Huo ni upofu.ili uijue hiyo sheria ningekushauri kaidi hayo maelekezo kwanza.
Huo ni upofu.ili uijue hiyo sheria ningekushauri kaidi hayo maelekezo kwanza.
Yaani Magufuli wanamuogopa hadi wameshindwa kumwambia hiyo Afrika imepinda ili airekebishe
Jamaa sio photogenic
Inamaana hii picha hadi kwenye ofisi za chadema lazima iwekwe?
huyo aliyekuwa " photogenic " hadi wake na mademu zenu wakawa WANAMSIFU ameiacha nchi wapi? kwa post yako hii taratibu naanza sasa kumwelewa yule MTIA NIA ya kugombea Urais nchini Marekani Trauman kuhusu WAAFRIKA. kumbe Wazungu huwa HAWAKOSEI wanavyotucheka kwa kuwa na UPEO haba. mtu mzima dunia ya leo kabisa ambayo inakimbia unaanza kumchambua Rais wako kama ana mwonekano mzuri au hapana badala ya kuangalia UTENDAJI wake wa KAZI ambao ndiyo muhimu kwa MAENDELEO ya nchi yetu. kauli zenu zingine zitatufanya tuwahisi kivingine hasa kama wewe uliyeleta " ushuzi " huu ni Mwanaume mwenzangu.
Ni jisni alivyokivaa tu, amekivaa vibaya.Wamekosea hapo kwenye ramani ya africa imepinda sana..
Haters are for reallyWamekosea hapo kwenye ramani ya africa imepinda sana..
wewe umepewa taarifa kuwa picha ya Mheshimiwa Rais imetoka,hujaambiwa useme ni nzuri au mbaya kwa kuwa wapo wenye kazi hiyo ya kuona ni nzuri au mbaya,hata basi ukiamua kukosoa jambo lisilokuhusu fanya hivyo kwa nidhamu kwa sababu hata mwenyezi mungu ametuelekeza kuheshimu mamlaka.Hayo maneno yako ya mwisho hayakuwa na ulazima.Mbona ni mbaya kuliko ile ya kwanza?
Anafanana na hayati Laurent Kabila!
Mkuu hata mimi nimejiuliza sana hii kitu majibu nimekosa.naomba kuuliza hivi hata katika zile OFISI zote za Lowassa na yeye pia ATAZIWEKA au? manake nimesikia kuwa kuwekwa kwa hizo picha za Marais waliopo MADARAKANI ni LAZIMA na siyo HIARI. kuna mtu nina UHAKIKA hizo picha ZITAMUUMIZA mno na si ajabu kila akiwa anaiona tu basi anamwita Daktari wake aje amtibu.
naomba kuuliza hivi hata katika zile OFISI zote za Lowassa na yeye pia ATAZIWEKA au? manake nimesikia kuwa kuwekwa kwa hizo picha za Marais waliopo MADARAKANI ni LAZIMA na siyo HIARI. kuna mtu nina UHAKIKA hizo picha ZITAMUUMIZA mno na si ajabu kila akiwa anaiona tu basi anamwita Daktari wake aje amtibu.
picha ya huyo mdada ni nzuri!!!!![]()
Picha Rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli itaanza kuuzwa Januari 08, 2015, katika Ofisi za Idara ya Habari (MAELEZO) Mtaa wa Samora.
Kila nakala ya picha hiyo itauzwa shilingi Elfu Kumi na Tano tu bila fremu. Picha ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere itauzwa shilingi Elfu Tano tu. Aidha, Picha hizo zitauzwa katika Ofisi za Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA).
Picha hizo zinatakiwa kutundikwa katika ofisi zote za Serikali, Taasisi za Umma, Mashirika na Ofisi binafsi. Kila ofisi inatakiwa iwe na picha ya Mhe. Rais pamoja na Baba wa Taifa.
Serikali inatoa onyo kwa wale wote wanaosambaza picha isiyo rasmi pamoja na Serikali kutoa taarifa kusitisha matumizi ya picha hiyo na wanaotengeneza picha ukubwa ambao siyo rasmi.
Hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao. Idara ya Habari(MAELEZO) ndio yenye Haki miliki ya picha hiyo.
Safi sanaNahitaji picha 3. Moja itakaa sebuleni,moja itakaa dinning na ya tatu itakaa chumbani kwangu. Ili kila ninapomuona Mh Rais nikumbuke majukumu yangu na kuwa MZALENDO,pia nichukie Rushwa...uzembe na unyonyaji.