Serikali imetoa Picha rasmi ya Rais Dr. Magufuli

Serikali imetoa Picha rasmi ya Rais Dr. Magufuli

Watu watakuwa wanagwaya hicho kivuli.Ukiingia kwa ofisi asubuhi ukiiona tu.Lazima upige ishara ya msalaba

Duh, wewe nawe, umezidi kwa mbwembwe za maneno yako !!!!!!!
 
Mbona ni mbaya kuliko ile ya kwanza?
Anafanana na hayati Laurent Kabila!

Waombe radhi watakufanya kama profile icon yako hapa chini
 

Attachments

  • 137610.jpg
    137610.jpg
    3.2 KB · Views: 40
Imechelewa mno kwa kwel mm ofisin kwangu nilshaweka ya majaliwa
 
Yaani Magufuli wanamuogopa hadi wameshindwa kumwambia hiyo Afrika imepinda ili airekebishe
 
Nzuri ila ina mapungufu madogo,,nembo ya Afrika imepinda kidogo na sikio la upande wa kulia halionekani vizuri..!
 
Inamaana hii picha hadi kwenye ofisi za chadema lazima iwekwe?
 
s
naomba kuuliza hivi hata katika zile OFISI zote za Lowassa na yeye pia ATAZIWEKA au? manake nimesikia kuwa kuwekwa kwa hizo picha za Marais waliopo MADARAKANI ni LAZIMA na siyo HIARI. kuna mtu nina UHAKIKA hizo picha ZITAMUUMIZA mno na si ajabu kila akiwa anaiona tu basi anamwita Daktari wake aje amtibu. halafu huko kung'aa sana kwa mdomo kwa huyo Dada hapo aliyeishika hiyo picha ni JASHO la MDOMONI limezidi au ndiyo LIPUSTIKI hiyo?

Dah!!! maswali kuntu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom