William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,464
- Thread starter
- #61
Haaa haaa ulikuwa unaendesha malori ukipata fedha unaandaa parties mwisho wa siku ukarudi bongo na jeans ukitegemea Baba yako atakuwa Rais Mzee Kifimbo hakamzuia ikabidi uingie mwenyewe front ukagombea ubunge wa EA ukashindwa kujieleza ukaangukia pua,ukasubiri fadhila za JK akakutosa siku hizi unakimbizana na udalali wa kuuza viwanja,nyumba za urithi.......
Najua unanyemelea jimbo la Mtera kule yupo mropokaji sijui kama utafurukuta jamaa kajichimbia sana yaani kila kitu kinaelekea kwenda kombo.
- Hapana nimerudi na Elimu kubwa sana ndio maana hapa bongo wamerudi wengi toka majuu wameshindwa mimi nipo mpaka leo na ninasomeka na mpaka na wewe ambaye sio siri unayafuatiilia sana maisha yangu Mwanaume mzima hahahah, nia na madhumuni ya kugombea ubunge wa EAC ilikuwa ni pamoja na kujiweka sawa na Viongozi maana kura zote zilipigwa na Viongozi ambao wengi sasa hivi ninashirikiana nao kwenye mambo mengi sana ya jamii so nisingegombea nisingewajua, hahahaha, ubunge sijasema nagombea ila najua unaniogopa sana the way unavyoniongelea inaonyesha unajua hii ngoma ni nzito na imejaa, so relax mkuuu hjahahahahahahaha
Le Mutuz