Serikali inapokosolewa kwa Constructive Criticism, je, Ifuate Ushauri? Hongera Bunge letu tukufu kufuata ushauri na kutuondolea ubatili huu

XX
Mkuu Nguruvi3, kwa vile barua rasmi ya kujiuzulu was not a public document, bandiko hili ni la Hypothetical situation only kwamba barua ni authentic bonafide genuine, ila ile Press ya JYN ndio ilikosewa, CCM ikakosea kusema imepokea barua badala ya kupokea copy na Bunge likasema imepokea copy kutoka CCM badala ya barua kutoka kwa Spika, kwa vile mahakama inafanya kazi na document iliyowasilishwa mezani, then document ya kujiuzulu uspika iliyowasilishwa mezani ndio document halisi, an authentic copy of the original, bonafide genuine.
P
Ukiwa kama Mwandishi mzoefu, hebu nielimishe...

Hivi zile Press Release ni barua zile, right?

Na hapo juu usiseme "barua rasmi ya kujiuzulu wasn't a public document bali BARUA ISN'T A PUBLIC DOC... IT'S OFFICE DOC

Na ndo maana ofisi husika ikipata barua ambayo content yake inapaswa kujulishwa kwa umma, kinachofanywa ni KUANDIKA NOTICE/TAARIFA kuujulisha umma na sio barua husika kuwekwa publicly kwa umma!!
 
No, not necesarily, japo ni kweli JYN hakuwa Spika bora, alikuwa ni bora Spika, japo Dr. Tulia ulikuwa Naibu Spika wa Bora Spika, so she is expected to be another bora Spika, but she has a chance of being Spika Bora.
Hili nimelisema hapa.
Je, Wajua, Naibu Spika, Chini ya "Bora Spika", Anaweza Kuwa "Spika Bora?". Dr. Tulia, "Ukitulia, Una Fursa ya Kuwa Spika Bora Sana!" Hongera Sana!.
P
Hiyo chain ingevunjwa ya series ya "bora Spika", hasa baada ya naibu Asiyetulia. Kukimbilia kugombea bila kuachia kiti cha unaibu! Uroho WA mbuzi kutaka Kula kichaka!
Binafsi nimemshusha sana, ni dhahiri hajiamini!!
Katiba na kanuni nchi hii na komedi Tu!
 
XX
Ukiwa kama Mwandishi mzoefu, hebu nielimishe...

Hivi zile Press Release ni barua zile, right?

Na hapo juu usiseme "barua rasmi ya kujiuzulu wasn't a public document bali BARUA ISN'T A PUBLIC DOC... IT'S OFFICE DOC

Na ndo maana ofisi husika ikipata barua ambayo content yake inapaswa kujulishwa kwa umma, kinachofanywa ni KUANDIKA NOTICE/TAARIFA kuujulisha umma na sio barua husika kuwekwa publicly kwa umma!!
Press Release sio barua ni taarifa za uwepo wa barua with subject matter, contents na Adresse.
P
 
Kukuza mambo tena?!Re
Ukileta mambo ya eti usikuze mambo ndo unaishia kutoa maoni yako binafsi tofauti na maandiko yanavyosema!

Anyway, mimi sio mtaalamu wa haya mambo, na sikuona yeyote wa kumuuliza anifafanulie, zaidi ya Google. Huko nikitafuta source ambayo inaonekana kuwa decent traffic kwa imani yangu kwamba, a source with crap contents haiwezi kuwa na decent traffic.

Kwavile nimefundishwa na kuandika barua tangu shule ya msingi, nikalazimika kuuliza tu hivi FORMAT ya NOTICE inakuwaje kuwaje hasa, na nikajibiwa hivi:-
View attachment 2102122

Haidhuru hata hkama hutaki kukuza mambo, na kwavile notice ni barua, je unaweza kueleza hapa hiyo hapo juu pia ndo format ya barua? Au haya mambo ya format haya-determine kama nyaraka husika ni barua au vinginevyo, na kwahiyo ili mradi nyaraka husika imeandikwa na kusainiwa, basi automatically inakuwa barua.

Ngoja niendelee kukuza mambo kidogo kwa kuwa-refer wenye Kiingereza chao:-
View attachment 2102162

NOTICE NI BARUA....
The notice of Resignation is the Resignation letter. Taarifa ya notice ya kujiuzulu ni barua ya kujiuzulu. Barua yenyewe sio public document ni Office document. Taarifa ya kujiuzulu kwa Spika ndio ile Press Release ya Bunge kwenye Order paper which is wrong, ilipaswa kuwa kwenye headed paper.
Hili la notice na barua ni too petty tuliache tuendelee na the subject matter ya uzi huu.
P
 
All in all, Ndugai amejiuzulu kwa aibu na fedheha kubwa! Na daima nitamkumbuka kama Kiongozi mwoga, na asiye jiamini.

Kiongozi gani unashindwa kusimamia kile unacho kiamini! Au ndiyo yale yale ya kuongea tu kwa kuropoka, halafu unakuja kujutia kauli yako baadaye?
Mkuu Tate Mkuu, JYN ni shujaa aliye jiuzulu kwa uwajibikaji wa kauli yake baada ya kuomba msamaha uliokaliwa. Kwa vile amejiuzulu mwenyewe, then na yeye ni shujaa tuu kama wengine. Angekuwa ametumbuliwa, then ndio ingekuwa fedheha. Don't forget mafao yake ya Spika mstaafu yako pale pale.

Kwa vile cheo ni dhamana, hakuna aibu yoyote kujiuzulu.

Na kwa hoja yake ya mikopo na deni la Taifa, it's very dengerous to be right when the boss is wrong!, the boss is always right, so he had to go, https://www.jamiiforums.com/threads...ight-the-boss-is-right-prof-is-right.1935511/

P
 
No, not necesarily, japo ni kweli JYN hakuwa Spika bora, alikuwa ni bora Spika, japo Dr. Tulia ulikuwa Naibu Spika wa Bora Spika, so she is expected to be another bora Spika, but she has a chance of being Spika Bora.
Hili nimelisema hapa.
Je, Wajua, Naibu Spika, Chini ya "Bora Spika", Anaweza Kuwa "Spika Bora?". Dr. Tulia, "Ukitulia, Una Fursa ya Kuwa Spika Bora Sana!" Hongera Sana!.
P
Mwenendo wa Tulia kama naibu spika ulishaonekana,record za yeye kukandamiza upinzani mpaka kufikia hatua ya kutaka kung'olewa kwenye kiti zipo.Hawezi kufanya tofauti na alivyofanya.Pia kwa kuzingatia upepo uliomng'oa mtangulizi wake,yeye hawezi kuwa tofauti na alivyokuwa.SIKU ZOTE ATABAKI MFUKONI MWA SERIKALI,ATATENDA KUILINDA NA KUITETEA.Hakuna jipya.
 
Mwenendo wa Tulia kama naibu spika ulishaonekana,record za yeye kukandamiza upinzani mpaka kufikia hatua ya kutaka kung'olewa kwenye kiti zipo.Hawezi kufanya tofauti na alivyofanya.Pia kwa kuzingatia upepo uliomng'oa mtangulizi wake,yeye hawezi kuwa tofauti na alivyokuwa.SIKU ZOTE ATABAKI MFUKONI MWA SERIKALI,ATATENDA KUILINDA NA KUITETEA.Hakuna jipya.
Mkuu Mwami Ntale, kwa vile Tanzania hatuna upinzani wowote wa maana, tulitaka Spika Bora wa kulibadili Bunge kuisimamia serikali na sio Bunge la kujipendekeza kwa serikali. Hivyo Dr. Tulia, akitulia anaweza!.
P
 
Uko sawa tumeelewa,vp kuhusu issue ya UGAIDI wa FAM?napo tukosoe kwa staha?Haya Mimi naanza kusema kwa staha,MBOWE HAJAWAHI KUWA GAIDI
 
Ndugai aliongoza bunge kwa maslahi ya CCM na sio Taifa kama inavyotakiwa, alikuwa hafuati sheria na kazi yake kubwa ilikuwa kuwadhibiti wabunge wa upinzani na kulinda ufisadi wa CCM , alikuwa mpuuzi tuu ndio maana kaondoka kipuuzi tuu...good riddance!!
 
x
Taarifa ya notice ya kujiuzulu ni barua ya kujiuzulu.
Hiyo ni Barabara ya Morogoro Road Brother! Ni ama taarifa ya kujiuzulu au notice ya kujiuzulu!!

Unaonaje uki-take break kwanza kisha turudi kwenye mjadala hapo baadae? Najua hapo tena utaita ni too petty huku ukisahau huu mkanganyiko unatokana hapo!
Hili la notice na barua ni too petty tuliache tuendelee na the subject matter ya uzi huu.
Na hapo pa kuona ni too petty ndipo wengi mnapojikanganya, ama kwa makusudi au kwa kutojua na kuamua kuendelea kutotaka kujua!! Na katika kujikaganya huko ndipo mnapoona Ndugai kakosea lakini kwavile mmeamua kutotaka jua ndo maana hata mnapotolewa barua na hatimawe kuwekewa bayana tofauti kati ya barua na taarifa bado mnaendeleza kutotaka jua!

Lakini hebu jisome mwenyewe na hizo screenshot:-
Pasco.png


Pasco Taarifa B.png


And again--
Pasco Barua.png


Pasco Barua B.png


WHAT A COINCIDENCE...

Kama ulikuwa na mashaka mashaka maana sahihi ya msemo "a picture is worth a thousand words origin" ndo hiyo hapo juu ulivyoweka bayana tofauti kati ya TAARIFA na BARUA!!

Kwenye hiyo screenshot ya Taarifa nilidhani umeandika umetaka kwamba ni taarifa kwa sababu ndivyo heading inavyosema, na kwahiyo ukaamua kutaja kama ilivyotajwa. Hata hivyo nikajaribu kutafuta palipoandikwa neno barua kwenye hiyo screenshot ya pili ili nijiridhishe umetumia hizo terms kwa sababu ndivyo walivyotaja wenyewe lakini SIKUONA lakini bado mwenyewe ukaamua kuita barua tena sio mara moja, bali kwa haraka haraka mara mbili, na hukuitaja kwamba hiyo ni TAARIFA kwa sababu deep inside of your heart, unajua kuna tofauti kati ya barua na taarifa

Lakini wakati sijaona popote palipoandikwa neno barua ingawaje wewe umesema hiyo ni barua, sehemu moja ya maudhui kwenye nyaraka hiyo inasema:- " ....nawasilisha uamuzi wangu huo ILI ULITAARIFU Bunge katika."

I know you know kwamba mzizi wa neno taarifu ni TAARIFA, na kwamba ulitaarifu Bunge = Utoe TAARIFA kwenye Bunge!! Lakini pamoja na nyaraka hiyo kuacha footprints za neno TAARIFA bado umefahamu hiyo sio taarifa bali ni barua!!
Barua yenyewe sio public document ni Office document.
Yes, na nimeshasema hilo, na ndo maana haikutolewa kwa publicly hadi pale ilipotolewa mahakamani kama ushahidi kwamba barua iliandiskwa!! Lakini kwavile barua ni public doc, ndo maana Mwandishi wa Barua aka-include maneno "ILI ULITAARIFU BUNGE kama Ibara ya 149(1)(c) inavyotaka!!
lkhadi ilipokuja kuvujishwa kuwathibitishia kwamba barua iliandikwa wakati wengi wenu mlichukulia Taarifa ndiyo Barua!
Taarifa ya kujiuzulu kwa Spika ndio ile Press Release ya Bunge kwenye Order paper which is wrong, ilipaswa kuwa kwenye headed paper.
Suala la headed paper haliwezi kuwa hoja ya msingi ya kutofautisha kati ya barua na taarifa at least katika muktadha huu! Isitoshe, hata barua inaweza kuandikwa kwenye headed paper.
Hili la notice na barua ni too petty tuliache tuendelee na the subject matter ya uzi huu.
NOT TOO PETTY Brother...

Hata msingi wa kesi ya Mbatia ni hicho hicho unachoita too petty kwa sababu watu walikuwa wanahoji how come Ndugai aandike barua kwa Katibu wa Chama badala ya Katibu wa Bunge wakati Katiba haizungumzii masuala ya barua bali inazungumzia masuala ya notice/taarifa kwa Katibu wa Bunge!!!
 
Press Release sio barua ni taarifa za uwepo wa barua with subject matter, contents na Adresse.
P
Did someone else wrote this for you? Kwa sababu only few hours ago ulisema:-
Mkuu Chige, usikuze mambo, notice ni barua!.
Hata kama katiba haijasema neno barua, the notice of Resignation ni barua ya kujiuzulu.
P
Sasa kama notice ni barua, kuna ubaya gani PR kuita ni barua badala ya kupigilia msumari kabisa kwamba PR SIO BARUA, NI TAARIFA?
 
alipotoa tafasir ya jina la mayala kwa lugha yao alilenga kusema nn mkuu?
Alilenga kutoa tafsiri ya jina la Mayalla ni baa la njaa, (Hunger, famine, drought), na sio njaa ya tumbo inayohitaji chakula ule ushibe!. Watu wametafsiri njaa ya tumbo!.
P
 
Did someone else wrote this for you? Kwa sababu only few hours ago ulisema:-

Sasa kama notice ni barua, kuna ubaya gani PR kuita ni barua badala ya kupigilia msumari kabisa kwamba PR SIO BARUA, NI TAARIFA?
Mkuu Chige , naendelea kujisikia fahari kuendelea kukuelimisha juu ya hili.
1. Hapa kuna vitu viwili. Kitu cha kwanza ni The Notice of Resignation, hii ni barua ya kujiuzulu, ukisikia mtu ametoa notice ya 24 hrs kuacha kazi, ujue ndio barua ya kuacha kazi ina sifa zote 6 za barua. 1. Jina na anwani ya mwandishi. 2. Tarehe ya kuandika. 3. Jina na Anwani ya anayeandikiwa, 4. Kichwa cha Habari, 5. Main body 6. Sahihi ya mwandishi.
2. Taarifa kwa vyombo vya habari, kuviarifu barua ya kujiuzulu imeandikwa. Hii ni Taarifa tuu, yaani Press Release na sio barua.
haina jina na Anwani ya mwandishi. Haina jina na Anwani ya aliyeandikiwa. Haina heading. Ina subject matter na jina, sahihi ya signatory na tarehe.

Press Release ni taarifa ya uwepo wa barua ya kujiuzulu ambayo sio baru.
Barua ya kujiuzulu ni taarifa ya kujiuzulu kwenye barua.

Kila notice ya kuacha kazi au kujiuzulu ni barua ya taarifa, lakini sio kila taarifa ni barua., Kwa wazito wa kuelewa kila Mzanzibari ni Mtanzania, lakini sio kila Mtanzania ni Mzanzibari. Kila mkataba ni makubaliano, lakini sio kila makubaliano ni mkataba. Every contract is an agreement, but not every agreement is a contract!.
P
 
wanajua ww ni kama mkate wa zanzbr boflo, hauendi bila chai..
alimaanisha attitude yako inaenda na definition ya jina

na inapokuja swala hela ama madaraka akili yako henda likizo na humsifia hata shetani ni bora kuliko malaika
Alilenga kutoa tafsiri ya jina la Mayalla ni baa la njaa, (Hunger, famine, drought), na sio njaa ya tumbo inayohitaji chakula ule ushibe!. Watu wametafsiri njaa ya tumbo!.
P
 
No, not necesarily, japo ni kweli JYN hakuwa Spika bora, alikuwa ni bora Spika, japo Dr. Tulia ulikuwa Naibu Spika wa Bora Spika, so she is expected to be another bora Spika, but she has a chance of being Spika Bora.
Hili nimelisema hapa.

P
Huwa wanabadilika na kuwa bora spika
 
Mkuu Nguruvi3, kwa vile barua rasmi ya kujiuzulu was not a public document, bandiko hili ni la Hypothetical situation only kwamba barua ni authentic bonafide genuine
OK tukubaliane na hilo
, ila ile Press ya JYN ndio ilikosewa, CCM ikakosea kusema imepokea barua badala ya kupokea copy na Bunge likasema imepokea copy kutoka CCM badala ya barua kutoka kwa Spika,
Hapa ndipo penye tatizo la viongozi wa nchi yetu. Kujiuzulu Spika ni suala lenye 'public interest'
Hivi JYN hakuwa na washauri wakati wa maamuzi magumu kama hayo?
Hivi CCM hakuna wanasheria au wajuvi wa kubaini kwamba press ya JYN ilikuwa fyongo?
Bunge ndilo lina tatizo kweli. Katika hali ya kawaida katibu wa Bunge angetoa taarifa ya maneno machache 'tumepokea barua''. Hili tu lingeondoa utata na mashaka na tungesahau hao wengine.

Mh Mbati alieleza nia ya kwenda Mahakamani, ilikuwaje ikafikia huko ikiwa Katibu wa Bunge alikuwa na barua na mandate ya kusema 'amepokea'? Kuna sheria gani inamzuia Katibu wa Bunge kuzungumza huku ikimpa katibu wa CCM mamlaka ya mhimili wa Bunge?
Utaona kuna tatizo na hata barua iliyotolewa mahakamani ina shaka kama ilifuata taratibu

Kutofuata taratibu hakumaanishi haramu, lakini uhalali unajengwa juu ya taratibu.
kwa vile mahakama inafanya kazi na document iliyowasilishwa mezani, then document ya kujiuzulu uspika iliyowasilishwa mezani ndio document halisi, an authentic copy of the original, bonafide genuine.
P
Mahakama imefanya kazi yake bila shaka. Mahakama imepokea barua iliyothibitika au copy iliyothibitishwa. Mahakama haina sababu zozote za kuingilia taratibu nyingine.
 
Back
Top Bottom