Frediluu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 1,075
- 266
Weeeeeeeeeeeeeeeeee, weka mbali sana na watoto mkuuInamaana hii picha hadi kwenye ofisi za chadema lazima iwekwe?

Kwani ni amri?Inamaana hii picha hadi kwenye ofisi za chadema lazima iwekwe?
Nlijua motochini lazma ufagilie hata kama si nzuri,Ipo poa bwana
SI KIVILE MANImekaa poa
Kumbe ana mvi
Si wamesema ni lazima kuweka katika maofisi ya serikali na yasiyo ya kiserikaliKwani ni amri?
naomba kuuliza hivi hata katika zile OFISI zote za Lowassa na yeye pia ATAZIWEKA au? manake nimesikia kuwa kuwekwa kwa hizo picha za Marais waliopo MADARAKANI ni LAZIMA na siyo HIARI. kuna mtu nina UHAKIKA hizo picha ZITAMUUMIZA mno na si ajabu kila akiwa anaiona tu basi anamwita Daktari wake aje amtibu. halafu huko kung'aa sana kwa mdomo kwa huyo Dada hapo aliyeishika hiyo picha ni JASHO la MDOMONI limezidi au ndiyo LIPUSTIKI hiyo?
![]()
Picha Rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli itaanza kuuzwa Januari 08, 2015, katika Ofisi za Idara ya Habari (MAELEZO) Mtaa wa Samora.
Kila nakala ya picha hiyo itauzwa shilingi Elfu Kumi na Tano tu bila fremu. Picha ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere itauzwa shilingi Elfu Tano tu. Aidha, Picha hizo zitauzwa katika Ofisi za Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA).
Picha hizo zinatakiwa kutundikwa katika ofisi zote za Serikali, Taasisi za Umma, Mashirika na Ofisi binafsi. Kila ofisi inatakiwa iwe na picha ya Mhe. Rais pamoja na Baba wa Taifa.
Serikali inatoa onyo kwa wale wote wanaosambaza picha isiyo rasmi pamoja na Serikali kutoa taarifa kusitisha matumizi ya picha hiyo na wanaotengeneza picha ukubwa ambao siyo rasmi.
Hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao. Idara ya Habari(MAELEZO) ndio yenye Haki miliki ya picha hiyo.
Bei ghali sana. Kwani wanafanya biashara? Wangefanya Sh 5K, kama ya Mwalimu![]()

Hivyo ndivyo alivyo, we ulitaka ya nani mwingine tofauti na huyo?Mbona ni mbaya kuliko ile ya kwanza?
Anafanana na hayati Laurent Kabila!

mimi ni mkuu wa mkoa, ofisini kwangu nimeweka picha ya rais lowasa na siitoi kamwe
Agizo la kila offisi linalindwa na sheria ipi?
ile ya kwanza alikua hajagonga scrub ila imemuharibu tuMbona ni mbaya kuliko ile ya kwanza?
Anafanana na hayati Laurent Kabila!
Mbona bega moja lime-cropiwa sana!