Serikali imetoa Picha rasmi ya Rais Dr. Magufuli

Serikali imetoa Picha rasmi ya Rais Dr. Magufuli

Hiyo picha hairidhishi kabisa kwanza sikio moja halionekan pili blue imezid sana Inamana hana mavaz mengine?
 
Duuuh hadi madigital cameras na ADOBE ZOTE zimegoma apendeze... amakweli, SURA yako ni yako tu... Sasa si wangeweka ambayo kidogo ana tabasamu.. hapo yuko na tension sana au kama alipatwa na matatizo ya kaifya akiwa mdogo..

Hii picha sijaikubali... yuko in very high tension... like BP iko 300hv...
 
Watu kwa kupenda kujadili vitu visivyokuwa vya msingi...

Mimi sijaona tofauti yoyote katika hiyo picha...

Nadhani kila mtu alivyoiona hiyo katambua kama huyo ni Mh. John Pombe Magufuli..
 
Picha haina direct impact na kitu chochote.kama mbaya au nzuri haitabadili kitu ni mbwembwe tu

Lakini kama tunaweza kuiboresha kwa nini tusifanye. Hizi fikra ya kuwa "hii inatosha" ndio inayoturudisha nyuma.

Attitude hii ni sawa na mtu mwenye uwezo kiakili lakini anasema sihitaji kukazana kwa sababu hata GPA ya 2.5 inatosha - si mradi nina digirii. Hatari sana.
 
Picha ina mapungufu mengine: background inatakiwa light blue bila kasoro hasa upande kulia, picha ya Rais lazima ionyeshe authority kwa hiyo features zake kama masikio ikiwezekana yaonekane yote, kusiwe na giza au dark shades. This is an oblique picture which is not supposed to be so. The President should be directly facing you. The color of the necktie is fair but does not spell strong authority. Better if the shirt was white
Mkuu, inaelekea mheshimiwa alipigwa picha kama 30 hivi na kila moja inaelekea ilikuwa na mapungufu sasa hiyo ndo yenye nafuu kuliko zote ndo maana wameamua kuitoa..
 
Back
Top Bottom