KERO Serikali inamtua Mama wa Kijijini ndoo kichwani, DAWASA inamtwisha ndoo upya mama wa Mjini

KERO Serikali inamtua Mama wa Kijijini ndoo kichwani, DAWASA inamtwisha ndoo upya mama wa Mjini

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mimi ni Mkazi wa Mbezi Mwisho, Mitaa mingi haipati maji kwa muda mrefu, hivi utawala wa DAWASA wanajua kuwa kuna Watu wengi tu wana bili za 0 unit kwa miezi zaidi ya mitatu?

Serikali ipo kwenye jitihada ya kumtua ndoo mama wa Vijijini, lakini DAWASA WANAMTWISHA NDOO upya mama aliyetuliwa years ago.

Serikali yetu sikivu, hii ni halali?
 
Back
Top Bottom