watawala wamerelax wanakula kuku tu, hawana hata chembe ya huruma na hali ilivyo kitaa, hali ni mbaya sana.dah! mkuu jana nimechukua laki 3 tu nimeshindwa kuziweka kwenye wallet, aibu hii, laki 3 jana mchana saizi nina buku 40 tu, chamaana kilichofanyika hamna.
Mpita Njia , ni kumuondoa mkolo na mapolicy makers pale BOT, WAMESHINDWA kututoa mahala ambapo hata Balali na aliweza kutusgeza, BOT wamekua wakidanganya kwa takwimu za kuimarika kwa hali ya uchumi ambazo wanasiasa wamekua wakizitumia kutupumbaza.Ni wakati sasa Kikwete akamuondoa Mkulo kwenye Wizara ya fedha haraka iwezekanavyo
safi sana.
dah! mkuu jana nimechukua laki 3 tu nimeshindwa kuziweka kwenye wallet, aibu hii, laki 3 jana mchana saizi nina buku 40 tu, chamaana kilichofanyika hamna.
Kwa kweli wameshindwa kusimamia uchumi. Mkapa alipoondoka aliacha macro economy ikiwa stable, kazi ilikuwa ni kuhakikisha the tricle down of the effect. lakini sasa hivi hata macro economy imeshatetereka kwa kiasi kikubwa; angalia inflation, angalia thamani ya shilingi... it is time the go before things get worseMpita Njia , ni kumuondoa mkolo na mapolicy makers pale BOT, WAMESHINDWA kututoa mahala ambapo hata Balali na aliweza kutusgeza, BOT wamekua wakidanganya kwa takwimu za kuimarika kwa hali ya uchumi ambazo wanasiasa wamekua wakizitumia kutupumbaza.
Mkuu inaelekea ulipitia samaki samaki mlimani city !!!!dah! mkuu jana nimechukua laki 3 tu nimeshindwa kuziweka kwenye wallet, aibu hii, laki 3 jana mchana saizi nina buku 40 tu, chamaana kilichofanyika hamna.
Ukijaribu kutafakari kwakiana lipo jambo moja dhahiri kuwa Mkuu wa nchi ameyumba , wasaidizi wake hawamuogopi, na kwakua hakuna shinikizo la kutoka juu wasaidizi wake wamerelax, kwakua wasaidizi wake hawa kina Ndulu, kamishna wa TRA, na wengine wamepumzika kwelikweli.Kwa kweli wameshindwa kusimamia uchumi. Mkapa alipoondoka aliacha macro economy ikiwa stable, kazi ilikuwa ni kuhakikisha the tricle down of the effect. lakini sasa hivi hata macro economy imeshatetereka kwa kiasi kikubwa; angalia inflation, angalia thamani ya shilingi... it is time the go before things get worse
Du!
Mrembo alikuwa anaenda kununua HISA za Precision nini?