technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,843
Napenda kutoa tahadhari kwa idara ya ujasusi ya Tanzania kuongeza umakini juu ya ulinzi na usalama wa viongozi, uchumi, siasa na ulinzi wa RAIA.
Kuna vikundi Vingi vya kijasusi kutoka nje vinaingia sana nchini kwa ajenda ambazo hazina mashiko hata kidogo na watu hawa uwa wanaenda kwenye sehemu nyeti za nchi na kupenyeza ajenda zao za kujasusi.
Naamini vikosi vya ulinzi na usalama vipo makini sana ila tuongeze umakini zaidi
Taifa letu lipo kwenye vita kubwa sana ya kiuchumi kipindi hiki kuliko wakati wowote toka tupate Uhuru maana tunatishia chumi zote za nchi zilizotuzunguka.
Kuna kikundi kimeingia nchini Jana kutoka nchi jirani kwa ajenda ya michezo ila sio kweli tuwe macho hasa kipindi hiki ambacho tupo busy na kuzisaidia Simba na Yanga kiusalama tusisahau usalama wa taifa.
Nawatakieni utekelezaji mwema wa majukumu yenu!!
Najua code mshaipata