na kisiasa ambao hawaitakii mema. Hivyo serikali iwe makini.
Hizi ni nyakati mbaya sana maana mitandao inatumika vibaya na mara nyingi hutumika hata kuiba siri za nchi na kueneza propaganda za uongo.
Tumeshuhudia wadukuzi wakifanya udukuzi kwa kueneza propagada za uongo na kusababisha taharuki hasa nyakati za uchaguzi. Mimi binafsi naipongeza Serikali kwa hatua ilizofanya kwa maslahi ya taifa letu.
Hatujui akina Amsterdam na baadhi ya mabeberu walikuwa na mpango gani wa kudukua na kuingilia mawasiliano ya mtandao wa serikali yetu ili kuvuruga uchaguzi.
Siyo Kosa langu bali 'mlaumu' Mwenyezi Mungu kwa kunifanya niwe 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' hivi sawa?Mpuuzi kama wewe wakufollow wewe? Uliedangaya watu humu Jf kuwa kuna watu wanaorodhesha vitambulisho vya kura wizara ya maji? Nafikiri ulisha liwa sana makalio mpaka akili zikavurugika.
Atajulia wapi na yeye anauhakika nanposho ya buku 7 kwa wikiUnajua maana ya e-commerce????
Labda wa mavi ya mbwa!Siyo Kosa langu bali 'mlaumu' Mwenyezi Mungu kwa kunifanya niwe 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' hivi sawa?
Utateseka sana na Mimi ila sijawa 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' kwa bahati mbaya. Namshukuru mno Mungu.Labda wa mavi ya mbwa!
Wewe ni mmoja wa wajinga kutoka chattle.Hii nchi ina maadui wengi sana wa kiuchumi na kisiasa ambao hawaitakii mema. Hivyo serikali iwe makini.
Hizi ni nyakati mbaya sana maana mitandao inatumika vibaya na mara nyingi hutumika hata kuiba siri za nchi na kueneza propaganda za uongo.
Tumeshuhudia wadukuzi wakifanya udukuzi kwa kueneza propagada za uongo na kusababisha taharuki hasa nyakati za uchaguzi. Mimi binafsi naipongeza Serikali kwa hatua ilizofanya kwa maslahi ya taifa letu.
Hatujui akina Amsterdam na baadhi ya mabeberu walikuwa na mpango gani wa kudukua na kuingilia mawasiliano ya mtandao wa serikali yetu ili kuvuruga uchaguzi.
we umeingiaje kwenye mtandao ..wao washindwe?Hii nchi ina maadui wengi sana wa kiuchumi na kisiasa ambao hawaitakii mema. Hivyo serikali iwe makini.
Hizi ni nyakati mbaya sana maana mitandao inatumika vibaya na mara nyingi hutumika hata kuiba siri za nchi na kueneza propaganda za uongo.
Tumeshuhudia wadukuzi wakifanya udukuzi kwa kueneza propagada za uongo na kusababisha taharuki hasa nyakati za uchaguzi. Mimi binafsi naipongeza Serikali kwa hatua ilizofanya kwa maslahi ya taifa letu.
Hatujui akina Amsterdam na baadhi ya mabeberu walikuwa na mpango gani wa kudukua na kuingilia mawasiliano ya mtandao wa serikali yetu ili kuvuruga uchaguzi.
Huwezi jua mpaka ungezaliwa na ubongo ulio na akili.we umeingiaje kwenye mtandao ..wao washindwe?
Kumbe watanzania wasiojitambua bado mpo?Hii nchi ina maadui wengi sana wa kiuchumi na kisiasa ambao hawaitakii mema. Hivyo serikali iwe makini.
Hizi ni nyakati mbaya sana maana mitandao inatumika vibaya na mara nyingi hutumika hata kuiba siri za nchi na kueneza propaganda za uongo.
Tumeshuhudia wadukuzi wakifanya udukuzi kwa kueneza propagada za uongo na kusababisha taharuki hasa nyakati za uchaguzi. Mimi binafsi naipongeza Serikali kwa hatua ilizofanya kwa maslahi ya taifa letu.
Hatujui akina Amsterdam na baadhi ya mabeberu walikuwa na mpango gani wa kudukua na kuingilia mawasiliano ya mtandao wa serikali yetu ili kuvuruga uchaguzi.
QengayBiashara za kuuza kupitia mtandao bongo? Nyumba hazijapangiliwa na hao ndio huwa wa kwanza huko uswahilini kuuana kwa kusiliza uongo wa kwenye mitandao.
Kusoma kwa kutumia internet ni uvivu wa kusoma vitabu ndio maana ubongo wako unawaza uharo
Wajinga ni wengi sana ndugu.Karne hii mtu bado hajui umuhimu wa internet wakat huo huo anaitumia kutapikia ujinga wake.Halafu alivyo mpumbavu anasahau kwamba hivi sasa anaandika huo ujinga wake kwa sababu ya uwepo wa hiyo hiyo intanet anayotaka isirudishwe!!
Na dunia ya leo leo ukitaka kujua top losers basi angalia percdeption yao towards the internet... yaani inadhani intaneti ni kwa ajili ya social media, na wala haijui kwamba biashara nyingi hivi sasa zimehamia kwenye social media!!, na bado zinaendelea kuhamia huko
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us