Serikali iwatupie jicho kali BASATA

Kwenye ukweli tuseme ukweli- DAIMOND- hana mpinzani Tanzania-hakuna mwanamziki wa level yake

Hapa ndo mnapochanganya mambo sasa, ndg yangu msilalamikeee, kigezo cha TUZO ZA WATU kilikuwa kupendwa, hayo mengine ni yako
 

Kwanza diamond hakuomba kura
 

- hahaha changamoto gani unayoisema akaanze kutoa rushwa kusidi shinde tuzo msanii maafuru wa Afrika nzima? Umenndika na English kama mtu aliyeenda shule ila reasoning capacity yako bado ni ile ile ndogo sana, Consumer huwa wanaamua uzuri wa poroduct kwa kura sasa mbona zinaleta magomvi kwenye siasa kila siku hapa bongo? pole sana na wewe hujaelewa somo!!

Le Mutuz
 
- Huwa ninapata taabu sana kujibu nonsense!!

Le Mutuz

Teheee teheee hakika kama haupo kwenye payroll Diamond lazima ufikiriwe na uyu dogo maana unatumia nguvu nyingi naamini hizi nguvu zingeenda Tunduma hakika kibanda chetu kingekua kimeisha kukarabatiwa.
 
- Kazi ya usanii maana yake ni Kipaji kinaweza kuamuliwa kwa kura kama kuna ushindani wa kweli, sasa Tanzania hakuna ushindani Diamond anawaacha wote maili 20 sasa unaamuaje kwa kura kama sio uhuni na ujanja ujanja!1

Le Mutuz

Unaposema diamond anawazidi wengine hapo ndio unaleta mapenzi kila Msanii ana kipaji tofauti na mwingine kama uimbaji Wa Ben pol ni tofauti na diamond kila wote ni wasanii kama Ben pol awekwe na diamond live utaona utaofauti Wa vipaji vyao hii tasnia ya mziki imearibiwa na watu tangu zamani acha kura ziamue kama zamani ata diamond aliposhinda tuzo 7 kura ndio zilizoamua
 

- Kwa maelezo yako tu inaonyesha haya hayakuhusu ungeenda tu huko unakolilia mkuu hahahaha

Le Mutuz
 
Pia Mkuu W. J. Malecela ningekubaliana na wewe, iwapo ungekua na msimamo kwenye mambo yote.Mi naomba facts kwamba hii haina tofauti na wanaosema "walio afiki waseme ndio...Ndiooooooooooooo!!"Au mfano, kwa situation iliyopo sasa kati ya Ally kiba na diamond, maamuzi yangefanyika uwanja wa taifa kwa kusema "Wanao mkubali Kiba waseme ndio" , na mc asikilize sauti tu ya ndioooooooo, unadhani diamondi angeshinda?
 
Last edited by a moderator:

- Tunaongela kipaji au siasa hapa?

Le Mutuz
 
Teheee teheee hakika kama haupo kwenye payroll Diamond lazima ufikiriwe na uyu dogo maana unatumia nguvu nyingi naamini hizi nguvu zingeenda Tunduma hakika kibanda chetu kingekua kimeisha kukarabatiwa.

- hahahahaha nonsense hahahah

Le Mutuz
 
- Ina maana JB na Mzee Majuto hawakuomba? ndio maana ninasema ni nonsense!1

Le Mutuz

Diamond alishawadiscourage tangu mwanzo mashabiki wake maana alisema hataomba kura na wala hajafanya kampeni za kuomba kura,sasa Kama kigezo cha ushindi ni kuangalia kura nyingi kwanini unaona ajabu kiba kushinda maana kiba kaomba na kafanya kampeni.
 
- hahahaha nikikujibu nitakuwa sawa na wewe na huu uwezo mdogo sana wa kufikiri sorry!! hahahahah

Le Mutuz

Umekosa majibu na yamekuingia vizuri.

Ungekuwa na uwezo wa kufikiri ungekuja kutetea uozo?

Baba'ko alishindwa uwezo wa kufikiri na kijana mdogo sana pale Mtera. Itakuwa wewe? Fikiri.
 
watu mnamuattack le mutuz bila kujadili mada
 
- Tunaongela kipaji au siasa hapa? Le Mutuz
Kila kitu ni kipaji,(nisiende in details sana) hata siasa ni kipaji ndo mana kuna darasa la saba wanasiasa na maprof wanasiasa.Kule bungeni kuna wenye vipaji vya kuongea sana na wengine hawana vipaji vya kuongea/kupanga hoja,. Kwa iyo hapa ni vipaji katika nyanya tofauti.
 
Umekosa majibu na yamekuingia vizuri.

Ungekuwa na uwezo wa kufikiri ungekuja kutetea uozo?

Baba'ko alishindwa uwezo wa kufikiri na kijana mdogo sana pale Mtera. Itakuwa wewe? Fikiri.

- Nonsense nikjibu nitakuwa kama wewe na uwezo mdogo sana wa kufikiri mimi sio level yako pole sana tafuta level yako wapo humu!! hahahahahaha

Le Mutuz
 

- Kipaji cha Sanaa huwezi kulinganisha na kipaji cha siasa ni vitu viwili tofauti, Diamond hana mpinzani Tanzania kuanzia muziki wake mpaka maisha yake sasa unasema siasa inahusika vipi hapo?

Le Mutuz
 
AAaaah Le Mutuz...Nakumbuka zamaaani ukiwa na
Audi yako nyeusi mziki mkubwaaa
Wengine walikuwa bado hawajaja mjini....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…